Killy na Cheed wajitoa King's Music

Naanza kuamin kwamba alikiba kma mbinafsi na hawez kuongoza kipaji cha mtu kukua.. hasaaaa doa lake ni kutokutoa nyimbo.. vijana wanajua na wanavipaji ila kiba anawabana sanaa, mwaka wa 2 huu nyimbo hta 5 hazifiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa wangekuwa WCB hapa pangewaka humu JF .

Wangeanza

" Mondi kachuja,Babutale,Sallam wanyonyaji,Mondi siku hizi anatoa matataka nyimbo alikuwa anatungiwa na madogo........mara hee.....mara hooi.....Mondi anawadhulumu.."

Threads hapa zingekuwa mia humu JF.Mondi ana moyo sio kazi ndogo unakaa na msanii zaidi ya miaka mitatu,haingizi hata senti unamfundisha na kumwandaa na maisha ya mziki,una mbrand,unampromote ,unamtengenezea connection ktk Industry kubwa za Africa mpaka anafika kileleni si kazi ndogo unahitaji uwe na moyo wa uvumilivu.
 
Wameona huu ni ufala sasa, Wamemuona msanii kama Zuchu hana hata mwezi kwenye game lakini ameshakuwa maarufu vibaya,Wimbo wake mmoja tu aliotoa unamtoa mbio Boss wao kwa views YouTube, wameona haina maana kusimamiwa na King asiye na version.
 
Nyie mashabiki maandazi wa Alikiba mnaona jinsi game LA muziki lilivyo gumu??...msifikiri kumsimamia mtu ni kazi rahisi tu kama kunya...Daily mnamtukana Diamond kuwa ni mnyonyaji ndio maana Harmonize kajitoa mmeona sasa mlivyoumbuka na boss wenu hapo mtamuita nani?..nadhani tukiacha chuki na ushabiki maandazi ule wa Spartacus Mnyama Mkali nadhani game letu LA muziki wa Tz litakuwa tishio Africa
 
Sio hana hela au hawezi hapana kiba hayuko serious kabisaaa na muziki[emoji16] halafu hana moto kama zamani. Nyota imekufa kwenye mziki. Kabisaaaa
Kiba wa zamani alikuwa hot sana, nlikuwa naskiliza sana ngoma zake enzi hizo Makmuga,dushelele, Nakshinakshi, sindelela, na nyinginezo nyingi tu,


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie kama Mashabiki wa kingmusic mnaweza kuelezea Vipi jinsi mlivyoumia katika hili?

son of almighty God.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…