muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Hii mizani Ya Daslam sasa, nyama bei juu, Na hapo hapo anakupiga kwenye mzani, Kg 1, anakupa 3/4....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia enzi za mtume ndiyo ilikuwa mlo wa kifalme mpaka mtume akapiga marufuku kitimoto kuliwa hadharani ila mpaka siku maalum tena inaliwa na wafalme tuKitimoto haiwezi kuwa mbadala wa nyama ya ng'ombe! Sijawahi ona sherehe za heshima zikiandaliwa na nyama ya nguruwe
Tatizo letu kama taifa hatutaki ukweli! Nimesema hali halisi kwa upande mwingine ni fursa! Shida hiko wa mkuu!Ulianza vizuri ila hapo mwisho umeonyesha hasira na vijana wanaomaliza chuo kwa shida zako.
Kama unaona kuna fursa changamkia then uje kuajiri hao vijana kukata majani.
Pole!Nenda ukafuge sasa,unalialia et bei kubwa.
Kwa takwimu za kimataifa, katika bara la Africa, Tanzania ni nchi ya pili kwa wingi wa Ng'ombe (bila kujumuisha kondoo, mbuzi, na kuku) ikitanguliwa na Ethiopia. Sasa cha kujiuliza, kitu gani kinapelekea kupanda kwa bei ya nyama mpaka kilo 13,000?.
Hivi mnajua maana ya 13,000? Kwa familia ya kawaida mboga ya siku moja kilo moja haitoshi angalau kilo mbili kwa 26,000/=. Hii ni aibu kama taifa. Kwa upande wa pili, hivi hawa vijana waliomaliza shule na vyuo wanaolialia hakuna ajira na kushinda mitaani wanazurula na bahasha wakiomba kazi hawaoni hii fursa?
Wanashindwa nini kutafuta mapori na kupewa kibali na serikali za vijiji na kununua ndama na kuzikatia majani na kuzichotea maji na kuzinenepesha ndani ya mwaka zikazaliana ndani ya miaka mitatu wakaanza kuvuna? Yangu ndo haya napita!🚶🏻♀️🚶🏻🏃🏻♀️🏃🏻
Samahani mkuu ni wapi huko??Huku ni 16,000
Hivyo vyote haviwezi kuwa mbadala wa ng'ombe! Wengine watakuambia kula kula kunde! Waingereza wanaita kunde "poor man's meat". Ikiwa na maana masikini kama huwezi mudu nyama kula kunde! Huu ni upuuzi kwa nchi ksma Tanzania ya pili kwa kuwa na ng'ombe wengi! Wakati huo tuna mapoli yako tu na nguvu kazi ya vijana wanawaza ngono tu!Kula kuku au dagaa. Chukulia kupanda Bei ya nyama Kama fursa kula vyenye afya
HUku nilipoSamahani mkuu ni wapi huko??
Hao vijana wanaozurura, umewaps hela za kununua hao ndama na kuishi miaka 3 hadi ndama wanenepe wakauze?Kwa takwimu za kimataifa, katika bara la Africa, Tanzania ni nchi ya pili kwa wingi wa Ng'ombe (bila kujumuisha kondoo, mbuzi, na kuku) ikitanguliwa na Ethiopia. Sasa cha kujiuliza, kitu gani kinapelekea kupanda kwa bei ya nyama mpaka kilo 13,000?.
Hivi mnajua maana ya 13,000? Kwa familia ya kawaida mboga ya siku moja kilo moja haitoshi angalau kilo mbili kwa 26,000/=. Hii ni aibu kama taifa. Kwa upande wa pili, hivi hawa vijana waliomaliza shule na vyuo wanaolialia hakuna ajira na kushinda mitaani wanazurula na bahasha wakiomba kazi hawaoni hii fursa?
Wanashindwa nini kutafuta mapori na kupewa kibali na serikali za vijiji na kununua ndama na kuzikatia majani na kuzichotea maji na kuzinenepesha ndani ya mwaka zikazaliana ndani ya miaka mitatu wakaanza kuvuna? Yangu ndo haya napita!🚶🏻♀️🚶🏻🏃🏻♀️🏃🏻
Samahani nataka kujua ni mkoa gani tu, maana hiyo ni fursa kwanguHUku nilipo
Tunakoelekea kilo moja itanunuliwa 30,000 ndo tutatia akiliSamahani mkuu ni wapi huko??
Kiangazi itashuka mpaka 5KKwa takwimu za kimataifa, katika bara la Africa, Tanzania ni nchi ya pili kwa wingi wa Ng'ombe (bila kujumuisha kondoo, mbuzi, na kuku) ikitanguliwa na Ethiopia. Sasa cha kujiuliza, kitu gani kinapelekea kupanda kwa bei ya nyama mpaka kilo 13,000?.
Hivi mnajua maana ya 13,000? Kwa familia ya kawaida mboga ya siku moja kilo moja haitoshi angalau kilo mbili kwa 26,000/=. Hii ni aibu kama taifa. Kwa upande wa pili, hivi hawa vijana waliomaliza shule na vyuo wanaolialia hakuna ajira na kushinda mitaani wanazurula na bahasha wakiomba kazi hawaoni hii fursa?
Wanashindwa nini kutafuta mapori na kupewa kibali na serikali za vijiji na kununua ndama na kuzikatia majani na kuzichotea maji na kuzinenepesha ndani ya mwaka zikazaliana ndani ya miaka mitatu wakaanza kuvuna? Yangu ndo haya napita!🚶🏻♀️🚶🏻🏃🏻♀️🏃🏻
Hizi bei zipo kwenye bucha moja Morogoro nasahau jina lakeTunakoelekea kilo moja itanunuliwa 30,000 ndo tutatia akili
Humu jf tumejaa matajiri hata bei iwe 20000 kwetu sawa tuKwa takwimu za kimataifa, katika bara la Africa, Tanzania ni nchi ya pili kwa wingi wa Ng'ombe (bila kujumuisha kondoo, mbuzi, na kuku) ikitanguliwa na Ethiopia. Sasa cha kujiuliza, kitu gani kinapelekea kupanda kwa bei ya nyama mpaka kilo 13,000?.