Kim Younhoon ndio mtu mwenye akili kubwa kuliko wote duniani, amesema Yesu ni Mungu

Hapana, iko sawa.

Ni kosa la kimantiki la hoja zisizofuatana.

Inawezekana ukawa kwenye mashindano ya comedy mbaya ya kutoa hoja zisizofuatana, ukafanya logical non sequitur ya kukusudia isiyo fallacy.

Conclusion gani umefanya?
Sikufanya conclusion, ila ninachoona na nilivyokusoma kwenye threads unacho taka ni uthibitisho wa Mungu tangibly kwako, wakati huohuo hauamini uwepo wake.

Sasa Mungu ni Roho,na uthibitisho wake unamhitaji yeye mwenyewe kujidhihirisha kwenye maisha yako, maana chochote anachofanya ni kwa utukufu wake. Siku akitaka kujithibitisha kwako atafanya yeye kama apendavyo.
Mimi nina hakika yupo, Na amefanya mambo mengi kwangu na hata kwa watu wengine kupitia mimi, wala sio kwa kuhadithiwa au ku-act. Ni swala la kuamini tu.(kuwa na uhakika hata kama hujaona kwa macho)

Mungu anakupenda mkuu Kiranga hata kama unampinga, na alitumia gharama kubwa sana kwaajili yako. Neema ya Mungu iwaokoayo wanadamu imefunuliwa ili ikutoe ndugu katika Uasi. Ni maombi yangu Mungu aonekane kwako. Amen
 
Uyo mtu anifikii mimi hata robo ...sema watz ni wapumbavu mno...huwa nawashangaa sana watu wanao jidai usomi na wanasayansi wanao sema sayansi azimtambui Mungu....wakati ukweli ni kwamba hakuna sayansi isiyo mtambua Mungu...kama Mungu angeumba ulimwengu na kutokujitambulisha kwa dini yoyote hivyo kusinge kuwa na dini basi sayansi ndiyo ingegundua uwepo wa Mungu hata pasipo dhana ya dini au mungu kasema....sayansi is reverse engineer of God creation....
 
Kiswahili chako
Mh mh hhh mhhh 🤐
Au bas kuna maneno
Au bas
Soma upya ulivyoandika
Ety “Anatajua”
 

Attachments

  • Duh kiongozi kama huyu mchapa kazi kumpata tena ni mitano tena 🫣.mp4
    947.9 KB
  • Mawazo ya watu watatu tofauti kuhusu kukopa.mp4
    1.1 MB
  • AQNL9KwvgNwOGe3X7iWw35pDYtTgm3PmnnSAtZlH282vFEEJ_TPg63tAkGfJAtwjxiJiImeK_MRsNkKaZyISS6Q3J_m1zj...mp4
    1.1 MB
  • Samia is coming for youall😂😂😭😭.mp4
    1.1 MB
ILa yesu akipigwa vizuri na yeye anamuomba mungu
 
Ee Mungu uliye hai, Muumba wa mbingu na nchi,
Mungu wa Ibrahimu, Isaka, na Yakobo,
Leo ninakuja mbele zako nikiwa nimevunjika moyo,
Nikiwa na mzigo mzito wa dhambi zangu na makosa yangu.
Ninakiri kwa kinywa changu na kwa moyo wangu wote
Kwamba nimekosa mbele zako,
Kwa mawazo yangu, kwa matendo yangu, kwa maneno yangu,
Na kwa kutenda mambo ambayo yanakuchukiza.

Nimeishi mbali na wewe,
Nimefuata njia zangu,
Nimewaumiza wengine na nimejiumiza mimi mwenyewe,
Lakini leo, Bwana, najinyenyekeza chini ya mkono wako wa rehema.
Nakuomba unisamehe,
Unioshe kwa damu ya thamani ya Mwanao Yesu Kristo.
Naamini kwa moyo wangu wote kwamba Yesu alikufa kwa ajili ya dhambi zangu,
Na alifufuka siku ya tatu kwa ushindi juu ya kifo na laana.
Naamini kuwa ndani yake kuna uzima wa milele,
Na kupitia yeye, ninaweza kupokea msamaha wa dhambi na kuanza maisha mapya.

Bwana Yesu, nakukaribisha sasa uingie moyoni mwangu.
Tawala maisha yangu.
Nibadilishe kabisa.
Vunja minyororo ya dhambi, vifo vya kiroho, laana za kizazi, na nguvu zote za giza.
Nijaze kwa Roho wako Mtakatifu.
Nifundishe kutembea katika kweli zako,
Katika upendo, katika utakatifu, na katika utii wa Neno lako.

Sasa, ninatangaza waziwazi mbele za mbingu na dunia:
Kwamba Yesu Kristo ni Bwana wa maisha yangu.
Yeye ni Mwokozi wangu.
Nimeokoka. Nimekombolewa. Nimefanywa mpya.
Na kamwe sitarudi tena katika giza,
Kwa maana sasa ninatembea katika nuru ya Kristo.

Asante Baba kwa kunisamehe,
Asante Yesu kwa kunikomboa,
Asante Roho Mtakatifu kwa kuniongoza.
Katika jina la Yesu Kristo,
Ninaomba na kuamini.
Amina.

Baada ya sala hii...

Kama mtu ameomba sala hii kwa moyo wa kweli, Biblia inasema:
“Hivyo, ikiwa mtu yumo ndani ya Kristo, amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita; tazama! Yamekuwa mapya.” (2 Wakorintho 5:17)

Huu ni mwanzo wa safari mpya ya kiroho. Endelea kusoma Biblia kila siku, omba bila kukoma, na tafuta ushirika na waaminio wenzako ili ukue kiimani.

Yesu anakupenda. Karibu katika familia ya Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…