Kilio cha wanaume huko nje: Kwenye ndoa zenu kuna watoto wetu!

Hamtaki masingo maza ila ndoani mnalea watoto si wenu [emoji38]wanaume kazi mnayo....hii laana mpaka mtubu
 
Ndoa bila uasherati inawezekana pinga tamaa zako
 
Ila muangalia na marafiki waliowazunguka chagueni wisely ,kuna marafiki hawafai is anakuingiza motoni pasipo wewe kujua ,mimi nakumbuka nilikua na marafiki wanapenda sana story za madem ila hawataki kutulia kwenye mahusiano ,gambe sana Jumatatu mpaka Jumapili yani huwezi sikia akimuongelea Jesus OR Sir God,au kwenda kanisani wao ni kuwaza malaya tu [emoji23] nikawapunguza bila kuwaambia una wa [emoji418] , upande huu faida ni nyingi kataa mkumbo ni vyanzo vya kuzalisha hovyo,kuumiza hisia za watu
 
Kweli mkuu
 
Apatae jiko amepata vibali mbele za bwana sasa wewe pingana na maandiko ,ndoa ni ya kuheshimiwa na watu wote ,ukianza kuheshimu hili mengine ni nadra sana kutokea ,ndoa sio vita ni upendo tu ,ndoa ina thamani machoni mwa bwana Mungu , mtumie akili kuchagua nani wa kuishi nae mjipe muda kuitafakari kama mnataka ndoa au kulana tu muwe na goals shida mnachukulia ndoa kama fashion mnaingia kwenye ndoa na siri ni nyingi mmezificha
 
Sawa mkuu
 
Baadhi yao hawanaga Akili kaka, Yani Ndo maana Kuna watu wanawafanyiaga ukatili japo sio sahihi, Ila Kwa Akili kamq Hizo imagine, Anaenda kumuumiza aliyempa heshima na Kumuhudumia
 
Mwanaume ni mwanaume tu iweje john au khamis
Hapana sio kweli, John amekulia mazingira tofauti ana tabia zake na misimamo take, na Khamisi amekulia mazingira tofauti na tabia zake kamwe hawawezi kuwa sawa
 
Baadhi yao hawanaga Akili kaka, Yani Ndo maana Kuna watu wanawafanyiaga ukatili japo sio sahihi, Ila Kwa Akili kamq Hizo imagine, Anaenda kumuumiza aliyempa heshima na Kumuhudumia
Ni changamoto
 
Baadhi yao hawanaga Akili kaka, Yani Ndo maana Kuna watu wanawafanyiaga ukatili japo sio sahihi, Ila Kwa Akili kamq Hizo imagine, Anaenda kumuumiza aliyempa heshima na Kumuhudumia
Huruma huondoka huchinjwa
 
Hapana sio kweli, John amekulia mazingira tofauti ana tabia zake na misimamo take, na Khamisi amekulia mazingira tofauti na tabia zake kamwe hawawezi kuwa sawa
Ni kweli aisee
 
Ilaaa sijui kama kuna Maumivu kwa mwanaume kama Kulea mtoto ambae sio wako na Hujuii wala kuwa na wasiwasi ila Mkeo anajua wew ni boya tuu[emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji24][emoji24] Inaumaa inaumaaa mnoo yani bora ut...mbewe utamuachaa ilaa sio kuishi miaka yote ukijua mtoto ni wako alafu Paap kama Niki unajua sio[emoji3062][emoji3062]
 
Waione Diamond na Hamisa kwenye faili.
 
Isipokuwa kuna special cases hali hiyo inaweza kutokea kwa nia njema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…