Kim Jong-Un aagiza muuza filamu kupigwa risasi hadharani

Jamanii na Familia yake wakauliwa aisee kumbe bora Tanzania huko kwingine ni kugumu zaidi kuishi
Tanzania ni sehemu nzuri sana ya kuishi hapa duniani, asikwambiye mtu ulaya, USA, Japan, hakuna kitu ni stress kwenda mbele
 
Hahaa utarekodia wapi huko, yaani ukionekana na biblia au Quran unanyongwa ikawe hiyo kitu
na ukijaribu kutoroka utoke nje ya north korea ili kuukimbia utawala katili wa kim jong un, napo majanga.

ukikamatwa unauliwa hadharani mbele ya halaiki ili kutuma ujumbe kwa raia wengine wenye lengo kama hilo

ile nchi ni kama jehenamu. nawashangaa sana watu wa mataifa megine wanaoenda kuitalii.
 
Ikifikia mahala Mtu au Kiongozi au Mtawala akaanza kula nyama ya mtu au watu (au roho za watu) pasipo wasi wala roho ya ubinadamu ndani yake basi ujue hawachi huyo. Kukomesha jambo hilo ni labda watu wenyewe waamue liwalo na liwe au Mungu aamue hatima ya mtu, kiongozi au Mtawala huyo.
Sisi Wa Tanzania tumeshawahi kuonja joto ya jiwe na kuwa wahanga wa utawala za staili hii. Leo hii tunazungumza mambo haya tukimshukuru Mungu kwa kutuamulia hatima yetu walau leo tunapumua. Tukiangalia nyuma tunasema "Asante Mungu" kwa kutuepushia zahama.
Binafsi naingia rasmi kwenye maombi na mifungo isiyo na kikomo ili Mungu awaamulie hatima njema watu wa Korea Kaskazini kama alivofanya kwetu WaTanzania kututoa kwenye zahama za aina hii.Amen.
 
Hao warabu ni wajinga sana na siyo kuhutuhumu Ubepari. Mbona India, uingereza, Marekani na italy hawapigani?
Nchi za kiarabu (Middle East) ni za kijinga, hawajielewi.
Lakini ubepari unaofanyika Afganistani, Libya, Iraq na maeneo mengine hauuoni.
 
Bwana Kim yuko very smart. Nyie wengine ni ngumu sana kumuelewa ila anachofanya ndo kilichotakiwa kufanywa huku Africa ila bahati mbaya hakikufanyika na matokeo yake ndo huu umaskini na utumwa tulio nao.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Hv zle movie zao za kikorea n korea ipi? Mana pamoj na ukatil ila kunaonekana kuna maendeleo miji mizur, miundombinu saf inayoendana na zama za sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…