Kim Younhoon ndio mtu mwenye akili kubwa kuliko wote duniani, amesema Yesu ni Mungu

PRAISE THE LORD FOR KIM YOUNHOON! ! !

Hiki kizazi cha mwisho kimekuwa na waumini wa hii dini mpya ya Sayansi: the new god who knows the answers to everything.

Basi na BWANA naye hana hiyana, ana watu wake huko huko kwenye meza ya dini hii ya karne ya 21.

Lakini hawa watu wa BWANA wanapata tabu si kidogo, its a new cult.

Hawapewi airtime,
wanatengwa na wenzao,
kazi zao hazikubaliki na kupitishwa kwenye mabaraza yao simply coz "karne ya 21 hii, how dare you suggest that there was creation!"

Mfano huyu hapa Dr. Ron Neller mtaalamu wa mafuriko (Geomorphology PhD) anavyosimulia jinsi alivyokuja kuhutimisha kuwa kweli kulikuwa na Gharika dunia nzima tofauti na yeye mwenyewe alivyofundishwa chuoni, na jinsi alivyokataliwa na kuwa harassed na watalaamu wenzie. Ndipo akawa Mkristo.


View: https://youtu.be/-FxhF6HREEw?si=zDAr9qv8CbPs1mDx

Kina John Lennox (Maths PhD) wanakwambia Math and Science made me a Christian.

Etc etc


Yani nimekuja kugundua hiki kinachoitwa "sayansi" ni siasa.

Yani watu wanaenda ku collect data wanavyojua wao, wanafanya interpretation, inapitishwa kuwa ndo UKWELI. Ndo utatangazwa na kufundishwa shuleni na vyuoni, na kusambazwa kwenye vitabu na mtandaoni.

Wakija wengine na data tofauti au interpretation tofauti, hadi wanachosema kikubalike kuwa ndio UKWELI wanahitaji kuungwa mkono / kupitishwa na hao mwanzo. La sivyo kazi zao zinabaki huko chini ya kabati, zinatokea kujulikana kwa Neema ya Bwana tu!

Kwahiyo imetokea kuna kakikundi kadogo ka watu ndo wamekuwa Makuhani wetu sasa! Wao ndo daraja la sisi tusiosoma kujua Ukweli! Watakachosema wao ndo "sayansi".

Mimi sahivi nikisiki sijui sayansi imesema, tafiti imesema, swali langu la kwanza ni NANI kasema! !

NI NANI huyo tumuone kwanza! !

Anyways, We know "Satan is the god of this world, and has blinded the minds of those who don’t believe."
2co.4.4.NLT

And "We are not fighting against flesh-and-blood enemies, but against evil rulers and authorities of the unseen world, against mighty powers in this dark world, and against evil spirits in the heavenly places."
eph.6.12.NLT

And the Good News is that "The light shines in the darkness, and the darkness can never extinguish it."
jhn.1.5.NLT
 
Sawa mkuu!
 
Linahusiana na uthibitisho wa uwepo Mungu
Kivipi? Kwani wapi mimi niliwahi kusema akili ipo? Akili ni nini?

Nikiweza kuthibitisha akili ipo, na inakaa hapa, hilo linathibitisha Mungu yupo au hayupo? Kivipi?

Nisipoweza kuthibitisha akili ipo, na inakaa hapa, hilo linathibitisha Mungu yupo au hayupo? Kivipi?

Katika mantiki unafahamu logical non sequitur fallacy ni nini?

Unaelewa kuwa hapa umefanya logical non sequitur fallacy?
 
Hakuna hahlja Hadi mtu aseme Yesu Ni Mungu ndo awe Mungu.
Mungu mwenyewe alidhihirisha Hilo miaka zaidi ya 2000 ikiyopita, hakuhitajiki ushahidi wa mwanadamu Leo kuthibitisha Uungu wa Yesu.
 
Safi Sana, na ndio maana Ana iq kubwa kabeba akili ya Yesu Kristo👌
 
niwagumu kuwaelewesha kwasababu huwezi kuwathibitishia uwepo wa mungu muweza wa yote,
hapana ni wagumu kuelewa sababu Zaburi 56 kuanzia fungu la kwanza inasema " mpumbavu amesema moyoni mwake hakuna Mungu" sasa mpumbavu hawez elewa n bora mjinga ataelimishwa lkn so mpumbavu
 
Huyo pamoja nawe ni punguani kuliko wote waliowahi kuwapo na wajao
 
Dah! Nilitaka tuanze mwanzo twende taratibu, lakini naona umekimbia kunisaidia kufanya conclusion.

Nje ya mada, 'Logical non sequitur fallacy' iko sahihi hiyo sentensi? Naona kama ukiweka fallacy mwishoni inakuwa kama minus minus kwenye namba
 
Dah! Nilitaka tuanze mwanzo twende taratibu, lakini naona umekimbia kunisaidia kufanya conclusion.

Nje ya mada, 'Logical non sequitur fallacy' iko sahihi hiyo sentensi? Naona kama ukiweka fallacy mwishoni inakuwa kama minus minus kwenye namba
Hapana, iko sawa.

Ni kosa la kimantiki la hoja zisizofuatana.

Inawezekana ukawa kwenye mashindano ya comedy mbaya ya kutoa hoja zisizofuatana, ukafanya logical non sequitur ya kukusudia isiyo fallacy.

Conclusion gani umefanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…