Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni kuthamini sana nyama ya ng’ombe, mbuzi na kondoo. Kutegemea hao wanyama ndio shida inapoanzia.Kwa takwimu za kimataifa, katika bara la Africa, Tanzania ni nchi ya pili kwa wingi wa Ng'ombe (bila kujumuisha kondoo, mbuzi, na kuku) ikitanguliwa na Ethiopia. Sasa cha kujiuliza, kitu gani kinapelekea kupanda kwa bei ya nyama mpaka kilo 13,000?.
Hivi mnajua maana ya 13,000? Kwa familia ya kawaida mboga ya siku moja kilo moja haitoshi angalau kilo mbili kwa 26,000/=. Hii ni aibu kama taifa. Kwa upande wa pili, hivi hawa vijana waliomaliza shule na vyuo wanaolialia hakuna ajira na kushinda mitaani wanazurula na bahasha wakiomba kazi hawaoni hii fursa?
Wanashindwa nini kutafuta mapori na kupewa kibali na serikali za vijiji na kununua ndama na kuzikatia majani na kuzichotea maji na kuzinenepesha ndani ya mwaka zikazaliana ndani ya miaka mitatu wakaanza kuvuna? Yangu ndo haya napita!🚶🏻♀️🚶🏻🏃🏻♀️🏃🏻
Kibudu hikooMtaani kwangu (Pugu) ni 6000
Vibudu vinaliwa daily km hujui kaka na huku Dodoma PUNDA ndo wanaliwa ogopa nyama ya elf 7Hii nyama kupanda bei ni hatari sana kwa afya za wananchi. Wananchi wataanza kula vibudu, mifugo inayojifia na kutupwa hovyo bila kufukiwa kama zile ng'ombe, mbuzi, kondoo, kuku wanaokufa minadani wakiwa wanauzwa. Wananchi wataanza kula hata mizoga kama ng'ombe waliokufa machungani na kutelekezwa na wenyewe. Kuna hatari ya kula hata wanyamapori kimagendo, kijangili na kiharamia. Wanyama wasioliwa kama simba, chui, fisi, mbweha, nyani, mamba, mwewe na ndege wengine wasioliwa wataanza kuliwa na tayari walafi wa nyama wameanza kuwala, ni hatari sana kwa afya zao
Hao ng'ombe watawakuta porini huko au watapewa bure?Kwa takwimu za kimataifa, katika bara la Africa, Tanzania ni nchi ya pili kwa wingi wa Ng'ombe (bila kujumuisha kondoo, mbuzi, na kuku) ikitanguliwa na Ethiopia. Sasa cha kujiuliza, kitu gani kinapelekea kupanda kwa bei ya nyama mpaka kilo 13,000?.
Hivi mnajua maana ya 13,000? Kwa familia ya kawaida mboga ya siku moja kilo moja haitoshi angalau kilo mbili kwa 26,000/=. Hii ni aibu kama taifa. Kwa upande wa pili, hivi hawa vijana waliomaliza shule na vyuo wanaolialia hakuna ajira na kushinda mitaani wanazurula na bahasha wakiomba kazi hawaoni hii fursa?
Wanashindwa nini kutafuta mapori na kupewa kibali na serikali za vijiji na kununua ndama na kuzikatia majani na kuzichotea maji na kuzinenepesha ndani ya mwaka zikazaliana ndani ya miaka mitatu wakaanza kuvuna? Yangu ndo haya napita!🚶🏻♀️🚶🏻🏃🏻♀️🏃🏻
usidharau MBWA bro. kumtunza mbwa kuna gharama kuliko kumtunza ng'ombe. Hata bei ya mbwa (wale walio MBWA kwelikweli) Iko juu ya bei ya ng'ombe.Huyo anayetoa bei elekezi anafuga hata mbwa kweli?
Naelewa mkuu kuna jamii ya mbwa bei ziko juu sana.usidharau MBWA bro. kumtumza mbwa kuna gharama kuliko kumtumza ng'ombe. Hata bei ya mbwa (wale MBWA kwelikweli) Iko juu ya bei ya ng'ombe.
Ukiweka chumvi na limao mbona mwakeKibudu hikoo
Ni kwasababu ya mambo ya kidini mkuu, wengine hawamtumii mbuzi katoliki.Kitimoto haiwezi kuwa mbadala wa nyama ya ng'ombe! Sijawahi ona sherehe za heshima zikiandaliwa na nyama ya nguruwe
Tutakula utumbo,nao ikishindikana tutabakia kula finyango za miguu ya kuku,filigisi na vichwa,muhimu hapo upate nyanya za kutosha...Kwa takwimu za kimataifa, katika bara la Africa, Tanzania ni nchi ya pili kwa wingi wa Ng'ombe (bila kujumuisha kondoo, mbuzi, na kuku) ikitanguliwa na Ethiopia. Sasa cha kujiuliza, kitu gani kinapelekea kupanda kwa bei ya nyama mpaka kilo 13,000?.
Hivi mnajua maana ya 13,000? Kwa familia ya kawaida mboga ya siku moja kilo moja haitoshi angalau kilo mbili kwa 26,000/=. Hii ni aibu kama taifa. Kwa upande wa pili, hivi hawa vijana waliomaliza shule na vyuo wanaolialia hakuna ajira na kushinda mitaani wanazurula na bahasha wakiomba kazi hawaoni hii fursa?
Wanashindwa nini kutafuta mapori na kupewa kibali na serikali za vijiji na kununua ndama na kuzikatia majani na kuzichotea maji na kuzinenepesha ndani ya mwaka zikazaliana ndani ya miaka mitatu wakaanza kuvuna? Yangu ndo haya napita!🚶🏻♀️🚶🏻🏃🏻♀️🏃🏻
Alikuambia Nani?Viini lishe vya nyama ya ng' ombe viko juu kuliko kuku!
Mbona supu wanakunywa?Nasikia enzi za mtume ndiyo ilikuwa mlo wa kifalme mpaka mtume akapiga marufuku kitimoto kuliwa hadharani ila mpaka siku maalum tena inaliwa na wafalme tu
Kitimoto ni 12,000 huku kwetuBei elekezi ni 10,000
Solution ni kufuga wanyama wako mwenyeweNamshukuru Mungu najimudu lakini kwa familia nyingi za kibongo mtoto atazaliwa mpaka anakufa hajawai kuonja nyama ya ng'ombe