Tanzania ni sehemu nzuri sana ya kuishi hapa duniani, asikwambiye mtu ulaya, USA, Japan, hakuna kitu ni stress kwenda mbeleJamanii na Familia yake wakauliwa aisee kumbe bora Tanzania huko kwingine ni kugumu zaidi kuishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania ni sehemu nzuri sana ya kuishi hapa duniani, asikwambiye mtu ulaya, USA, Japan, hakuna kitu ni stress kwenda mbeleJamanii na Familia yake wakauliwa aisee kumbe bora Tanzania huko kwingine ni kugumu zaidi kuishi
na ukijaribu kutoroka utoke nje ya north korea ili kuukimbia utawala katili wa kim jong un, napo majanga.Hahaa utarekodia wapi huko, yaani ukionekana na biblia au Quran unanyongwa ikawe hiyo kitu
Waandamane! mbona watamwagiwa acid utan utanDuh,na mijananchi ya huko imekaa tu hata haindamani kupinga,yaani uhai uondokw kwa kosa la hivyo kweli,huyo dogo ni zaidi ya sheitwan aisee
Robert Amsterdam?Duh. Uko UN na Human Rights Watch hawagusi kabisa au?
Mkuu samahani kwani jumong nini maana yake?Imagine kuuza CD tu wamemfanya ivo...je Kim angetaniwa kwa kuitwa jumong ingekuwaje.. !???
Hio ni series ya kikorea nzuri na iliyokua maarufu ..na main character wake ni huyo jumongMkuu samahani kwani jumong nini maana yake?
Wana gusaga Afrika TU huko hawatii puaDuh. Uko UN na Human Rights Watch hawagusi kabisa au?
Lakini ubepari unaofanyika Afganistani, Libya, Iraq na maeneo mengine hauuoni.
Kwani yule mweusi kule Marekani aliyeuawa na polisi vipi?Kuna watu wanaishi zama za MAWE
Bwana Kim yuko very smart. Nyie wengine ni ngumu sana kumuelewa ila anachofanya ndo kilichotakiwa kufanywa huku Africa ila bahati mbaya hakikufanyika na matokeo yake ndo huu umaskini na utumwa tulio nao.MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Lee, ameuawa kwa kufyatuliwa risasi pamoja na familia yake huko Wonsan Korea ya Kaskazini baada ya kukamatwa akiuza Cd na Pamoja na Flash ambazo zilikuwa na filamu kutoka nchi Jirani ya Korea ya Kusini.![]()
Lee pamoja na familia yake walipigwa risasi uwanjani mbele ya watu 500, ikiwa ni fundisho kwa watu wengine wanaouza filamu kutoka nje.
Kiongozi wa taifa hilo Kim Jon Un alipiga marufuku kuangalia filamu za nje kwa kuhofia nchi kuingia kwenye utamaduni wa nchi za magharibi.
Taarifa zinaseama watu zaidi ya 20 wamekamatwa kwa kosa hilo la kuuza filamu na Muziki na wanatarajiwa kuhumiwa kwani wamevunja sheria za nchi hiyo.
Aidha unaweza kufungwa miaka saba jela kwa kosa kutotoa taarifa za mtu anayeuza filamu na Cd za muziki kwa polisi.
---
His family were forced to stand in the front row of the mass crowd to see his brutal death after being found guilty of being an "anti-socialist element" by the cruel regime
A North Korean man has been executed by firing squad in front of 500 people for illegally selling music and films, it is reported.
Authorities branded the man, whose surname is Lee, as an “anti-socialist element” for trading the videos that included dramas and movies from South Korea and he was killed last Thursday, a Daily NK source said.
His family were forced to stand in the front row of the crowd of 500 people to see the execution in Wonsan, Gangwon province - 40 days after he was arrested.
Lee, was a chief engineer at the Wonsan Farming Management Commission and he was caught by the daughter of his “people’s unit” leader while secretly selling CDs and USBs with the South Korean content.
“This was the first execution in Gangwon Province for anti-socialist acts under the anti-reactionary thought law,” the cruel North Korean authorities reportedly ruled on Lee.
“In the past, [people like Lee] were sent to labour or re-education camps. It would be a grave error to believe that you will receive light punishment. Such reactionary behaviour helps people who are attempting to destroy our socialism.
"Reactionaries should not be allowed to live without fear in our society.”
After the authorities recited the guilty verdict, the sound of twelve shots rang out before Lee's "lifeless body was rolled into a straw sack and loaded into a box, and then taken somewhere,” the Daily NK source said.
They continued: “Lee’s wife, son, and daughter collapsed where they were standing in the front row of the execution area. While everyone watched, ministry of state security officials picked them up and loaded them into a cargo truck with barred windows for transport to a political prisoner camp.
“The family’s neighbours burst into tears when they saw the four security guards picking up Lee’s collapsed wife and throwing her [into the van] like a piece of luggage, but they had to clamp their mouths shut and weep in silence for fear of being caught in the criminal act of having compassion for a reactionary."
Lee reportedly confessed to selling the material and authorities are now hunting down who bought them from him with the CDs and USBs believed to have been sold for between five and 12 dollars.
There are now around a further 20 others accused of also selling South Korean music and films and they are in the process of being prosecuted.
Execution for anti-socialist behaviour was brought in by an “anti-reactionary thought law” last year.
“Nowadays, if you are caught watching a South Korean video, you receive a sentence of either life in prison or death, so nobody knows who will be executed next,” the source said.
“You can receive a seven-year sentence just for not reporting someone. The entire population is shaking with fear.”
Source: North Korean man executed in front of 500 people for 'illegally selling videos'