dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
si yangu , ni ya serikali yako ya JMThii barua yako ya kitambo sana una maanisha nn kuiweka hapa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
si yangu , ni ya serikali yako ya JMThii barua yako ya kitambo sana una maanisha nn kuiweka hapa?
Yaan ni mkakati wa kuwasababishia? Na si kutumia procedures za sheria kwa welediii??Kuna mkakati wa kuwasababisha wakiri kwa DPP afu wanashushiwa Rungu la miaka 30
Bado weweYaan ni mkakati wa kuwasababishia? Na si kutumia procedures za sheria kwa welediii??
Kheeeh kumbe wanalazimisha wakubalii kukiri??
Makubwaaa haya tenaaa.
Haya kusanya na wenzio mnifatee, wahi wahi harakaa sanaaa.Bado wewe
Hakuna uthibitisho kuwa fulani mfir,aji ila anayefirw,a uthibitisho upoNa aliye muingilia yuko wapiiii???
Mie nashangaa sana mabasha wanaachwaa.
Sasa mwenye uthibitisho, atakuaje na uthibitisho bila huyo mthibitishaji?Hakuna uthibitisho kuwa fulani mfir,aji ila anayefirw,a uthibitisho upo
Husikii hata watoto wanafirana sana siku hizi, huko boarding ndo hapafai kabisa. Dunia imeisha tu, nyakati za mwisho hizi, ngoja ww3 ije wapige nyuklia zao tumalize phaseSasa si wataadhibiwa wananchi wote kasoro watoto
Utathibitishaje kuwa huyu anaingilia?Sasa mwenye uthibitisho, atakuaje na uthibitisho bila huyo mthibitishaji?
Km kuna muingiliwaji bas na muingiliaji yupoo. By the way ni upepoo tyuuh utapitaaa, lazima kafara wawepooo.
Wangekua serious kweli, wangeanza na mabashaa.
Ndo hivo, sababu nasikia hata ushahidi wa video siku hizi haukubaliki, nilidaka mwizi kwa cctv kuipeleka footage polisi wakanambia nimalizane nae tu kitaalam ila hio footage haitonisaidia.Hakuna uthibitisho kuwa fulani mfir,aji ila anayefirw,a uthibitisho upo
Ulishawahi kuwa na kesi mahakamani? Probably no ndo maana unaandika hivoSasa mwenye uthibitisho, atakuaje na uthibitisho bila huyo mthibitishaji?
Km kuna muingiliwaji bas na muingiliaji yupoo. By the way ni upepoo tyuuh utapitaaa, lazima kafara wawepooo.
Wangekua serious kweli, wangeanza na mabashaa.
Mahakamani zinatumika vizuri sana CCTV, Kamera za kawaida etcNdo hivo, sababu nasikia hata ushahidi wa video siku hizi haukubaliki, nilidaka mwizi kwa cctv kuipeleka footage polisi wakanambia nimalizane nae tu kitaalam ila hio footage haitonisaidia.
Kwahiyo vidole viwili vikipita bas anaingiliwa?? Swali anaingiliwa na nn? Je km yeye huwa anajiingiza vidolee vyakee??Utathibitishaje kuwa huyu anaingilia?
Ila anayeingilia unajua tu kwa kumuinamisha na kuingiza kidole
Hayo ni maneno yako, ila mtu akishawekwa mtu kati anakiri mwenyewe na lengo la sasa ni mtu akiri mwenyewe ili afungwe bila kukata rufaa au kuomba review ya uendeshaji kesi.Kwahiyo vidole viwili vikipita bas anaingiliwa?? Swali anaingiliwa na nn? Je km yeye huwa anajiingiza vidolee vyakee??
Unajua kwan case ya yule Afande inarushwaa? Ndo maana hapo juu ulisema kuwa n mkakati wa kuwalazimisha kukiri na sio kufuata taratibu za sheria.
Kwa kukusaidia nilishawahi hojiana na mwanasheria mwenye master's yake, tulibishanaa sanaa, mwisho alikubali na alisema case ya ushoga wanao fungwa wengi ni wale wasiojua hata vifungu vya kanuni na sheria juu ya jambo hilo. Ila ikikutana na mwenye uelewa hafungwi kamwee.
Case zinaendeshwa km kikao cha familia, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wawaonee hawa hawa wa mitaani waliokimbia shule, wawakute wasomi ndo watafurahishwaa na kujuzwa case inaendeshwa vipi.
Hao kina aggrey, Noel, Rio, hawakamatwi na wala hawafungwii.
Inategemea ni case gani, wala usitake kutishaa watu hapaaa, watu bhanaa,Ulishawahi kuwa na kesi mahakamani? Probably no ndo maana unaandika hivo
Wajelajela wamepelekewa mwali japo si kigoliMahakama ya Wilaya ya Kilwa masoko mkoani Lindi imemuhukumu Muharami Ngayoma maarufu Kibwege (30) kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kuruhusu watu kumwingilia kinyume na maumbile.
Hukumu hiyo ya kesi namba 27 ya mwaka 2023 imetolewa Aprili 17,2023 na hakimu mkazi wa mahakama hiyo Carolini Mtui ikiwa ni baada ya kumkuta na hatia juu ya kosa hilo ambalo lipo kinyume na kifungu namba 154 kifungu kidogo cha kwanza, sheria ya kanuni ya adhabu sura namba 16.
Mshitakiwa amekiri kosa hilo hivyo amehukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa lengo la kuifanya jamii kuachana na vitendo ambavyo vinakinzana na sheria za nchi.
Footage itatumika kama ushahidi ikiwa mahakama ilikupa ruhusa ya kurekodi.Mahakamani zinatumika vizuri sana CCTV, Kamera za kawaida etc
Sawa mremboInategemea ni case gani, wala usitake kutishaa watu hapaaa, watu bhanaa,
Kwan case za ushoga wanazofungwa hawa watu unazifuatilia lakini?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan mtu kukiri kwa mdomo anafungwa, ila mwenye video ikionesha wazi ni yeye yuko kwenye tendo anasumbua na case kurushwa rushwaa, maajabu hayaa. Woiiiiiiiiih
alikubali hayo maswali yote aliyajibu mfungwaAmeingiliwa na Nani?
Ameingiliwa lini?
Ameingiliwa wakiwa wapi? Shahidi Ni Nani na Nani?
Hizi mahakama za mwanzo zinakiuka Sheria.
Au labda Kibwege amechoka kuishi mtaani ?
Hata yule wa Mbeya, mhuni aliyemchakachua hakuletwa mahakamani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nachekaaa km chizii, ndo unathibitishaaa kuwa wanakutwa hawa wasiojua chochote, ndo wanakiri ila waelewa hawakiri wanakata rufaa na kuomba review ya uendeshaji wa case.Hayo ni maneno yako, ila mtu akishawekwa mtu kati anakiri mwenyewe na lengo la sasa ni mtu akiri mwenyewe ili afungwe bila kukata rufaa au kuomba review ya uendeshaji kesi.