- Thread starter
- #41
Yesu ni Mungu Kwa Mariam,Mzazi awezi kuwa Mungu wa pili wala wa tatu ...mungu ni mmoja tu amri ya kwanza kabisa kati ya amri kumi imesema wazi na yesu mwenyewe aliulizwa swali.kuwa ni ipi amri iliyo kuu na ya kwanza ...kasomeni alicho jibu jesu wenu mwenyewe kuhusu mungu kuwa ni mmoja ....wakristo wa makanisani ni wapumbavu sana mnapotosha waziwazi mafundiyo ya biblia yenu wenyewe...mariamu awezi kuwa ni mungu kwa yesu
Alimuheagimu tu kimwili.
Mungu ni MMOJA.
Mzazi ni muungu wa Dunia Kwa nafasi aliyopewa kuzaa.
Wewe pia ni muungu, hujasoma maandiko BIBLIA inasema Ninyi miungu?
Musa aliitwa muungu Kwa haruni na haruni akawa Nabii.