baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Nguvu ya Gwajima ni kubwa sanaHow?
Nguvu ya Gwajima ni kubwa sanaHow?
uko sahihi, sasa kesi si iendelee ama serekali inajilinda nje ya sheria? Unataka kuonyesha serekali ina haki, lakini voters turn out ya juzi imeonyesha serekali haina uhalali wa umma. Usichanganye serekali na genge la majizi liloko madarakani.Kuna sehemu walipuuza mambo sasa anatafuta simpath kutoka kwa watu ilikua kama mzaha anashangilia, mara watu wazima wanapiga makelele kulia kwamba hajala.
Now anasema ndani kumeoza maana yake hana imani hata na viongozi wenzake. Walioko nje watasaidia nini kama wandani ushawaona uozo. Hakuna serikali popote duniani inayoona hatari mbele yale na wakakuchekea HAIPO NA HAITOKUJA KUWEPO.
Mtetete dhalimu Magufuli kwa mengine, haya yanayoendelea hapa nchini yana mkono wa moja kwa moja ya utawala wa kishenzi wa Magufuli.Hata huyo lissu naye ni mpumbavu anavuna matokeo ya upumbavu wake ...walio jifanya marafiki zake dhidi ya JPM kina Samia na Rostam azizi , kikwete nk ...hadi kupigiana simu kupongezana kuhusu kifo cha JPM, ndiyo wanao mshikilia gerezani .....LISSU ALITUMIWA NA RAIA FEKI DHIDI YA MZALENDO JPM LEO ANAVUNA ALICHO PANDA.
Sio kwa Lisu, kwa taarifa yako waliweka hadi cctv ili kumdhalilisha.Ndiyo nyinyi ni Wapumbavu tena Hadi Mama, Baba na Shangazi zenu wapumbavu article imejaa uongo eti analala kinyesi kiko mbele yake Tanzania Hakuna Jela ya hivyo Cells zote zina Vyoo na usafi unafanywa vizuri kila Gereza
Huyo anapenda kukaa huko tu,asitie huruma hapa.Mi nilitamani sana jamaa asiweke mapingamizi,ili kesi hii iishe haraka,kama kuhukumiwa ijulikane.. Yeye mwenyewe anachangia kesi yake iwe prolonged.
Unashirikiana na mtu anayetamba hataki katiba mpya? Mnashirikiana kwenye utekaji ama? Magufuli hakuwa anataka ushirikiano, alikuwa anataka kunyenyekewa, ama akivunja sheria asihojiwe. Lisu hashirikiani na mtu mwenye ajenda ya utekaji. Usitake kumtakatishia Magufuli kwenye hii kesi ya Lisu.True Lissu alitakiwa kushirikiana na Magufuli
Jamaa angekubali tu ikibidi ajiunge tu kwenye serikali ya Umoja wa kitaifa kama tunavyosikia tetesi kwamba amesha ombwa mara kadhaa lakini anakaza fuvu,, sisi tunao msapoti tumelala na wake zetu majumbaniHuyo anapenda kukaa huko tu,asitie huruma hapa.
Mara ngapi kapewa mapendekezo hataki ni kubishana tu ili awe gwiji wa sheria huku anaumia.
Pumbavu
Weka hayo mapendekezo hapa, ama mapendekezo ya kulamba asali kisha majizi yaendelee kukaa madarakani?Huyo anapenda kukaa huko tu,asitie huruma hapa.
Mara ngapi kapewa mapendekezo hataki ni kubishana tu ili awe gwiji wa sheria huku anaumia.
Pumbavu
Mke kitu gani boss zaidi ya kujambiana tu usiku. Hebu kaa kimya boss kama huna jipya.Jamaa angekubali tu ikibidi ajiunge tu kwenye serikali ya Umoja wa kitaifa kama tunavyosikia tetesi kwamba amesha ombwa mara kadhaa lakini anakaza fuvu,, sisi tunao msapoti tumelala na wake zetu majumbani
Yeye mwenyewe alijificha atamsaidia nani? Hebu acha kutaka kumpa sifa asiyokuwa nayo.Gwajima aingilie ili suala anaweza kusandia Lissu kutoka mapema
Upumbavu wao ni nini boss, au unalitumia hilo neno kama fashion?Sadly lissu anapambania watu wapumbavu
Watanzania, mmelala?
Mimi sijalala hadi sasa! Hii si leo, hii si kesho – hii ni vita ya maisha na uhai wangu! Niko hapa peke yangu, njaa inaungua ndani yangu, sina chochote kinywani, wala sijui nini kinachoendelea kuhusu hatima yangu! Mimi si jambazi, si gaidi. Kama ni hivyo, nipelekeni mbele ya haki! Nipelekewe ili kuthibitishwa! Lakini hamnioni? Mnasikia sauti yangu? Au nyinyi mmelala?
Watanzania, ninyi ni ndugu zangu, ni damu yangu. Uzaliwa wangu Singida haunifanyi niwaone watu wa Morogoro, Tanga, au Dar es Salaam kuwa wageni. Sisi wote tu wa damu moja! Lakini kwa nini kimya hiki? Kwa nini hakuna anayesimama nami? Mmefumba macho? Au mmelala?
Mimi sijalala hadi sasa! Hii ni vita ya maisha na uhai wangu!
Watanzania, kama ninaweza kuteswa hivi, kuumizwa mpaka mwili wangu unakataa kunibeba, basi niambieni – mti mbichi watautendea vipi? Maana kama hoja yangu ni kupindua nchi, basi kesi iko wapi mahakamani? Mbona sipelekwi mbele ya sheria ili nami nione haki? Mbona mmekaa kimya? Mbona sauti zenu zimezibwa? Sijaogopa tuhuma! Zileteni hizo tuhuma! Hata kama ni kunyongwa, nijue hukumu yangu kwa macho yangu! Lakini hamtaki? Au bado mmelala?
Mimi sijalala hadi sasa – na hii vita inanichoma moyo!
Tazama, nazidi kuumwa, nazidi kulegea. Madawa yananiokonywa, huduma za afya zinaninyang’anywa. Unasema niko salama? Unasema nitapona? Siku moja ukija humu, utadhani wewe ni mti mbichi au mkavu? Unafikiri utatendewa vyema zaidi yangu? Kula kwangu ni mashaka kila siku, uhuru wangu umekandamizwa chini ya nyayo za giza. Na nyinyi mnaangalia tu? Machozi yangu yanamwagika kama mvua ya masika, lakini hakuna anayeona. Au mmelala?
Mimi sijalala hadi sasa – hii ni vita ya maisha na uhai wangu!
Njooni! Njooni mwone ninayopitia! Sikieni majozi yangu, enyi wana wa Tanzania! Kama bado mna moyo, kama bado mna damu inayowaka, simameni nami! Msiache nife kwa kimya!
---
NINI KIFANYIKE?
Kwanza, nimepangiwa utabiri wa kuletwa na nabii kuwa nitakaa hadi 2030. Natamani niseme nacheka, lakini machozi yananiuma. Wanataka kunifanyia pressure? Wanataka nijisikie nimefungwa muda wote huo? Hii set-up, kamwe sitaikubali! Nchi hii ya babu na bibi zetu ilipiganiwa kwa damu na machozi ili tuituze kwa vizazi vyetu! Sisi ndio wenye nchi! Tuikatae kwa nguvu zetu zote!
Tuanzishe michakato nje ya Tanzania. Maana ndani humu kote kumeoza. Kwa nyinyi mliopo nje na mliopo ndani – naombeni, waambieni dunia: “Mtu wetu ametupwa humu kwa dhuluma.” Siku moja wewe na kizazi chako mtaandikwa kwenye vitabu vya enzi: “Ulinitendea wema nilipokuwa vifungoni.”
Naweza kufa leo, naweza kufa kesho, lakini wema wenu hautasahaulika mbele ya Mwenyezi Mungu na mbele ya historia.
Basi nyinyi rejeeni kulala kwa amani. Mimi nitaendelea kukesha. Nitasoma vitabu vyangu. Usingizi nitapata, lakini sasa si wakati wa kulala. Nipo hapa na kinyesi mbele yangu kama kukombolewa. Lakini mimi si mti mkavu – mimi ni binadamu, nina roho inayopiga kelele!
Kwaheri.
Na Eid njema kwenu nyote.
Yeye mwenyewe alijificha atamsaidia nani? Hebu acha kutaka kumpa sifa asiyokuwa nayo.
Kwani upumbavu ni nini mkuu ?Upumbavu wao ni nini boss, au unalitumia hilo neno kama fashion?
Ww ndio useme umewaita watu wapumbavu kwa muktadha upi.Kwani upumbavu ni nini mkuu ?
Kwanini nitumie neno kama pumbavu kwa kuvuta attention
Jela Guard kuna CCTV ni Muhimu mule kuna wahalifu na watu hatari so lazima pawe monitored mda wote tunavyoongea mda huu pamoja na kuta ndefu pamezungukwa na askari wanaingia shift za saa nane nane kila siku kuhakikisha usalama wao lakini kuhakikisha hawatorokiSio kwa Lisu, kwa taarifa yako waliweka hadi cctv ili kumdhalilisha.
Mtetete dhalimu Magufuli kwa mengine, haya yanayoendelea hapa nchini yana mkono wa moja kwa moja ya utawala wa kishenzi wa Magufuli.
Hio itaitwa opereshen safisha au usiku wa damu chafuInaumiza sana.
Siku upinzani mkichukua nchi hakikisheni mnawatafuta hawa mmoja baada ya mwingine au ndugu zao.
1. Viongozi wa serikali ya awamu ya tano iliyoongozwa na Pombe Magufuli.
2. Samia Suhulu
3. Jakaya Kikwete and co
4 Viongozi wa polisi.
Hawa ni wakuwapoteza hata kama watakuwa wazee na kama wamekufa ndugu na watoto wao wapo.
Itakuwa ujuha na dhihaka kwa watanzania kama hawa watu wataachwa.
Hayuko na wengine bali cell ya peke yake, na alisema mahakamani kawekewa cctv ili kumdhalilisha. Hiyo hadi kuongea na wanasheria wake anasikilizwa na askari magereza ni kinyume cha sheria.Jela Guard kuna CCTV ni Muhimu mule kuna wahalifu na watu hatari