Kilio na sala ya Lissu toka Ukonga: Watanzania mmelala? Mimi sijalala

Nawe unajihesabu kuwa miongoni mwa watu wa kuonya yeyote kwa fikra za kitumwa ulizo nazo?
Akili zangu hakuna mtu hata mmoja ndani ya ukoo wako anaye weza kumiliki hata asilimia 6% na kama yupo anaye miliki japo asilimia 6% basi muheshimuni sana.
 
Ndiyo nyinyi ni Wapumbavu tena Hadi Mama, Baba na Shangazi zenu wapumbavu article imejaa uongo eti analala kinyesi kiko mbele yake Tanzania Hakuna Jela ya hivyo Cells zote zina Vyoo na usafi unafanywa vizuri kila Gereza
 
True Lissu alitakiwa kushirikiana na Magufuli
 
Gwajima amesema kuhusu Lisu katika mahubiri yake leo. Kuna taarifa inasambaa kuhusu Lisu.
Is Lisu still alive? Is he living? Or at the blink of death!
Wewe hii mada umeitoa wapi, na kwa manufaa ya nani?
 
Ndiyo nyinyi ni Wapumbavu tena Hadi Mama, Baba na Shangazi zenu wapumbavu article imejaa uongo eti analala kinyesi kiko mbele yake Tanzania Hakuna Jela ya hivyo Cells zote zina Vyoo na usafi unafanywa vizuri kila Gereza
Unazungumza na mimi, hao wengine hawajui kuwa kuna nguruwe kama wewe humu JF.

Samia na Genge lake lote ni wahalifu, na wote mtawajibishwa kwa uhalifu wenu mliowafanyia waTanzania.

Hilo ndilo la muhimu unalotakiwa kulijuwa wewe , siyo hao mashangazi na wengineo unaowahusisha hapa..
 
Kuna kitu kibaya kinaendelea kuhusu TAL

Mkuu 'Mshana Jr', unajuwa mada hii ilikotokea; hebu tupe mwanga kidogo kama unao uelewa.
Vinginevyo utajikuta unaingizwa choo cha kike hapa.

Hakuna asiyejuwa 'ill intention' waliyonayo hawa watu waovu juu ya Tundu Lissu na wote wanaopinga uovu wao.
Andiko hilo limekaa kishamba sana. Hebu lisome tena kwa uangalifu zaidi.
 
True Lissu alitakiwa kushirikiana na Magufuli
Ndiyo kosa alilo fanya hata baada ya kifo cha JPM aliendelea kupambana na Marehemu JPM kumbe maadui wa taifa waliokuwa wanamtumia walikuwa wanajipanga kumgeuka ....LISSU NI KIONGOZI KIPOFU ...ANGEKUWA NA MACHO YA AKILI ANGETAMBUA HAYA YOTE MAPEMA SANA.
 
Tumsamehe na kumpigania kutoka uko aliko
 
Ni serikali gani unayoiongelea wewe; inayotegemea mitutu ya bunduki?

Hiyo hiyo mitutu wataitumia waTanzania kuondoa takataka unayoiita wewe serikali.

Hivi wewe unapomwona Samia hapo unasahau kuwa mwili wake ule hauwezi kuvuja damu? Ni shaba moja tu, m inamaliza kazi na Tanzania inarudi mahala pake.
 
Mi nilitamani sana jamaa asiweke mapingamizi,ili kesi hii iishe haraka,kama kuhukumiwa ijulikane.. Yeye mwenyewe anachangia kesi yake iwe prolonged.

Kuna vitu vinachomekewa makusudi ili aweke mapingamizi, na kama asipoweka basi favor inabaki kwa serikali na kukaribisha kuhukumiwa huku shaka ikiwepo...
 
Kuna vitu vinachomekewa makusudi ili aweke mapingamizi, na kama asipoweka basi favor inabaki kwa serikali na kukaribisha kuhukumiwa huku shaka ikiwepo...
We unadhani hiyo mahakama itatenda haki?? Hata asipo akiweka hayo mapingamizi ni kazi bure tu,

Rejea kauli ya Rostam kuhusu mahakama za Tanzania.
 
We unadhani hiyo mahakama itatenda haki?? Hata asipo akiweka hayo mapingamizi ni kazi bure tu,

Rejea kauli ya Rostam kuhusu mahakama za Tanzania.

Inaweza "isitende haki" lakini kumbuka hizi kesi huwa zinatumika pia kama rejea...

Kwa mkongwe wa sheria kama Lissu hawezi kuacha vitu vipindishwe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…