Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kufuga gharama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajala nyamaNi Raana sio Laana.
Sababu ni zilezile.
Neocolonialism
Lack of patriotism
Kiasi kwamba Nyama yote inaenda Nje kwenye Bei nzuri.
Humu ndan tunabakishiwa makombo.
Labda chura mwenyeweHivi tangu chura kiziwi awe rais ni bidhaa gani imeahuka bei?
Kama sijakosea kati ya 2017-19 Nyama kilo ilikuwa TZS 5000/= tuKisa nyama 13000 umeona uwageukie graduates!?
Anyway mbona bei ya kawaida we unataka ununue nyama 6000
Uko sahihi ilikuwa ikipanda na kufika 7000 siku za siku kuuKama sijakosea kati ya 2017-19 Nyama kilo ilikuwa TZS 5000/= tu
Kweli chura kama chura kashukaLabda chura mwenyewe
Kama ngombe ni ghali anza kula vyura, konokono, ngedere, panya, mbwa, senene, mijusi, panya buku etcKwa takwimu za kimataifa, katika bara la Africa, Tanzania ni nchi ya pili kwa wingi wa Ng'ombe (bila kujumuisha kondoo, mbuzi, na kuku) ikitanguliwa na Ethiopia. Sasa cha kujiuliza, kitu gani kinapelekea kupanda kwa bei ya nyama mpaka kilo 13,000?.
Hivi mnajua maana ya 13,000? Kwa familia ya kawaida mboga ya siku moja kilo moja haitoshi angalau kilo mbili kwa 26,000/=. Hii ni aibu kama taifa. Kwa upande wa pili, hivi hawa vijana waliomaliza shule na vyuo wanaolialia hakuna ajira na kushinda mitaani wanazurula na bahasha wakiomba kazi hawaoni hii fursa?
Wanashindwa nini kutafuta mapori na kupewa kibali na serikali za vijiji na kununua ndama na kuzikatia majani na kuzichotea maji na kuzinenepesha ndani ya mwaka zikazaliana ndani ya miaka mitatu wakaanza kuvuna? Yangu ndo haya napita!🚶🏻♀️🚶🏻🏃🏻♀️🏃🏻
ni muhimu kula kuku mzima kwa nusu bei ya nyama gentleman 🐒Kwa takwimu za kimataifa, katika bara la Africa, Tanzania ni nchi ya pili kwa wingi wa Ng'ombe (bila kujumuisha kondoo, mbuzi, na kuku) ikitanguliwa na Ethiopia. Sasa cha kujiuliza, kitu gani kinapelekea kupanda kwa bei ya nyama mpaka kilo 13,000?.
Hivi mnajua maana ya 13,000? Kwa familia ya kawaida mboga ya siku moja kilo moja haitoshi angalau kilo mbili kwa 26,000/=. Hii ni aibu kama taifa. Kwa upande wa pili, hivi hawa vijana waliomaliza shule na vyuo wanaolialia hakuna ajira na kushinda mitaani wanazurula na bahasha wakiomba kazi hawaoni hii fursa?
Wanashindwa nini kutafuta mapori na kupewa kibali na serikali za vijiji na kununua ndama na kuzikatia majani na kuzichotea maji na kuzinenepesha ndani ya mwaka zikazaliana ndani ya miaka mitatu wakaanza kuvuna? Yangu ndo haya napita!🚶🏻♀️🚶🏻🏃🏻♀️🏃🏻
Iuzwe tu hata elfu 20.Kwa takwimu za kimataifa, katika bara la Africa, Tanzania ni nchi ya pili kwa wingi wa Ng'ombe (bila kujumuisha kondoo, mbuzi, na kuku) ikitanguliwa na Ethiopia. Sasa cha kujiuliza, kitu gani kinapelekea kupanda kwa bei ya nyama mpaka kilo 13,000?.
Hivi mnajua maana ya 13,000? Kwa familia ya kawaida mboga ya siku moja kilo moja haitoshi angalau kilo mbili kwa 26,000/=. Hii ni aibu kama taifa. Kwa upande wa pili, hivi hawa vijana waliomaliza shule na vyuo wanaolialia hakuna ajira na kushinda mitaani wanazurula na bahasha wakiomba kazi hawaoni hii fursa?
Wanashindwa nini kutafuta mapori na kupewa kibali na serikali za vijiji na kununua ndama na kuzikatia majani na kuzichotea maji na kuzinenepesha ndani ya mwaka zikazaliana ndani ya miaka mitatu wakaanza kuvuna? Yangu ndo haya napita![emoji2212][emoji1321][emoji2090][emoji1322]
Safi sana we endelea kufuga mindevu na smartphone tumeingia katika solo huru kama vipi na ww fugaKwa takwimu za kimataifa, katika bara la Africa, Tanzania ni nchi ya pili kwa wingi wa Ng'ombe (bila kujumuisha kondoo, mbuzi, na kuku) ikitanguliwa na Ethiopia. Sasa cha kujiuliza, kitu gani kinapelekea kupanda kwa bei ya nyama mpaka kilo 13,000?.