Kim Jong-Un aagiza muuza filamu kupigwa risasi hadharani

Kim Jong-Un aagiza muuza filamu kupigwa risasi hadharani

Huko kwenu mliandamana ilipokuwa inaokotwa miili ya watu kwenye viroba!!???
sijajua kama kuna watu waliokotwa kwenye viroba,kwa kuwa sijawahi kusikia hata kwenye vyombo vya habari habari zao,ningesikia nisingeacha kukemea upuuzi upuuzi
 
Jamanii na Familia yake wakauliwa aisee kumbe bora Tanzania huko kwingine ni kugumu zaidi kuishi
Familia yake haijauliwa,waliforciwa waangalie hayo mauaji tu,mume kauliwa peke yake..

Inaonekana wameenda kufungwa.
 
Hata Sisi tuige mfano tuache kuleta story za nchi za Nje!? Zinamathara kama Korea Kaskazini wameanza kila mtu ataanza kulindwa story zake hata YouTube iwe ni ya nchi husika yaani YouTube Tanzania..."Kwenye neno Tamani"
Na ww usiwe na mawasiliano na nje ya nyumba yako!
 
Wewe ni miongoni mwa wale wanaoamini wazungu wana kopyuta na remote yakuongoza watu waandamane ama wasiandamane.
We ndip umesema hvyo. Ila mm nilimanisha sela walizo waletea ndizo zilizopelekea utengano wao kumbuka kuna mmoja ni mcommunist mwingine sio
 
Wakiandamana kuna uwezekano wakauliwa wote, anayedai ni kiongozi wao, hajali utu wa yeyote.
Shida ni uoga, lakini nchi nzima iamue, kwani ataua kila mtu abakie na jeshi? Hata hao jeshi wamezaliwa, wakafutwa mavi, na kulishwa hadi sahi wamekuwa watu wa kujitegemea So hakuna vile atakubali familia yake iishe kimasihara na yeye yuko, no way! Issue ni uoga tu,lakini ka si uoga, anything is possible Hata kuvuka mipaka mkiwa wengi inawezekana.
 
Hata Sisi tuige mfano tuache kuleta story za nchi za Nje!? Zinamathara kama Korea Kaskazini wameanza kila mtu ataanza kulindwa story zake hata YouTube iwe ni ya nchi husika yaani YouTube Tanzania..."Kwenye neno Tamani"
Akili za mau mau! 😁😁😁
 
Nchi ni yake na baba zake.....

Waitwao wananchi ni mateka wa falsafa zao......

Nature itakuja kuchukua MKONDO WAKE sikumoja ISIYOJULIKANA.....

Ukomunisti ni sawa na USHETANI...
Lakini hata kifo kipo na hakimjui huyo dogo! 🤣
 
Mitoto mingine haikufaa kuzaliwa. Sura kama lintiwa hamira! 😤 Alafu huyu dogo mbona wakinipa one on one ngumi, naua tu, hana mbinde! 🤣 🤣 🤣
IMG_20210531_145529.jpg
 
kuna siku Mungu ataingilia kati hili taifa la kishetani litabadilika na watu wake watapata uhuru tu. ukiona mtu anakunyima information ujue anaogopa ukipata ufahamu utampindua au utajitegemea.
 
MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Lee, ameuawa kwa kufyatuliwa risasi pamoja na familia yake huko Wonsan Korea ya Kaskazini baada ya kukamatwa akiuza Cd na Pamoja na Flash ambazo zilikuwa na filamu kutoka nchi Jirani ya Korea ya Kusini.
Ukisoma hiyo version ya Kiingereza haionekani kama familia yake nayo iliuwawa bali wamepelekwa gerezani, wana familia ( mke na watoto) walizimia baada ya kushudia tukio hilo, maana walilazimishwa wasimame mstari wa mbele kweney kundi la watu 500 waliohudhuria!
 
Kila nchi duniani ina mifumo yake ya kutawala, pia sheria na taratibu za nchi hutofautiana. Africa ina uhuru na demokrasia tuliyoipata kutoka magharibi tunaizidi nini korea kwenye maendeleo ya uchumi na teknolojia?

Mbona demokrasia inaleta vita congo, sudan na africa ya Kati? Ndio maana hata vitabu vitakatifu tulivyorithi vina masharti ya nini cha kufanya na nini hatutakiwi kufanya. Hakuna uhuru wa kujiamulia chochote kwenye dunia hii, tunatofautiana misimamo tu

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
We ndip umesema hvyo. Ila mm nilimanisha sela walizo waletea ndizo zilizopelekea utengano wao kumbuka kuna mmoja ni mcommunist mwingine sio

Siyo kila taarifa ni kweli.

Jifunze kuondoa shida binafsi akilini kwako kwanza
Mfano. ili habari iwe kweli na si uongo, inabidi iwe vipi, Chief?.

Nasema hivyo kwasababu:, hata habari za mafanikio ya silaha zinazotengenezwa NK mara nyingi zinatangazwa na Western media.. Wapambe wa Kim wanafurahiii, Ila habari ikija na sura tofauti kama hivi,wanaponda.
Ndo, nataka nijue:, ili habari inayohusu NK iwe kweli ni lazima ihusu mambo mazuri tu.. Ila ikihusu habari mbaya ni propaganda za Westerners? .
 
Weka source basi na isiwe biscuit news
 
Weka source basi na isiwe biscuit news
Sahii kabisa Na uko sahihi. .. Ila ukumbuke habari ingelikuwa N/K yatengeneza Kombora lakufika new YORK, usingeliomba source na usingelihoji credibility ya media iliyotoa habari hiyo.

Nb:, ninachotaka kusema ni kwamba members wengi humu tuna mihemko, tunajadili mada uku kila mmoja ana msimo yake binafsi juu ya kitu kinachojadiliwa
 
Back
Top Bottom