Kwa sababu ya hao covid-19?Hiyo sinema ilichezwa na CCM kwa hiyo SSH hawezi mpokonya Kadi.Kikubwa ni Albadir tu,Kama ile ya wapemba wakati wa uchaguzi ilivyokwenda na Mwendazake.
Kikwete hakumuondoa aliondoka mwenyewe kwa kutogombea tena jimboni ubunge sababu ya umri alijiona umeendahivi kikwete alivompa makinda uspika alifanyaje?
SAMIA mtu wa DINI SANA na anataka kwenda MBINGUNI, hapendi dhambi wala uonevu, anajua kuna genge huenda halikutaka aapishwe na ndio maana mkuu wa majeshi alimwambia kuna kitu nitakwambia, lakini sasa hana mamlaka ya kumtoa pale.Tangu Rais Samia atengue uteuzi wa DC sabaya kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali ndidi yake hisia zinaniambia Siku za Spika Ndugai zinahesabika ikizingatiwa kwamba makosa ya spika yanaonekana in makubwa kuliko ya Sabaya.
Siku vyama vya upinzani wakikutana na mwenyekiti wa CCM na Rais wetu ,spika Ndugai aombe mchakato wa kupata wabunge wa viti maalumu kupitia CHADEMA haukuwa na dosari yoyote
Hahaha hahaMaono ya nabii Lema juu ya mtu huyu bado yapo "pending"
Then ww na familia yako mtapata faida gani
Kwa vile wewe na familia yako mnafaidika akiwa pale.Then ww na familia yako mtapata faida gani
Hakuna zaidi ya kwenda zake,na Leo ni story bookHujui mihimili inafanya vipi kazi, Spika haingiliwi, bado huelewi, hivi nyie watu akili zenu shule mlisoma wapi? Unamlinganisha level ya Spika na DC? Kweli? Ndio maana Chadema imejaa mazezeta wengi sana, Hivi unamjua Spika vizuri na ni mhimili gani?
Naona mumepoteana ujinga umewajaa sasa hata hamuelewi spika huwa anapatikanaje mnadhani huwa anateuliwa na Raisi!!! Yule huchaguliwa na wabunge mhiomili unaojitegemea!!
CHADEMA ACHENI UJINGA ITISHENI KIKAO CHA BARAZA KUU LIMALIZE HUO MGOGORO NDILO LENYE KAULI YA MWISHO SIO SPIKA WALA RAISI WALA MAHAKAMA
MBONA MNAKIUKA TARATIBU ZA CHAMA CHENU?
Unaongelea nchi gani mkuu, hivi unaijua vizuri nguvu ya raisi ambaye ni mwenyekiti wa CCM na amiri jeshi mkuu, hii ni kutokana na katiba yetu ..ndo maana mwendazake alidiriki kusema uraisi ni muhimili uliojichimbia chini sanaSasa kwa taarifa yako chama kinampasuko mkubwa mno, zipo Timu zaidi ya tatu bambazo zote hazipo upande wa mama, usifikiri zile 100%alizo pata kupitishwa uenyekiti niza kweli, Speaker ana timu yake kubwa tu, kina Nape wana ka timu zao, lakini pia Polepole na Bashiri pia Wana timu yao,kwa Rais kumtoa Speaker ningumu sana kuliko unavyo dhani we,
Pia turudi upande mwingine,usifikiri anavyo fanya Rais kuna hata Mbunge mmoja wa ccm anaye Furahia zaidi ya wale waliyo fanyiwa vibaya na Rais aliye pita,Kumbuka hata kina Sabaya niwajumbe wa kamati za CCM,ndipo hapo ninapo enda mbele zaidi 2025 Kama Rais atahitaji kugombea inambidi arudi upinzani ili achukue Fomu maana ndani ya Ccm pekeyake tayari ana upinzani wa kutosha,
Naendapo CCM ita mpitisha mama halafu upinzani wawe na na mtu mwenye Sera nzuri Kama Doctor Slaaa basi ujue upinzani watapita kwa kishindo kikubwa mnno.
Aombe mara ngapi "jomonii" ?....yeye kashasema hawezi fanyia kazi maamuzi ya Mnyika na Mbowe...Hiyo ndio kauli yake eti ya msingi ya kuwalinda "Covid 19" ...haya mengine aliyoongea juzi sijui eti mambo ya "minutes" za kikao akidi na uchafu woote ni kujaribu kujisafisha kwa kumvika "Mama" kilembe cha ukoka...Kitu ambacho Job anasahau ni kwamba wakati "anacheza rafu" zoote na "Mwendazake" Mama alikuwa anafuatilia mchezo huo mchafu pembeni kwa umakini na mbaya saana walimdharau hawamkushirikisha....Tangu Rais Samia atengue uteuzi wa DC sabaya kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali ndidi yake hisia zinaniambia Siku za Spika Ndugai zinahesabika ikizingatiwa kwamba makosa ya spika yanaonekana in makubwa kuliko ya Sabaya.
Siku vyama vya upinzani wakikutana na mwenyekiti wa CCM na Rais wetu ,spika Ndugai aombe mchakato wa kupata wabunge wa viti maalumu kupitia CHADEMA haukuwa na dosari yoyote
Mama Samia sio CHADEMA mTASEMA YOTE ila mnachotakiwa kuitisha kikao cha Baraza kuu lenu lifanye m,aamuzi mtapiga porojo mtampa sifa za kilemba cha ukoka Mama SAMIA LAKINI kwa hili la wabunge uamuzi uko chini ya baraza kuu lenu la CHADEMA ambalo hamtaki kuliitisha.Sifa zenu pelekeni huko itisheni kikao cha baraza kuu lenu full stop.Mnaogopa nini? wamekata rufaa zao huko itisheni baraza kuu tuondoleeni huu ujinga wenu humu wa kutarajia Spika au Raisi au mahakama itasikiliza huo ujinga wenu wa kutaka kuwaondoa wabunge wenu kienyejiAombe mara ngapi "jomonii" ?....yeye kashasema hawezi fanyia kazi maamuzi ya Mnyika na Mbowe...Hiyo ndio kauli yake eti ya msingi ya kuwalinda "Covid 19" ...haya mengine aliyoongea juzi sijui eti mambo ya "minutes" za kikao akidi na uchafu woote ni kujaribu kujisafisha kwa kumvika "Mama" kilembe cha ukoka...Kitu ambacho Job anasahau ni kwamba wakati "anacheza rafu" zoote na "Mwendazake" Mama alikuwa anafuatilia mchezo huo mchafu pembeni kwa umakini na mbaya saana walimdharau hawamkushirikisha....
Naona mbowe anakaribia kuwa spika.Na Lissu anakaribia kuwa makamu wa Rais.Safi sana.CDM wapo vizuri sana.Tangu Rais Samia atengue uteuzi wa DC sabaya kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali ndidi yake hisia zinaniambia Siku za Spika Ndugai zinahesabika ikizingatiwa kwamba makosa ya spika yanaonekana in makubwa kuliko ya Sabaya.
Siku vyama vya upinzani wakikutana na mwenyekiti wa CCM na Rais wetu ,spika Ndugai aombe mchakato wa kupata wabunge wa viti maalumu kupitia CHADEMA haukuwa na dosari yoyote
Spika aliyepo anajielewa vizuri ndio maana akawataka mkalete minute za baraza kuu za kuwafukuza uanachama kikao hicho hamtaki kukiitisha nyie ndie hamjielewiHivi hakuna taratibu za kibunge za kupata spika anaejielewa? RIP S.Sitta.
Mhimili wa kurimotiwa na jiwe na sasa yuko kuzimu bado analiongoza hilo Bunge,aibu sana.Hujui mihimili inafanya vipi kazi, Spika haingiliwi, bado huelewi, hivi nyie watu akili zenu shule mlisoma wapi? Unamlinganisha level ya Spika na DC? Kweli? Ndio maana Chadema imejaa mazezeta wengi sana, Hivi unamjua Spika vizuri na ni mhimili gani?
Lini CCM mliitisha kikao cha baraza kuu kumfukuza Membe? Mkuki kwa Kunguruwe....Mama Samia sio CHADEMA mTASEMA YOTE ila mnachotakiwa kuitisha kikao cha Baraza kuu lenu lifanye m,aamuzi mtapiga porojo mtampa sifa za kilemba cha ukoka Mama SAMIA LAKINI kwa hili la wabunge uamuzi uko chini ya baraza kuu lenu la CHADEMA ambalo hamtaki kuliitisha.Sifa zenu pelekeni huko itisheni kikao cha baraza kuu lenu full stop.Mnaogopa nini? wamekata rufaa zao huko itisheni baraza kuu tuondoleeni huu ujinga wenu humu wa kutarajia Spika au Raisi au mahakama itasikiliza huo ujinga wenu wa kutaka kuwaondoa wabunge wenu kienyeji
Waambie na wenzio Baraza kuu lenu linasubiriwa kufanya maamuzi
Sikiliza kilichokea kama hujui yeye Membe baaada ya kufukuzwa na kamati alikuwa huru kukata rufaa vikao vya juu yeye akaridhia kufukuzwa huko hakukata rufaa akahamia ACT wazalendo kabla hata hivyo vikao vingine kukaa.Alikuwa na haki ya kukata rufaa hakukata huyoo akajiondokea kuhama CHama kabisa sasa ulitaka vikao vya juu vijadili nini wakati mtu keshajichukulia kadi ya ACT WAZALENDO TENA KWA MBWEMBWELini CCM mliitisha kikao cha baraza kuu kumfukuza Membe? Mkuki kwa Kunguruwe....
Job alituambia kuwa Nyarandu alifukuzwa na CCM sio kujiudhuru kama alivyodai yeye...tukumbushe Kamati kuu ya CCM mlikaa lini kumfukuza Nyarandu au Job alilipotosha Bunge hapa?...Arafu kwa akili ya darasa la nne ukifukuzwa uanachama ukakata rufaa wewe unaendelea kuwa mwanachama kabla rufaa yako haijasikilizwa?Sikiliza kilichokea kama hujui yeye Membe baaada ya kufukuzwa na kamati alikuwa huru kukata rufaa vikao vya juu yeye akaridhia kufukuzwa huko hakukata rufaa akahamia ACT wazalendo kabla hata hivyo vikao vingine kukaa.Alikuwa na haki ya kukata rufaa hakukata huyoo akajiondokea kuhama CHama kabisa sasa ulitaka vikao vya juu vijadili nini wakati mtu keshajichukulia kadi ya ACT WAZALENDO TENA KWA MBWEMBWE
Akina Halima Mdee na wenzie wamefukuzwa na kamati kuu ya CHADEMA lakini wao chap chap wakakata rufaa baraza kuu ,Wala hawajahama CHAMA kama Membe .Sasa baraza kuu la CHADEMA haliitishwi .Unalinganisha vitu viwili tofauti kabisa!!!
ULitaka vikao vya juu vijadili rufaa isiyokuwepo mezani? Na mtu yuko tayari chama kingine?
Issue ya Membe na akina Mdee ni tofauti hao wamekata rufaa wakati Membe hakukata rufaa na akahama chama
Wakose kwa kulazimishwa?, idiot!Rais anaweza kumtoa spika mara moja, tena smoothly. Yeye Kama mwenyekiti wa CCM, ni kutaka tu wabunge wake wakose Imani na Ndugai bhasii
Kuna hoja zingine kama GT unapaswa kufikiri kwanza kabla ya kuja kuchapisha humu jamvini,Bunge si mhimili unaojitegemea,Rais anapata wapi mandate ya kumtumbua [emoji536] [emoji344]!!?Tangu Rais Samia atengue uteuzi wa DC sabaya kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali ndidi yake hisia zinaniambia Siku za Spika Ndugai zinahesabika ikizingatiwa kwamba makosa ya spika yanaonekana in makubwa kuliko ya Sabaya.
Siku vyama vya upinzani wakikutana na mwenyekiti wa CCM na Rais wetu ,spika Ndugai aombe mchakato wa kupata wabunge wa viti maalumu kupitia CHADEMA haukuwa na dosari yoyote