Salaam, shalom!!
Tukifuata maelekezo ya Mungu, mfumo wa utawala uko wazi kabisa kwamba,
Ndani ya NDOA, kimamlaka, mume na mke ni kitu kimoja, pale juu wenye mamlaka ni wazazi wa kimwili na kiroho.
Mlio ndani ya NDOA, mnaowapa wake zenu nafasi ya kwanza baada ya Mungu, mnakosea sana ikiwa wazazi wenu Bado wako hai.
Hawa watumishi wa siku hizi wanapotosha sana, mmoja akasema, katika gari yake, aliye na nafasi ya kukaa KITI Cha mbele ni mke wake pekee, kama hayupo KITI hicho kitabaki wazi akimaanisha Upendo Kwa mkewe na nafasi anayompa.
Tufuate mfumo alioweka Mungu Ili tuwe salama.
NB: Mamlaka ya wazazi ni nje ya chumba Cha wanandoa, ni ya kiushauri na kiheshima tu kama miungu wetu duniani baada ya Mungu.
Karibuni 🙏