Kim Kardashian na Paris Hilton kuhojiwa sakata la Ronaldo kubaka

Haha haha
 
Naona Messi na Perez wameandaa njama ya kupunguza speed ya Ronaldo, hakika watafeli[emoji16][emoji16]
 
Write your reply...
sasa mtu mwenye jina kubwa, maarufu,na mwenye pesa anabaka!!.. na sisi waunga mchuzi tufanyeje??.
 
Dah[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ngoja nicheke niongeze siku za kuishi
 
Ronaldo hafungwi hapo kaka....
kama vile simba na yanga wasivyoshuka daraja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…