Kilo moja ya nyama kuuzwa 13,000 ni laana au ni nini?

Kilo moja ya nyama kuuzwa 13,000 ni laana au ni nini?

Hata sio dharau gharama za ufugaji zimekuwa juu sana usafiri juu lazima nyama ipande
Cha msingi ufugaji wa kuku uongezwe ili kufeed gape
Viini lishe vya nyama ya ng' ombe viko juu kuliko kuku!
 
Back
Top Bottom