darcity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2009
- 9,101
- 18,055
Kumbe serikali ya Mwendazake ilikuwa inaogopa mabeberu....taarifa hii ni ya November 2018
Sasa hivi unachezea miaka thelathini Kwa kuruhusu mchonyo wako kuingiliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe serikali ya Mwendazake ilikuwa inaogopa mabeberu....taarifa hii ni ya November 2018
Vipi mdogowangu yako ninzima?wahuni hawajapita nayo😅😅Duh! Ni mwendo wa kutoboa spika tu
Kuna mkakati wa kuwasababisha wakiri kwa DPP afu wanashushiwa Rungu la miaka 30Hawa akina delicious, sijui aggrey nao wanachukuliwa hatua gani maana wanatamba tu huku mitaani.
Mbona hawa ndio makonki masterNB: kila siku humu tunasema ushoga hauna dini haya wafia dini mja wenu huyu hapa
Chanzo EastAfricaTV
Lakini unaonaga wanazosema kuwa upande wa wakristo ndo yapoMbona hawa ndio makonki master
Mbona kama wamemgusa hivi unafahamu kupigwa wewe tena shogaDuu walimpiga sijui, laana hizi.
Sijui umesoma vema maelezo. Wamesema anashitakiwa kw kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile, "Kuruhusu" it means yeye ndie anataka huo mchezo hajarubuniwa.Kumfunga mwathiriwa bila watuhumiwa ni sawa na kazi bure. Yaani wakuhukumiwa ni waliomtendea hicho kitendo. Huyo aliyetendewa anapaswa kusaidiwa ili awe sawa kisaikolojia na kimaumbile.
Mabasha ndio hasa watuhumiwa. Wanatumia madhaifu ya wanaume wenzao kutenda ufirauni wao. Just imagine limwanaume lizima linasimamisha uume wake na kuingiza sehemu ya kupitisha mavi ya mwanaume mwenzie, halafu anaachwa huru! Ili iweje? Hao ni kuwakata kabisa hivyo viungo vyao. wanawake wapo weeengi bado unamtamani mwanaume mwenzio?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaachwa huru ili wawazalishe wengine wapyaaa.Na waliomfanya wako huru au sio haha haha au
Kabisaaa yaan.Hapa kuna issues tatu:
1. Waliokuwa wanamwingilia nao wanatakiwa kupata adhabu.
2. Wanawake wanaokubali kuingiliwa kinyume nao wapate adhabu
3. Wanaume wanaowaingilia wanawake kinyume nao adhabu.
Mabasha wanaachwa huru ili wawazalishe wengine wapyaaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumfunga mwathiriwa bila watuhumiwa ni sawa na kazi bure. Yaani wakuhukumiwa ni waliomtendea hicho kitendo. Huyo aliyetendewa anapaswa kusaidiwa ili awe sawa kisaikolojia na kimaumbile.
Mabasha ndio hasa watuhumiwa. Wanatumia madhaifu ya wanaume wenzao kutenda ufirauni wao. Just imagine limwanaume lizima linasimamisha uume wake na kuingiza sehemu ya kupitisha mavi ya mwanaume mwenzie, halafu anaachwa huru! Ili iweje? Hao ni kuwakata kabisa hivyo viungo vyao. wanawake wapo weeengi bado unamtamani mwanaume mwenzio?
hii barua yako ya kitambo sana una maanisha nn kuiweka hapa?
Na aliye muingilia yuko wapiiii???Ameingiliwa na Nani?
Ameingiliwa lini?
Ameingiliwa wakiwa wapi? Shahidi Ni Nani na Nani?
Hizi mahakama za mwanzo zinakiuka Sheria.
Au labda Kibwege amechoka kuishi mtaani ?
Hata yule wa Mbeya, mhuni aliyemchakachua hakuletwa mahakamani.
Mahakama ya Wilaya ya Kilwa masoko mkoani Lindi imemuhukumu Muharami Ngayoma maarufu Kibwege (30) kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kuruhusu watu kumwingilia kinyume na maumbile.
Hukumu hiyo ya kesi namba 27 ya mwaka 2023 imetolewa Aprili 17,2023 na hakimu mkazi wa mahakama hiyo Carolini Mtui ikiwa ni baada ya kumkuta na hatia juu ya kosa hilo ambalo lipo kinyume na kifungu namba 154 kifungu kidogo cha kwanza, sheria ya kanuni ya adhabu sura namba 16.
Mshitakiwa amekiri kosa hilo hivyo amehukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa lengo la kuifanya jamii kuachana na vitendo ambavyo vinakinzana na sheria za nchi.