Uchaguzi 2020 Kilochopelekea Tundu Lissu kwenda kwa haraka kumwaga sumu Zanzibar

[SUB]Mmmh, siyo kweli kajiendea, ni Ratiba ya Tume na inafuatwa, hawajiamlii tu, ukiwa wanajiamlia so watagongana sehemu moja? Hapo mleta mada umepotoka[/SUB]
Mkuu pamoja na ukweli huu unaowaambia hawatakuelewa kwa sababu ya kushukiwa akili, mbuzi hata umpigie gitaa wiki nzima hawezi kucheza muziki... Huwa ninajiuliza hawa vijana kichwani wamejaza nini?!
 
Baada ya kusoma ulichoandika, niliona ni Bora kwanza nipitie humu kuona kwanza toka lini umo humu... kumbe ni wale wale tu wa 7000/=... kila la kheri kwenye huo ujasiliamali wako
 
Dk. Bashiru watu wako uliowatuma kujibu hoja ni hopeless kabisa. Tafadhali kama mnaona umuhimu wa mitandao katika uhamasishaji jitahidini kurecruit vijana wenye akili timamu. [emoji23]
Tatizo Bashiru na Polepole wanachukua vilaza vya darasa la saba au kidato cha nne ili wawalipe 7000 na wao kupiga mshiko wa hiyo deal.
Hawa wapiga debe wa Mwananyamala - Kinondoni kweli ndio wa kujibu hoja!? Hata wakulima wangu wa zabibu pale Zuzu wanaweza kujibu vizuri zaidi,japokuwa ni wenyeji wa Dodoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afungue vyombo vya habari, mbona kama tunatawaliwa na makaburu
 
Njia gani inatumika kuingia MATAGA, maana kuna thread na comments ukiona unaweza dhani alikuwa kashikiwa jambia/panga kuandika🤨
 
Polepole anaweza kuwa mwenezi wa OVYO kuwahi kutokea CCM, yaani na hapa atakulipa mtu ambaye hujui kama kuna ratiba ya Tume inafuatwa na Wagombea?
 
Samahani naomba unitajie beberu moja tu unalolijua wewe ambalo CCM na serikali yake hawana uhusiano na beberu hilo
 
Toka anaanza kampeni Dar ratiba yake ilikuwa hivyo kuwa ni Arusha,Mwanza,Shinyanga,Tabora,Dodoma,Mbeya,Mtwara,Unguja,Pemba then anarudi Dar kuanza kampeni Rasmi mkoa kwa mkoa jimbo kwa Jimbo.
 
Kweli Lissu atawaua CCM mwaka huu.

Naona si kwa kuweweseka huku
 
Ni kweli kabisa, nani mwenye akili timamu atakayefanya kazi ya hovyo kwa malipo ya buku 7? Huyo ni mtu wa hovyo tu lazima.
 
Yaani umekurupuka utadhani mke wa njagu kafumaniwa.

NEC ndiyo inayotoa ratiba nzima, muwe mnaficha 'uzwazwa' wenu sometimes!
 

Tundu Lissu moja tu ametushika kolodani duh...watu wanakuja kwenye mikutano yake kwakutumia hoja tuu.... Wakati sisi tunatumia Ma lorry,Ma tractor,Makokoteni,wakina Mondi,Chege,na waganga wote wajadi nchi nzima... mimi CCM damudamu lakini huyu mamluki wa mabeberu naona pamekua pagumu kumdhibiti tena embu tukubali tuu.😎
 
[SUB]Mmmh, siyo kweli kajiendea, ni Ratiba ya Tume na inafuatwa, hawajiamlii tu, ukiwa wanajiamlia so watagongana sehemu moja? Hapo mleta mada umepotoka[/SUB]
Sio lazima unaweza ukaahilisha na kuomba upya na time imagalia kama hakuna mgongano wanaruhusu.
 
Sio lazima unaweza ukaahilisha na kuomba upya na time imagalia kama hakuna mgongano wanaruhusu.

Ni kweli unaweza ahirisha na kuomba Muda mwingine kulingana na nafasi ya Ratiba iliyopo.
Mleta maada hakujua kuwa Kuna Ratiba, alidhani wanajiamlia tuu, Ratiba inakuwa controlled na Tume ya Uchaguzi.
 
Mpeni mingine akianza mambo yake mnyamaze, msipige kelele maana bomu likilipuka halichaguwi mlipuaji wala mpita njia.
 
Jeshi la Akiba kazini. Mkilala ni LISSU na mkiamka ni Lissu
LISSU anamtesa chizi Maarifa wa MATAGA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…