Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Dahh aisee gari kibao zilikamatwa Uganda kutoka uingereza document kwenye rushwa uliza kingine unadhani gari zinatokaje SA na document sahihi kama sio rushwa mimi nimeona mwenyewe gari zikipokelewa canteen hapo Hong Kong zikipokelewa kutoka Japan zingine zinauzwa hivyo hivyo zingine zinatengenezwa karatasi zinasafirishwa Afrika...Gari la uwizi toka ulaya unalisafirishaje I mean document zake unazipataje ili waweze kulitoa bandarini
Magaidi wameharibu dili itakua nao wanapora nilisikia wakisema wauza sumu nao wanakua na boti zao wanaenda kupokea mizigo yao huko huko baharini na yupo mshkaji mmoja wa bagamoyo aliwahi kuishi Cape Town waliwahi mzamisha na jiwe alikua mzurumati sana walipoenda kupokea mzigo wakamfunga kamba na jiwe wakamtupa mpaka kesho ajaonekana...Cabo Dalgado nini kwa magaidi?
Sehemu ya kula kichwa mimi sipotezi uhai kwa kiasi chochote cha fedha mkuu nimepoteza washkaji kibao walioenda China miaka hiyo ningekua na tamaa hizo kitambo nami wangekula kichwa...tena kipindi hicho kabla ya ugaidi ilikua kupita free hapo ni sawa na kwenda kuchukua hela zilizofungwa kwenye mkia wa chui...Kwenye trillion 2 we huwezi risk mzee! 1 Billion USD usiichukulie poa
Dah ni noma mzee ila hizi deal unatakiwa upige mshindo mmoja kisha una ExitSehemu ya kula kichwa mimi sipotezi uhai kwa kiasi chochote Cha fedha nimepoteza washkaji kibao walioenda China miaka hiyo ningekua na tamaa hizo kitambo nami wangekula kichwa...tena kipindi hicho kabla ya ugaidi ilikua kupita free...
Tena zile nchi zenye sheria kali ukikamatwa na unga hadi kunyongwa bei yake inakuwa juu..watu walivyowabishi bado wanaingiza
Achana na china, kna nchi kama indonesia na Malaysia wanasheria kali sanaaa lakini bado watu wanapeleka huko
Ova
ustraarabu wa kupiga risasi mbunge dodomaSasa hiv wameshaanza kujitutumia hata magu hajaoza. Ipo sku watanzania tutakaa tutalia na kusaga meno tukitaman magu afufuke ila haiwezekani, hii ni trailer tu
Wanasema magu aliku dictator lakin Naona udikteta wake ulikua na manufaa sana nchi ilikua na ustaarabu na adabu
Hao wahuni walisema nao wanapiga mshindo mmoja tuu kwani walirudi si bora unapata kidogo kidogo na maisha yanaenda washkaji wameacha familia zao mke na watoto wanaowapenda kwa mshindo mmoja China...Dah ni noma mzee ila hizi deal unatakiwa upige mshindo mmoja kisha una Exit
Wamekula nondo au washapigwa “Deathrow”?Hao wahuni walisema nao wanapiga mshindo mmoja tuu kwani walirudi si bora unapata kidogo kidogo na maisha yanaenda washkaji wameacha familia zao mke na watoto wanaowapenda kwa mshindo mmoja China...
China kwa wamarekani,Canada na UK wanafungwa kwa sababu biashara zao zingine ziende sawa Mwafrika wanakula kichwa hata nafasi ya kuvuta sigara hupewi...Wamekula nondo au washapigwa “Deathrow”?
Duh kwahio mmbongo unakula umeme chapu!? Aisee sio poa so yule Jack Cliff atakuwa ameshakula kamba tayari?China kwa wamarekani,Canada na UK wanafungwa kwa sababu biashara zao zingine ziende sawa Afrika wanakula kichwa hata nafasi ya kuvuta sigara hupewi...
Jack sio huyo wa Cape town alikua rasta fulani hivi alisoma Mbeya kama ndio huyo so sad aisee...Duh kwahio mmbongo unakula umeme chapu!? Aisee sio poa so yule Jack Cliff atakuwa ameshakula kamba tayari?
Amna namzungumzia yule mchumba wa kwenye kideo cha She Gotta Gwan 😎Jack sio huyo wa Cape town alikua rasta fulani hivi alisoma Mbeya kama ndio huyo so sad aisee...
Yes possibleMizigo mikubwa hivi kupitishwa hivi inaonekana sio mara moja, ndio njia yao. Inawezekana mwenye mzigo alikuwa chini ya mbawa za JPM, sasa hana kinga watu wamemkaanga.
Aiseee...!!!!Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na kikosi cha wana maji cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania wamekamata zaidi ya tani mbili ya dawa za kulevya aina ya Heroin.
Kazi iendelee,naona wauza unga wanajaribu kupima upepo,pongezi kwa serikali ya awamu ya sita
======
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na kikosi cha wanamaji cha JWTZ imewakamata watu saba wakisafirisha dawa za kulevya aina ya heroin zaidi ya tani moja kwa kutumia jahazi. Dawa hizo zimekamtwa eneo la Kilwa Masoko mkoani Lindi.
View attachment 1762634View attachment 1762635View attachment 1762636
Aah ok poa poa hao watu sio poa wana mashine za x-ray zinakukagua mpaka mzigo bila hata kujua wachina ukiwa huna kitu utapita hata mara mia utaenda na mzigo wakiamua wanakuacha hata trip mbili ya tatu wakikudaka wanakupa na video za nyuma unabaki kushangaa tuu...Amna namzungumzia yule mchumba wa kwenye kideo cha She Gotta Gwan 😎
KudadadekiAah ok poa poa hao watu sio poa wana mashine za x-ray zinakukagua mpaka mzigo bila hata kujua wachina ukiwa huna kitu utapita hata mara mia utaenda na mzigo wakiamua wanakuacha hata trip mbili ya tatu wakikudaka wanakupa na video za nyuma unabaki kushangaa tuu...
Na kila abiria anaangaliwa na mtu mmoja yupo camera room toka unatoka kwenye ndege mpaka unaenda kugonga passport na unaenda kuchukua beg lako kwenye mkanda hapo sasa ndio zegere linapoanzia....mkuu wacha niuze karanga tuu huko nimepoteza washkaji kibao wengine hata huku SA walijiingiza walikua na mali kibao sasa hivi wachimba chumvi tuu hata mali walizonunua bongo ziliuzwa kufidia madeni maana biashara hiyo kukopeshwa mzigo wa laki tano usd au milion ni kawaida tuu...Kudadadeki
Ni maeneo gani ya ajira yako wazi, yanakosa watu, kwa sababu potential labor force imegeuka mateja wa madawa ya kulevya na kupotea kwa nguvu kazi ya Taifa?Madawa yaliyo kamatwa yachomwe moto hadharani kuokoa nguvu kazi ya taifa.