Dah bora kuishi kisakara ulione jua kila kukicha kuliko kujitoa muhanga na plama! Jasi sana yani!!!Na kila abiria anaangalia na mtu mmoja yupo camera room toka unatoka kwenye ndege mpaka unaenda kugonga passport na unaenda kuchukua beg lako kwenye mkanda hapo sasa ndio zegere linapoanzia....mkuu wacha niuze karanga tuu huko nimepoteza washkaji kibao wengine hata huku SA walijiingiza walikua na mali kibao sasa hivi wachimba chumvi tuu hata mali walizonunua bongo ziliuzwa kufidia madeni maana biashara hiyo kukopeshwa mzigo wa laki tano usd au milion ni kawaida tuu...
Mrangi Ukiangalia hapo,huu mzigo sio wa kuuza hapa Bongo.Mzigo huu unaonekana destinetion ni Usa na UK via South Africa kupitia Mozambique.japo ni kweli Watanzania wanahusika kwa namna moja au nyingineSawa lakini hapo kuna mgawanyo wa wapokeaji utakuta
Kna mtu hapo utakuta kaahidiwa kg300,mwingine kg 400,kuna wa kg 100
Etc mwishowe tani 2 znaisha kama upepo
Hapo wawabane ili wajue ni wakina nani walikuwa wapokee hapa bongo
Ova
Yap mimi nimeona mwenyewe sio kwamba nasimuliwa ndio maana nikipata vichenji naruka mwenyewe Hong Kong,China,Singapore au Vietnam kote huko bidhaa zipo bei ya kutupwa nakuja kuwauzia SA au bongo kabla bwawa halijaingia Luba...hiyo siyo dili la kufanya watu wanaopata na kupoteza ni wengi kuliko wanaobaki kwenye mishe mmoja hapa aliambiwa sijui Kuna mzigo wa bei nzuri akaambiwa na bei ya kuuza mimi alinificha alijua ningemletea miguu ya kifala akauza magari kanunua mzigo kwenda kuuza wanamwambia umeleta chenga hizi anatembea kwa mguu huyo na yupo faster balaa siku chache tuu hizi...Dah bora kuishi kisakara ulione jua kila kukicha kuliko kujitoa muhanga na plama! Jasi sana yani!!!
Shida ukipiga mshindo mmoja, utataka mshindo mwingine, utajidanganya huo ndiyo mshindo mkuu mtakatifu!Dah ni noma mzee ila hizi deal unatakiwa upige mshindo mmoja kisha una Exit
Dah ni kwere arifu! Hii mbanga isikie tu mzee baba ila fureshi wacha tuishi tu kibabiloniYap mimi nimeona mwenyewe sio kwamba nasimuliwa ndio maana nikipata vichenji naruka mwenyewe Hong Kong,China,Singapore au Vietnam kote huko bidhaa zipo bei ya kutupwa nakuja kuwauzia SA au bongo kabla bwawa halijaingia Luba...hiyo siyo dili la kufanya watu wanaopata na kupoteza ni wengi kuliko wanaobaki kwenye mishe mmoja hapa aliambiwa sijui Kuna mzigo wa bei nzuri akaambiwa na bei ya kuuza mimi alinificha alijua ningemletea miguu ya kifala akauza magari kanunua mzigo kwenda kuuza wanamwambia umeleta chenga hizi anatembea kwa mguu huyo na yupo faster balaa siku chache tuu hizi...
Inaonekana kutokana na mashambulio na uvamizi wa magaidi huko Msumbiji,kwa sasa JWTZ huko kusini wanapiga kazi sio ya kitoto.Big up Kwao.kulinda mipaka yetu kwa umakini mkubwaWalio kamata ni wanajeshi na sio polisi nikukumbushe tu
kwa asiyefikiri sawasawa anaweza kutoa bonge la LIKE kwenye comment hii. ila kwa tunaofikiri sawasawa kuna uwezekano tukajiuliza/kuwaza yafuatayo kuhusu tukio la kukamatwa hayo madawa na comment hii ya huyu mdau aliyeitoa;
1. je, haiwezekani kwamba hiyo ilikuwa kawaida yao kwa muda mrefu tu (pengine way back 2015 huko) na ndo maana wakawa na confidence ya kusafirisha mzigo mkubwa hivyo? kwa biashara ya kujaribu tu, tena ya hatari kama hiyo, KAMWE hakuna taahira wa kujaribu kwa kiwango hicho ghafla bin vuuu tu.
2. je, haiwezekani kuwa mtoa comment huyu ndiyo wale 'wapigania legacy' wa mheshimiwa aliyetangulia na hapa amekimbilia haraka ili kuja kufifisha hongera yoyote ambayo pengine ingetolewa kwa wanausalama hawa waliofanikisha jambo hili walio chini ya mama yetu Samia? natafakari tu kwa sauti!!!
fact: wazoefu hao, hawakuanza leo wala jana!
Hii kitu kufanyika siyo kigeni bongo...Mrangi Ukiangalia hapo,huu mzigo sio wa kuuza hapa Bongo.Mzigo huu unaonekana destinetion ni Usa na UK via South Africa kupitia Mozambique.japo ni kweli Watanzania wanahusika kwa namna moja au nyingine
Wao wanaona ni kawaida tuHawa washenzi hawajaogopa hata mwezi mtukufu wao wanapiga dili chafu
Next step hawa jamaa watakuja kuanza kuleta kwa kutumia nyambizi sasaHao jamaa wenye asili ya Arab arab wanakuwaga na roho za chuma! Warabu hawaogopagi kitu hao [emoji851][emoji851][emoji851]
UKILAMBA ASALI LAZIMA UTASHWISHIKA KUCHONGA MZINGA!!Dah ni noma mzee ila hizi deal unatakiwa upige mshindo mmoja kisha una Exit
HALAFU HAWA MATEJA NAO WANAINGIA KWENYE TAKWIMU ZA UNEMPLOYED!!!!Ni maeneo gani ya ajira yako wazi, yanakosa watu, kwa sababu potential labor force imegeuka mateja wa madawa ya kulevya na kupotea kwa nguvu kazi ya Taifa?
Na ndiyo Hao wanaosumbua humu na ushuzi Wao Wa kulilia legacy ya Dikteta uchwara, hawaamini kama mirija yao ya kihuni inazibwa sasa, Akina BashiteUsikute mzigo ni wa msukuma mmoja ambae alikuwa kwenye syteam ya dictator mwendazake
Hiyo ngoma transit Cabo Delgado kwa wale jamaa wanaosumbua huko...ndiyo chanzo chao cha Mapato.Itakuwa baharini kwa wauzaji wa dunia
1kg=Tzs30,000,000Heroine tani 2 ndani ya mipaka ya Tanzania?
Kwa hesabu ya fasta ni kama trilioni ngapi hapo
Duh! Tani Mbili? Ni mzigo mkubwa sana huo!Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na kikosi cha wana maji cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania wamekamata zaidi ya tani mbili ya dawa za kulevya aina ya Heroin.
Kazi iendelee,naona wauza unga wanajaribu kupima upepo,pongezi kwa serikali ya awamu ya sita
======
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na kikosi cha wanamaji cha JWTZ imewakamata watu saba wakisafirisha dawa za kulevya aina ya heroin zaidi ya tani moja kwa kutumia jahazi. Dawa hizo zimekamtwa eneo la Kilwa Masoko mkoani Lindi.
View attachment 1762634View attachment 1762635View attachment 1762636
Mkuu hao wa Pakistan si ndio washika dini na sunna za mtume inakuwaje tena wako huku?Popote utakapo muona mpakistani juwa anauza unga.Hamna mpakistani dunia asiyeuza unga hata kama kafungua viwanda dunia mzima ila unga lazma auze.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app