Uchaguzi 2020 Kilochopelekea Tundu Lissu kwenda kwa haraka kumwaga sumu Zanzibar

Roho inakuuma. Hata ratiba ya TL unataka upande wewe! Akili nyingine. Wagombea 16 wewe ni nani wa kuwapangia ratiba?
 
Halafu we utapata nini?
 
Propaganda ni mojawapo ya silaha za ushindi ila zinapokabidhiwa kwa mjinga madhara yake ni makubwa kwa watumiaji.
CCM katika vitu imekosea ni kuwekeza kwa vijana wajinga mwisho wake ni aibu.
Sasa kwa umri huo unashindwa kujua hizi kampeni sio kukurupuka tu ila kuna ratiba maalumu iliyopitishwa na tume ya uchaguzi.
Kwani nyinyi vijana wa CCM akili mmemkabidhi nani mpaka mnakuwa vichwa tupu?
 
Kabla hujalopoka hapa jamvini jaribu kuuliza matanga wenzio huenda wakakusaidi baadhi ya mambo... chadema na mgombea wao wa urais walichokua wanakifanya ni kuzindua kampeni kwenye kanda zao kichama ..walianzia dar kanda ya pwani, wakaenda Arusha kanda ya kask, wakaenda Mwanza, kanda ya Victoria, wakaenda shinyanga ,kanda ya Serengeti, waenda Tabora kanda ya magharibi, wakaenda Dodoma kanda ya kati, wakaenda Mbeya kanda ya nyasa, wakaenda Mtwara kanda ya kusini, wakaenda zenj kanda ya unguja na Jana wamemaliza pemba kanda ya pemba ...ukihesabu Ni kanda kumi, na kesho wanaanza mikoani kwa mgawanyiko wa team 4.….team ya Mkiti, team ya mgombea urais..team ya mgombea mwenza na team ya mke wa mgombea urais ...hbr ndo hiyo mkuu acha uongo na kuandika Utupolo kwa usicho kijua ...umeelewa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…