MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Ndio hawa wenye sauti kama ya Ruby??Cheed dogo ana kipaji...alikiba hamtendei haki.
Ni yule aliyeimba verse ya kwanza Masoz kama waujua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hawa wenye sauti kama ya Ruby??Cheed dogo ana kipaji...alikiba hamtendei haki.
Ni yule aliyeimba verse ya kwanza Masoz kama waujua.
Duuh. Yawezekana kuna tatizo kwake amaKilly hii management ya tatu kujitoa
Kiuhalisia kwa hali zetu huwez acha chanc am ela kisa wataka mkatabaUzuri kiba hakuwapa mkataba najiuliza why??..au aliona mbali kama yatakuja kutokea kama haya?..na je hao vijana waliwezaje kufanya kazi bila mkataba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yawezekana amawai kua hadi chini ya papaa misifa
Too bad.Naanza kuamin kwamba alikiba kma mbinafsi na hawez kuongoza kipaji cha mtu kukua.. hasaaaa doa lake ni kutokutoa nyimbo.. vijana wanajua na wanavipaji ila kiba anawabana sanaa, mwaka wa 2 huu nyimbo hta 5 hazifiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa wangekuwa WCB hapa pangewaka humu JF .Kusimamia msanii mchanga mpaka atoboe sio kazi ndogo hapo ndo ninapokuja kumpa heshima yake chibu Dangote.. Bahati mbaya zuchu ametrend kuliko wao ambao wana mda mrefu kwenye gemu Kiba ni tayari Legend na ana fans wake sasa anataka awapeleke madogo kama yeye wakati ndo kwanza wanaanza sio poa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angebaki tu kulekule RockStar..Kiba alikurupuka kuanzisha lebo
Kiba wa zamani alikuwa hot sana, nlikuwa naskiliza sana ngoma zake enzi hizo Makmuga,dushelele, Nakshinakshi, sindelela, na nyinginezo nyingi tu,Sio hana hela au hawezi hapana kiba hayuko serious kabisaaa na muziki[emoji16] halafu hana moto kama zamani. Nyota imekufa kwenye mziki. Kabisaaaa
Itabidi hao madogo wauze nyumba zao 3 kumrudishia Ally Kiba pesa zake.
Nyie kama Mashabiki wa kingmusic mnaweza kuelezea Vipi jinsi mlivyoumia katika hili?Waliyokuwa wasanii wa kingsmusicrecords, cheed na lkilly wametangaza leo asubuhi kujitoa kwenye lebo hiyo kupitia ujumbe wa pamoja walioweka kwenye kurasa zao Instagram.
Wawili hao wamemshukuru alalikiba pamoja na Uongozi mzima wa KingsMusic kwa nguvu na sapoti waliyoiwekeza kwao tangu walipoingia kwenye lebo hiyo ya muziki.
Killy na Cheed ni miongoni mwa wasanii wa awali waliotambulishwa katika lebo hiyo mwanzoni mwa Oktoba 2018.
[emoji23]Robidinyo aka Spartacus the mnyama mkali... jaziajazia nyama basi kauzi kapendeze, sisi team Usafini hatujawahi kuwa na muda mchafu wa kumfuatilia kibakuli na genge lake... Tunakutegemea sana katika hili ili tupate ubuyu kamili wa huko kwenu