G.Man
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 1,214
- 2,546
Hivi akili ni nini/Kitu gan mkuu? Kina kaa wapi?Ukishauliza hivyo tu maana yake hayupo.
Angekuwapo hata hilo swali usingeweza kuuliza.
Hivi akili ni nini/Kitu gan mkuu? Kina kaa wapi?Ukishauliza hivyo tu maana yake hayupo.
Angekuwapo hata hilo swali usingeweza kuuliza.
Swali lako linahusianaje na mazungumzo yangu?Hivi akili ni nini/Kitu gan mkuu? Kina kaa wapi?
Wabishi hao balaa! Huwa wanajifanya wanajua kila kitu, na kumbe IQ zao zinasoma Sifuri!Acha waje ambao hata IQ zao hawajui zinasoma ngapi! 😂
Utawasikia point zao
Linahusiana na uthibitisho wa uwepo MunguSwali lako linahusianaje na mazungumzo yangu?
Kuna IQ ya 0??Wabishi hao balaa! Huwa wanajifanya wanajua kila kitu, na kumbe IQ zao zinasoma Sifuri!
We hujawaona humu kuna watu wanajiita zero brain? Sasa mtu akijiita zero brain atakuwa na IQ ipi mbali na sifuri?Kuna IQ ya 0??
Sawa mkuu!Kim YoungHoon, raia wa Korea Kusini na mbeba rekodi ya IQ (kipimo cha akili) cha juu zaidi duniani, amevunja ukimya na kugonga vichwa vya habari kwa ujumbe mzito wa kiimani. Kupitia ukurasa wake wa X, alitweet: “As the world’s highest IQ record holder, I believe that Jesus Christ is God, the way and the truth and the life.” (Nikiwa kama mtu mwenye IQ kubwa zaidi duniani, naamini kwamba Yesu Kristo ni Mungu, njia, kweli na uzima). Kauli hii imezua mijadala mitandaoni, ikizingatiwa imetoka kwa mtu anayehesabiwa kuwa na uwezo mkubwa zaidi wa kiakili duniani.
IQ (Intelligence Quotient) ni kipimo kinachotathmini uwezo wa mtu kufikiri kimantiki (logic), kutatua matatizo, na kuelewa dhana tata kwa haraka. Young-Hoon alijulikana kimataifa baada ya kushinda mashindano ya World Memory Championships, akipata alama ya IQ ya 276 kiwango kisichowahi kufikiwa na binadamu mwingine katika historia. Mafanikio yake yamekuwa yakihusishwa na uwezo wa kukumbuka, kuunganisha taarifa kwa kasi, na uwezo mpana wa mantiki (logic).
Japo wengi hufikiri kuwa maarifa ya kisayansi yanapingana na imani ya kiroho, Young-Hoon anaonesha tofauti. Kauli yake inaonesha kuwa hata kilele cha akili kinaweza kuungama mamlaka ya Yesu Kristo kama Mungu. Kwa kusema haya, si tu amehamasisha Wakristo duniani, bali pia amewachanganya wale waliowahi kufikiri kwamba imani ni ya watu "wanaoshindwa kufikiri sana".
SISI NI KINA NANI TUKATAE KAMA MWENYE AKILI AMEKIRI😁
Kivipi? Kwani wapi mimi niliwahi kusema akili ipo? Akili ni nini?Linahusiana na uthibitisho wa uwepo Mungu
Hakuna hahlja Hadi mtu aseme Yesu Ni Mungu ndo awe Mungu.Kim YoungHoon, raia wa Korea Kusini na mbeba rekodi ya IQ (kipimo cha akili) cha juu zaidi duniani, amevunja ukimya na kugonga vichwa vya habari kwa ujumbe mzito wa kiimani. Kupitia ukurasa wake wa X, alitweet: “As the world’s highest IQ record holder, I believe that Jesus Christ is God, the way and the truth and the life.” (Nikiwa kama mtu mwenye IQ kubwa zaidi duniani, naamini kwamba Yesu Kristo ni Mungu, njia, kweli na uzima). Kauli hii imezua mijadala mitandaoni, ikizingatiwa imetoka kwa mtu anayehesabiwa kuwa na uwezo mkubwa zaidi wa kiakili duniani.
IQ (Intelligence Quotient) ni kipimo kinachotathmini uwezo wa mtu kufikiri kimantiki (logic), kutatua matatizo, na kuelewa dhana tata kwa haraka. Young-Hoon alijulikana kimataifa baada ya kushinda mashindano ya World Memory Championships, akipata alama ya IQ ya 276 kiwango kisichowahi kufikiwa na binadamu mwingine katika historia. Mafanikio yake yamekuwa yakihusishwa na uwezo wa kukumbuka, kuunganisha taarifa kwa kasi, na uwezo mpana wa mantiki (logic).
Japo wengi hufikiri kuwa maarifa ya kisayansi yanapingana na imani ya kiroho, Young-Hoon anaonesha tofauti. Kauli yake inaonesha kuwa hata kilele cha akili kinaweza kuungama mamlaka ya Yesu Kristo kama Mungu. Kwa kusema haya, si tu amehamasisha Wakristo duniani, bali pia amewachanganya wale waliowahi kufikiri kwamba imani ni ya watu "wanaoshindwa kufikiri sana".
SISI NI KINA NANI TUKATAE KAMA MWENYE AKILI AMEKIRI😁
Safi Sana, na ndio maana Ana iq kubwa kabeba akili ya Yesu Kristo👌Kim YoungHoon, raia wa Korea Kusini na mbeba rekodi ya IQ (kipimo cha akili) cha juu zaidi duniani, amevunja ukimya na kugonga vichwa vya habari kwa ujumbe mzito wa kiimani. Kupitia ukurasa wake wa X, alitweet: “As the world’s highest IQ record holder, I believe that Jesus Christ is God, the way and the truth and the life.” (Nikiwa kama mtu mwenye IQ kubwa zaidi duniani, naamini kwamba Yesu Kristo ni Mungu, njia, kweli na uzima). Kauli hii imezua mijadala mitandaoni, ikizingatiwa imetoka kwa mtu anayehesabiwa kuwa na uwezo mkubwa zaidi wa kiakili duniani.
IQ (Intelligence Quotient) ni kipimo kinachotathmini uwezo wa mtu kufikiri kimantiki (logic), kutatua matatizo, na kuelewa dhana tata kwa haraka. Young-Hoon alijulikana kimataifa baada ya kushinda mashindano ya World Memory Championships, akipata alama ya IQ ya 276 kiwango kisichowahi kufikiwa na binadamu mwingine katika historia. Mafanikio yake yamekuwa yakihusishwa na uwezo wa kukumbuka, kuunganisha taarifa kwa kasi, na uwezo mpana wa mantiki (logic).
Japo wengi hufikiri kuwa maarifa ya kisayansi yanapingana na imani ya kiroho, Young-Hoon anaonesha tofauti. Kauli yake inaonesha kuwa hata kilele cha akili kinaweza kuungama mamlaka ya Yesu Kristo kama Mungu. Kwa kusema haya, si tu amehamasisha Wakristo duniani, bali pia amewachanganya wale waliowahi kufikiri kwamba imani ni ya watu "wanaoshindwa kufikiri sana".
SISI NI KINA NANI TUKATAE KAMA MWENYE AKILI AMEKIRI😁
niwagumu kuwaelewesha kwasababu huwezi kuwathibitishia uwepo wa mungu muweza wa yote,katika watu wagumu kuwaelewesha ni wakana Mungu ."
hapana ni wagumu kuelewa sababu Zaburi 56 kuanzia fungu la kwanza inasema " mpumbavu amesema moyoni mwake hakuna Mungu" sasa mpumbavu hawez elewa n bora mjinga ataelimishwa lkn so mpumbavuniwagumu kuwaelewesha kwasababu huwezi kuwathibitishia uwepo wa mungu muweza wa yote,
kwa tafsri ya kawaida mpambavu atakuwa ni yule anaeamini mungu muweza wa yote aliumba wapumbavu pia.hapana ni wagumu kuelewa sababu Zaburi 56 kuanzia fungu la kwanza inasema " mpumbavu amesema moyoni mwake hakuna Mungu" sasa mpumbavu hawez elewa n bora mjinga ataelimishwa lkn so mpumbavu
Huyo pamoja nawe ni punguani kuliko wote waliowahi kuwapo na wajaoKim YoungHoon, raia wa Korea Kusini na mbeba rekodi ya IQ (kipimo cha akili) cha juu zaidi duniani, amevunja ukimya na kugonga vichwa vya habari kwa ujumbe mzito wa kiimani. Kupitia ukurasa wake wa X, alitweet: “As the world’s highest IQ record holder, I believe that Jesus Christ is God, the way and the truth and the life.” (Nikiwa kama mtu mwenye IQ kubwa zaidi duniani, naamini kwamba Yesu Kristo ni Mungu, njia, kweli na uzima). Kauli hii imezua mijadala mitandaoni, ikizingatiwa imetoka kwa mtu anayehesabiwa kuwa na uwezo mkubwa zaidi wa kiakili duniani.
IQ (Intelligence Quotient) ni kipimo kinachotathmini uwezo wa mtu kufikiri kimantiki (logic), kutatua matatizo, na kuelewa dhana tata kwa haraka. Young-Hoon alijulikana kimataifa baada ya kushinda mashindano ya World Memory Championships, akipata alama ya IQ ya 276 kiwango kisichowahi kufikiwa na binadamu mwingine katika historia. Mafanikio yake yamekuwa yakihusishwa na uwezo wa kukumbuka, kuunganisha taarifa kwa kasi, na uwezo mpana wa mantiki (logic).
JapoHuyo n wengi hufikiri kuwa maarifa ya kisayansi yanapingana na imani ya kiroho, Young-Hoon anaonesha tofauti. Kauli yake inaonesha kuwa hata kilele cha akili kinaweza kuungama mamlaka ya Yesu Kristo kama Mungu. Kwa kusema haya, si tu amehamasisha Wakristo duniani, bali pia amewachanganya wale waliowahi kufikiri kwamba imani ni ya watu "wanaoshindwa kufikiri sana".
SISI NI KINA NANI TUKATAE KAMA MWENYE AKILI AMEKIRI😁
Dah! Nilitaka tuanze mwanzo twende taratibu, lakini naona umekimbia kunisaidia kufanya conclusion.Kivipi? Kwani wapi mimi niliwahi kusema akili ipo? Akili ni nini?
Nikiweza kuthibitisha akili ipo, na inakaa hapa, hilo linathibitisha Mungu yupo au hayupo? Kivipi?
Nisipoweza kuthibitisha akili ipo, na inakaa hapa, hilo linathibitisha Mungu yupo au hayupo? Kivipi?
Katika mantiki unafahamu logical non sequitur fallacy ni nini?
Unaelewa kuwa hapa umefanya logical non sequitur fallacy?
Hapana, iko sawa.Dah! Nilitaka tuanze mwanzo twende taratibu, lakini naona umekimbia kunisaidia kufanya conclusion.
Nje ya mada, 'Logical non sequitur fallacy' iko sahihi hiyo sentensi? Naona kama ukiweka fallacy mwishoni inakuwa kama minus minus kwenye namba