Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hutokuwa na watoto?KATAA NDOA
Kuna siku/ifike pahala muwe mnatuelewa tunaposema NDOA NI UTUMWA,NDOA NI MATESO
Hapo ukienda hospital utaambiwa una
1.presha ya kupanda
2.presha ya kushuka
3.kiharusi
4.sonona
5.msongo wa mawazo
6.Vidonda vya tumbo
7.tumbo la kuharisha
hapo unaweza kumroga mtu,kuua,kukimbia familia,chuki,mizobezo,vibweka yaani kuna kitu kimekukaba mpaka hapaaa..kataa ndoa bado hujachelewa huyo muache aende..
KATAA NDOA,KATAA UTUMWA
Ndio wabambikiaji watoto wanaume hao,inawezekana watoto wote wa kwenye ndoa yake sio wa mumewe,hivyo kaguswa hasaaa na hoja ya mwana,anajustify upumbavuHii hoja ni ya kipuuzi sana👎
Ndio wabambikiaji watoto wanaume hao,inawezekana watoto wote wa kwenye ndoa yake sio wa mumewe,hivyo kaguswa hasaaa na hoja ya mwana,anajustify upumbavu
Yaani usiku hulali unawaza watoto wanakula nini kumbe sio wa Kwako. Ndio maana watu wakigundua wanalipua risasi tu.Inaumiza, yaani inaumiza sana. Wanawake tutulie tu jamani. Dunian hakuna jipya. Mbona kila baya lina majuto, kwanini tusijifunze kupitia hilo?
Yaani mumeo anapambana na kuvuja jasho la meno lakini kumbe anaowapambania wamebakiza kumuua tu. Hatuwezi kushauriana eti tucheat kwa akili, tunashauriana tuache kabisa uasherati ndani ya ndoa.
Kulea mtoto si wako ni maumivu sana.
Wewe utaishia kulalamikia bei ya Mchele.Dawa saivi akianza period tu,unamfungia ndani,ili itakapoisha tu zile tarehe za hatari unampelekea Moto,hautoki nje kama wiki tatu,apo itakua umejiahakikishia kidogo.
Wewe utaishia kulalamikia bei ya Mchele.Dawa saivi akianza period tu,unamfungia ndani,ili itakapoisha tu zile tarehe za hatari unampelekea Moto,hautoki nje kama wiki tatu,apo itakua umejiahakikishia kidogo.
Maelezo yamejitosherezaMbambikie aliyekukataa, kwanini umbambikie aliyekuthamini katika wote waliokuumiza yeye akaona thamani yako, fikiri umelala na wanaume wangapi waliokuahidi kukuoa lakini walikuacha? Umetoa mimba ngapi za hao waliokudanganya na wakakuacha, lakini yeye akakupenda na kukuthamini na kuona unafaa kuwa mkewe Ili hali wengine walikuacha Kwa maneno ya kejeli, kwanini usimtunzie heshima yeye aliyekufadhili??
Ukitafakari utaona sio ok, umetoka nje ya ndoa, kwasababu umezoea za aina tofauti, basi jizuie usibebe mimba huko, bado haitoshi ukabeba huko basi kuwa mkweli Ili usimuumize mwenzio kah! Yaani Kuna mahali wanawake huwa mnakuwa wajinga, huyo ex alikuwa wako na kama alikuwa na nia angekuoa lakini hakukuoa alikufaidi tu huku wewe ukiingia hasara, katokea aliyekuona wa thamani eti unarudi kwa ex wako! Kah!
Ukweli mchungu huo.Aisee