Kilio na sala ya Lissu toka Ukonga: Watanzania mmelala? Mimi sijalala

Mtetete dhalimu Magufuli kwa mengine, haya yanayoendelea hapa nchini yana mkono wa moja kwa moja ya utawala wa kishenzi wa Magufuli.
Siku zote nasema huwezi kumtenganisha Ngosha na ushetani/udhalimu unaoendelea hapa nchini.
 
Daah ! ama kweli. Hivi kweli ile jeuri ya Lissu anaingia mahakamani kwa mbwembwe na kujitapa kuwa hamna kitu hapa kwenye hii kesi na anasubiri uchaguzi uishe tu aachiwe huru ndiye huyu amefikia hapa?
 
Daah ! ama kweli. Hivi kweli ile jeuri ya Lissu anaingia mahakamani kwa mbwembwe na kujitapa kuwa hamna kitu hapa kwenye hii kesi na anasubiri uchaguzi uishe tu aachiwe huru ndiye huyu amefikia hapa?
Jmaa ni msanii sana. Halafu akina Heche wanadai eti kuna mtu alitumwa kumshawishi alegeze msimamo wake ili aachiwe halafu akiachiwa aende nje ya nchi. Wanasema Tundu alikataa!! Uzushi tu, hakuna kitu kama hicho, asubiri Mahakama tu
 
Siasa ni upuuzi TU, haimake sense ety mtaka madaraka ananipigania Mimi nisie na ajira wakati yy mwenyewe mapigano yangu yamfanye apate ulaji ni mpuuzi TU ataamini huo ushwaini.
 
Kaka sijamtaja SAMIA popote hapa... Samia sio serikali kaka na ndio mwanzo wa kufeli kwa sababu hamjui mnapambana na nani.... Matusi na kejeli kwa SAMIA ni upuuzi SAMIA sio serikali
Serikali ni polisi wanaolinda maslahi ya Samia na Genge lake; hilo nalo hulijui?
 
Nami nahisi hivyo. Watamuua
Diaspora waombe msaada kutoka iwa Trump or any other international organisation to intervene
Kwa jina Yesu nakataa roho ya mauti kwa TAL...Mungu aliyemweka hai pamoja na risasi 17 alizopigwa atamweka hai hadi siku anayoijua yeye mwenyewe!
 
Kwa jina Yesu nakataa roho ya mauti kwa TAL...Mungu aliyemweka hai pamoja na risasi 17 alizopigwa atamweka hai hadi siku anayoijua yeye mwenyewe!
Zile mbwembwe za kizimbani kumbe ni danganya toto?? Kumbe kalegea tayari!!
 
Jmaa ni msanii sana. Halafu akina Heche wanadai eti kuna mtu alitumwa kumshawishi alegeze msimamo wake ili aachiwe halafu akiachiwa aende nje ya nchi. Wanasema Tundu alikataa!! Uzushi tu, hakuna kitu kama hicho, asubiri Mahakama tu
Yaani watu kabisa wenye akili zao eti wakae chini waongee na Lisu eti tukuachie halafu ukitoka uende nje ya nchi. Kwa kawaida uwongo unakuwa na ladha lakini uongo huu hauna. Huyo Tundu ni muongo kama Trump pale anaposema jana ameongea na viongozi wa Iran na wamefikia mahali pazuri wakati huohuo viongozi wa Iran wakimshangaa na kukanusha kwamba hakuna jambo kama hilo.Kwa hiyo jameni tumsamehe ndugu yetu TL pamoja na CHADEMA wote,kwa sababu uwongo katika siasa kwa sasa upo katika ngazi za kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…