Kilwa Masoko, Lindi: Zaidi ya Tani moja ya Dawa za Kulevya yakamatwa

Kilwa Masoko, Lindi: Zaidi ya Tani moja ya Dawa za Kulevya yakamatwa

Na kila abiria anaangalia na mtu mmoja yupo camera room toka unatoka kwenye ndege mpaka unaenda kugonga passport na unaenda kuchukua beg lako kwenye mkanda hapo sasa ndio zegere linapoanzia....mkuu wacha niuze karanga tuu huko nimepoteza washkaji kibao wengine hata huku SA walijiingiza walikua na mali kibao sasa hivi wachimba chumvi tuu hata mali walizonunua bongo ziliuzwa kufidia madeni maana biashara hiyo kukopeshwa mzigo wa laki tano usd au milion ni kawaida tuu...
Dah bora kuishi kisakara ulione jua kila kukicha kuliko kujitoa muhanga na plama! Jasi sana yani!!!
 
Sawa lakini hapo kuna mgawanyo wa wapokeaji utakuta
Kna mtu hapo utakuta kaahidiwa kg300,mwingine kg 400,kuna wa kg 100
Etc mwishowe tani 2 znaisha kama upepo
Hapo wawabane ili wajue ni wakina nani walikuwa wapokee hapa bongo

Ova
Mrangi Ukiangalia hapo,huu mzigo sio wa kuuza hapa Bongo.Mzigo huu unaonekana destinetion ni Usa na UK via South Africa kupitia Mozambique.japo ni kweli Watanzania wanahusika kwa namna moja au nyingine
 
Dah bora kuishi kisakara ulione jua kila kukicha kuliko kujitoa muhanga na plama! Jasi sana yani!!!
Yap mimi nimeona mwenyewe sio kwamba nasimuliwa ndio maana nikipata vichenji naruka mwenyewe Hong Kong,China,Singapore au Vietnam kote huko bidhaa zipo bei ya kutupwa nakuja kuwauzia SA au bongo kabla bwawa halijaingia Luba...hiyo siyo dili la kufanya watu wanaopata na kupoteza ni wengi kuliko wanaobaki kwenye mishe mmoja hapa aliambiwa sijui Kuna mzigo wa bei nzuri akaambiwa na bei ya kuuza mimi alinificha alijua ningemletea miguu ya kifala akauza magari kanunua mzigo kwenda kuuza wanamwambia umeleta chenga hizi anatembea kwa mguu huyo na yupo faster balaa siku chache tuu hizi...
 
Dah ni noma mzee ila hizi deal unatakiwa upige mshindo mmoja kisha una Exit
Shida ukipiga mshindo mmoja, utataka mshindo mwingine, utajidanganya huo ndiyo mshindo mkuu mtakatifu!
Ukianza huachi wenyewe wanasema.
Kushtuka umenasa!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Yap mimi nimeona mwenyewe sio kwamba nasimuliwa ndio maana nikipata vichenji naruka mwenyewe Hong Kong,China,Singapore au Vietnam kote huko bidhaa zipo bei ya kutupwa nakuja kuwauzia SA au bongo kabla bwawa halijaingia Luba...hiyo siyo dili la kufanya watu wanaopata na kupoteza ni wengi kuliko wanaobaki kwenye mishe mmoja hapa aliambiwa sijui Kuna mzigo wa bei nzuri akaambiwa na bei ya kuuza mimi alinificha alijua ningemletea miguu ya kifala akauza magari kanunua mzigo kwenda kuuza wanamwambia umeleta chenga hizi anatembea kwa mguu huyo na yupo faster balaa siku chache tuu hizi...
Dah ni kwere arifu! Hii mbanga isikie tu mzee baba ila fureshi wacha tuishi tu kibabiloni
 
Walio kamata ni wanajeshi na sio polisi nikukumbushe tu
Inaonekana kutokana na mashambulio na uvamizi wa magaidi huko Msumbiji,kwa sasa JWTZ huko kusini wanapiga kazi sio ya kitoto.Big up Kwao.kulinda mipaka yetu kwa umakini mkubwa
 
kwa asiyefikiri sawasawa anaweza kutoa bonge la LIKE kwenye comment hii. ila kwa tunaofikiri sawasawa kuna uwezekano tukajiuliza/kuwaza yafuatayo kuhusu tukio la kukamatwa hayo madawa na comment hii ya huyu mdau aliyeitoa;

1. je, haiwezekani kwamba hiyo ilikuwa kawaida yao kwa muda mrefu tu (pengine way back 2015 huko) na ndo maana wakawa na confidence ya kusafirisha mzigo mkubwa hivyo? kwa biashara ya kujaribu tu, tena ya hatari kama hiyo, KAMWE hakuna taahira wa kujaribu kwa kiwango hicho ghafla bin vuuu tu.

2. je, haiwezekani kuwa mtoa comment huyu ndiyo wale 'wapigania legacy' wa mheshimiwa aliyetangulia na hapa amekimbilia haraka ili kuja kufifisha hongera yoyote ambayo pengine ingetolewa kwa wanausalama hawa waliofanikisha jambo hili walio chini ya mama yetu Samia? natafakari tu kwa sauti!!!

fact: wazoefu hao, hawakuanza leo wala jana!

nyumbu acheni ujinga taifa linapotea bana!!
 
Mrangi Ukiangalia hapo,huu mzigo sio wa kuuza hapa Bongo.Mzigo huu unaonekana destinetion ni Usa na UK via South Africa kupitia Mozambique.japo ni kweli Watanzania wanahusika kwa namna moja au nyingine
Hii kitu kufanyika siyo kigeni bongo...
Style ya uletaji huu ulikuwa ukifanyika
Tz kipindi cha nyuma
Ndiyo mizigo ikingia bongo kuna watu sasa wanapokea na ku supply nchi zingine nao
Bongo wanaitumia kama hub tu

Ova
 
Hao jamaa wenye asili ya Arab arab wanakuwaga na roho za chuma! Warabu hawaogopagi kitu hao [emoji851][emoji851][emoji851]
Next step hawa jamaa watakuja kuanza kuleta kwa kutumia nyambizi sasa
Siajabu sahivi wana plan kitu kama hicho
Hawa watu
Kikubwa huko baharini wazidi kupadhibiti

Ova
 
Ni maeneo gani ya ajira yako wazi, yanakosa watu, kwa sababu potential labor force imegeuka mateja wa madawa ya kulevya na kupotea kwa nguvu kazi ya Taifa?
HALAFU HAWA MATEJA NAO WANAINGIA KWENYE TAKWIMU ZA UNEMPLOYED!!!!
 
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na kikosi cha wana maji cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania wamekamata zaidi ya tani mbili ya dawa za kulevya aina ya Heroin.

Kazi iendelee,naona wauza unga wanajaribu kupima upepo,pongezi kwa serikali ya awamu ya sita

======

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na kikosi cha wanamaji cha JWTZ imewakamata watu saba wakisafirisha dawa za kulevya aina ya heroin zaidi ya tani moja kwa kutumia jahazi. Dawa hizo zimekamtwa eneo la Kilwa Masoko mkoani Lindi.

View attachment 1762634View attachment 1762635View attachment 1762636
Duh! Tani Mbili? Ni mzigo mkubwa sana huo!
Jamaa alikuwa na Milioni zake kadhaa hapo kwa maumivu ya watoto wetu. Nyonga Tumbavu huyo ...na sio kesho mtuambie kuwa baada ya kupimwa umeonekana kuwa ulikuwa ni Inga was Mihogo!![emoji849][emoji849]
 
ndio maaana china wameweka adhabu ya KUNYONGA SHINGO MPAKA UFE maana wanao jihusisha na biashara hii ya madawa ya kulevya ni wauaji na dawa yao ni kuuwawa tu. lkn TZ sijui kwa nini wanafingwa.

Watu wote wanao uza dawa za kulevya wanastahili kifo.
Kifo ndio halali yao sio kifungo.
ili iwe fundisho kwa wauzaji wengine.

Pongezi kwa vikosi vyetu kwa uzalendo na uaminifu kwa Taifa. Mungu atawalipa kwa kuokoa kizazi cha watanzania dhidi ya madawa ya kulevya.

ndio kwanza vita imeaanza.
 
Nimeangalia hayo majina ya wapambanaji na mwezi huu mtukufu ni aibu kusafirisha biashara ya aina hiyo
 
Back
Top Bottom