Kilio na sala ya Lissu toka Ukonga: Watanzania mmelala? Mimi sijalala

Gwajima huwa ana access ya kupata za ndani sana hivyo hufunguka kwa codes
 
Gwajima huwa ana access ya kupata za ndani sana hivyo huf
Hapana.
Ya Gwajima yaweke pembeni kwanza (ninayo mengi juu yake )

Hilo andiko hapo juu ya mada hii limetoka wapi; hilo ndilo swali langu kama unalo jibu.
Ooh OK tumelisoma mitandaoni.. Its like kuna waraka TAL kauandika leo
 
An evil woman will burn her country down to rule over the ashes!
 
Ooh OK tumelisoma mitandaoni.. Its like kuna waraka TAL kauandika leo
Naomba unisamehe mkuu 'Mshana'; andiko hilo kamwe haliwezi kuwa na uhusiano wowote na Tundu Lissu, achilia mbali kuwa yeye kachangia maoni ya kipuuzi kama yaliyoandikwa humo.
Andiko hili limeletwa hapa kwa madhumuni maalum; kuvuruga na kukatisha tamaa wenye roho nyembamba

Ni kampeni ya kipuuzi sana hii toka kwa watu wasiokuwa na akili vichwani.

Tundu Lissu hawezi kuandika upuuzi huu.
 
Mmeshindwa kumpambania Lissu kwenda kule kumchukua mnapambana na Keyboard mitandaoni tukiwasoma mitandaoni unaweza kusema hawa watu wanaweza kwenda kumchukua Lissu Ukonga mda wowote lakini kumbe ni hopeless tuu
 
Mi nilitamani sana jamaa asiweke mapingamizi,ili kesi hii iishe haraka,kama kuhukumiwa ijulikane.. Yeye mwenyewe anachangia kesi yake iwe prolonged.
Hata asingeweka mapingamizi wangetumia tu mbinu za kitoto na za kijinga kuprolong. Wanataka tu maridhiano siyo eti kesi imekuwa ndefu kwa ajili ya mapngamizi.
 
Hizi huruma mnazitaka za nini?

Kwani atakuwa binadamu wa kwanza kufa hapa duniani? Atakuwa wa kwanza kufa hapa tanzania? Hata sisi tulishawapoteza mababu zetu na bibi zetu...wanatia huruma kwa lipi?

Kila kitu unachokipanga jua kina gharama zake

Uliahidi kukinukisha, hyo ndo gharama yake..

WAAMBIE TEC WAKUPELEKEE CHAKULA

MUELEZE KITIMA KUWA ALIKUSHAURI UJINGA

TANZANIA NI KUBWA KULIKO TUNDU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…