Kilio na sala ya Lissu toka Ukonga: Watanzania mmelala? Mimi sijalala

uko sahihi, sasa kesi si iendelee ama serekali inajilinda nje ya sheria? Unataka kuonyesha serekali ina haki, lakini voters turn out ya juzi imeonyesha serekali haina uhalali wa umma. Usichanganye serekali na genge la majizi liloko madarakani.
 
Mtetete dhalimu Magufuli kwa mengine, haya yanayoendelea hapa nchini yana mkono wa moja kwa moja ya utawala wa kishenzi wa Magufuli.
 
Ndiyo nyinyi ni Wapumbavu tena Hadi Mama, Baba na Shangazi zenu wapumbavu article imejaa uongo eti analala kinyesi kiko mbele yake Tanzania Hakuna Jela ya hivyo Cells zote zina Vyoo na usafi unafanywa vizuri kila Gereza
Sio kwa Lisu, kwa taarifa yako waliweka hadi cctv ili kumdhalilisha.
 
Mi nilitamani sana jamaa asiweke mapingamizi,ili kesi hii iishe haraka,kama kuhukumiwa ijulikane.. Yeye mwenyewe anachangia kesi yake iwe prolonged.
Huyo anapenda kukaa huko tu,asitie huruma hapa.
Mara ngapi kapewa mapendekezo hataki ni kubishana tu ili awe gwiji wa sheria huku anaumia.
Pumbavu
 
True Lissu alitakiwa kushirikiana na Magufuli
Unashirikiana na mtu anayetamba hataki katiba mpya? Mnashirikiana kwenye utekaji ama? Magufuli hakuwa anataka ushirikiano, alikuwa anataka kunyenyekewa, ama akivunja sheria asihojiwe. Lisu hashirikiani na mtu mwenye ajenda ya utekaji. Usitake kumtakatishia Magufuli kwenye hii kesi ya Lisu.
 
Huyo anapenda kukaa huko tu,asitie huruma hapa.
Mara ngapi kapewa mapendekezo hataki ni kubishana tu ili awe gwiji wa sheria huku anaumia.
Pumbavu
Jamaa angekubali tu ikibidi ajiunge tu kwenye serikali ya Umoja wa kitaifa kama tunavyosikia tetesi kwamba amesha ombwa mara kadhaa lakini anakaza fuvu,, sisi tunao msapoti tumelala na wake zetu majumbani
 
Huyo anapenda kukaa huko tu,asitie huruma hapa.
Mara ngapi kapewa mapendekezo hataki ni kubishana tu ili awe gwiji wa sheria huku anaumia.
Pumbavu
Weka hayo mapendekezo hapa, ama mapendekezo ya kulamba asali kisha majizi yaendelee kukaa madarakani?
 
Jamaa angekubali tu ikibidi ajiunge tu kwenye serikali ya Umoja wa kitaifa kama tunavyosikia tetesi kwamba amesha ombwa mara kadhaa lakini anakaza fuvu,, sisi tunao msapoti tumelala na wake zetu majumbani
Mke kitu gani boss zaidi ya kujambiana tu usiku. Hebu kaa kimya boss kama huna jipya.
 

Kuna wakati binadamu tunajipa status ya Umungu Mtu, sababu ya madaraka au mali nakadhalika...lakini mambo yote yanapita, tena upesi sana.
 
Sio kwa Lisu, kwa taarifa yako waliweka hadi cctv ili kumdhalilisha.
Jela Guard kuna CCTV ni Muhimu mule kuna wahalifu na watu hatari so lazima pawe monitored mda wote tunavyoongea mda huu pamoja na kuta ndefu pamezungukwa na askari wanaingia shift za saa nane nane kila siku kuhakikisha usalama wao lakini kuhakikisha hawatoroki
 
Mtetete dhalimu Magufuli kwa mengine, haya yanayoendelea hapa nchini yana mkono wa moja kwa moja ya utawala wa kishenzi wa Magufuli.


Kwahiyo JPM bado anaongoza hii Nchi akiwa mafichoni,si ndio?,

tatizo lenu ninyi ni WAPUMBAVU kama hao wafuasi wa CCM, tofauti ni ninyi bado hamjapata madaraka,


.mlitumika kwa kujua ama kutokujua na WAHUNI kumkwamisha na kumvuruga JPM katika kipindi chake,ajabu hamtaki kuona na kukubali makosa yenu zaidi ya kuendelea kumtupia lawama mtu ambaye hayupo kwa zaidi ya miaka minne,

mbona sijawahi kukuona ukimlaumu mbowe kwa yanayoendelea leo hii Nchini na yanayompata lissu?
 
Hio itaitwa opereshen safisha au usiku wa damu chafu
 
Jela Guard kuna CCTV ni Muhimu mule kuna wahalifu na watu hatari
Hayuko na wengine bali cell ya peke yake, na alisema mahakamani kawekewa cctv ili kumdhalilisha. Hiyo hadi kuongea na wanasheria wake anasikilizwa na askari magereza ni kinyume cha sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…