Kimaandiko, baada ya Mungu, wazazi wanafuata, Kisha mume/mke

Salaam, shalom!!

Tukifuata maelekezo ya Mungu, mfumo wa utawala uko wazi kabisa kwamba,

Ndani ya NDOA, kimamlaka, mume na mke ni kitu kimoja, pale juu wenye mamlaka ni wazazi wa kimwili na kiroho.

Mlio ndani ya NDOA, mnaowapa wake zenu nafasi ya kwanza baada ya Mungu, mnakosea sana ikiwa wazazi wenu Bado wako hai.

Hawa watumishi wa siku hizi wanapotosha sana, mmoja akasema, katika gari yake, aliye na nafasi ya kukaa KITI Cha mbele ni mke wake pekee, kama hayupo KITI hicho kitabaki wazi akimaanisha Upendo Kwa mkewe na nafasi anayompa.

Tufuate mfumo alioweka Mungu Ili tuwe salama.

NB: Mamlaka ya wazazi ni nje ya chumba Chumba Cha wanandoa, ni ya kiushauri na kiheshima tu kama miungu wetu duniani baada ya Mungu.

Karibuni 🙏

Rabbon

Unazungumziaje Hii Aya..
Mwanzo 2:24

"Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja."
 
Mbona walokole mnapendaga sana ujinga
Hakuna mzazi wala kiongozi wa dini mwenye mamlaka kwenye ndoa ya mtu.
Mungu/ Yesu ndiye KICHWA Cha Kanisa wakati Mume akiwa KICHWA Cha mke.

Ndipo ujue Mungu anayo nafasi ya uongozi ndani ya NDOA, kuanzia kuanzishwa Kwa Taasisi hiyo, mwanzo Hadi mwisho
 
Rabbon

Unazungumziaje Hii Aya..
Mwanzo 2:24

"Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja."
Soma NB hapo juu,

Angalizo nimeweka, kuwa ndani ya chumba Cha NDOA, wazazi hawaingii, japo pia ni LAZIMA taratibu zifuatwe,

Mfano, wanandoa wakibadili matumizi ya mke na mume, lazima upotovu huo uondoshwe Kwa usimamizi wa wazazi wa kimwili na kiroho.

Mwisho wa siku kuitwa mume au mke, hakufuti UKWELI kuwa u mtoto Kwa wazazi wako kimwili na kiroho.
 
Nje ya neno la Mungu, huna Maarifa ya ziada.

Leta hizo HOJA, zitajibiwa zote.
Swali jepesi sana kwenye maandiko kuna maneno mungu akaweka upanga wenye makali kuwili kuuzunguka mti wa uzima wa milele ...nipe fafanuzi huo upanga ni nini ? Na kwa nini unamakali kuwili...swali za chachandu tu
 
1.Mungu
2.Wazazi(baba na mama, walezi wangu)
3.Mimi mwenyewe
4.Ndugu zangu wa tumbo moja(Tuliochangia baba na mama)
5.Mke&familia yangu.
6.Mwajiri wangu(Serikali nk)
Imeishia hapo,mnaowaita wazazi wa kiroho, hao kwangu ni kama wenyeviti wa mtaa.
Nawaheshimu,lkn hawawezi kunipanda kichwani.
 
Kwa kuwa mke ni mwili mmoja nawe Yuko namba 3,

Ila kimamlaka ndani ya NDOA ni msaidizi, hivyo no 2, nafasi ndani ya nafasi.

Ubarikiwe 🙏
 
Swali jepesi sana kwenye maandiko kuna maneno mungu akaweka upanga wenye makali kuwili kuuzunguka mti wa uzima wa milele ...nipe fafanuzi huo upanga ni nini ? Na kwa nini unamakali kuwili...swali za chachandu tu
Kila kifungu katika neno la Mungu, kina tafsiri 7,

Saba ni utimilifu na ukamilifu wa Mungu, WANADAMU tumepewa kujua tafsiri ya 1 Hadi 3 pekee, hizo zingine ni za Mungu.

Tafsiri ya kwanza .

Kuna Malaika amepewa upanga ukatao kuwili kuwazuia watu wa mwili na WA kiruho kuingia bustani hiyo.

2. Tafsiri ya pili.

Bustani hiyo ilihamishiwa Mbinguni hivyo hakuna awezaye kuisogelea. Kitabu Cha ufunuo kinaonyesha mtu wa Uzima uko Mbinguni.

3. Tafsiri ya Tatu.

Nje ya maagizo ya Mungu, mtu hawezi kuishi milele.

4. Tafsiri ya nne.

Ujio wa Yesu umeondoa kizuizi Cha Malaika huyo kuwazuia WATAKATIFU kunywea mtu wa Uzima maana Yesu ametupa umilele tangu tu mtu anapomkiri umilele unaanza.

UPANGA KUWA NA MAKALI KUWILI.

Neno la Mungu ni upanga ukatao kuwili, hivyo umuhimu wa neno ndani ya maisha ya wanandoa ni muhimu.

Hizo tafsiri zingine ni Siri.

Karibu 🙏
 
Soma NB hapo juu,

Angalizo nimeweka, kuwa ndani ya chumba Cha NDOA, wazazi hawaingii, japo pia ni LAZIMA taratibu zifuatwe,

Mfano, wanandoa wakibadili matumizi ya mke na mume, lazima upotovu huo uondoshwe Kwa usimamizi wa wazazi wa kimwili na kiroho.

Mwisho wa siku kuitwa mume au mke, hakufuti UKWELI kuwa u mtoto Kwa wazazi wako kimwili na kiroho.

Mkuu Wangu Unazungumziaje hili andiko..

2 Wakorintho 12:14
............ maana haiwapasi watoto kuweka akiba kwa wazazi, bali wazazi kwa watoto.......
 
Umesahau mliniambia amjui chochote kuhusu issa kuwa alikufa au yupo hai ...wakati kila siku mnasifu kuwa uislamu hauja acha kitu chochote ndani yake ...mlinikimbia kijanja maana kama ujui si unasema mtume muhammad amesema nini ....ila kwa ujanja ujanja mkakimbia...maswali
Wacha porojo. Ilitisharibu mada ya watu hapa, nimekuhamishia kwenye uzi wangu ambao nimeuweka kwa malumbano tu. Nikimbie malumbano wakati nayatafuta usiku na mchana hapa JF? Unanchekesha.

Njoo huku:
 
Salaam, shalom!!

Tukifuata maelekezo ya Mungu, mfumo wa utawala uko wazi kabisa kwamba,

Ndani ya NDOA, kimamlaka, mume na mke ni kitu kimoja, pale juu wenye mamlaka ni wazazi wa kimwili na kiroho.

Mlio ndani ya NDOA, mnaowapa wake zenu nafasi ya kwanza baada ya Mungu, mnakosea sana ikiwa wazazi wenu Bado wako hai.

Hawa watumishi wa siku hizi wanapotosha sana, mmoja akasema, katika gari yake, aliye na nafasi ya kukaa KITI Cha mbele ni mke wake pekee, kama hayupo KITI hicho kitabaki wazi akimaanisha Upendo Kwa mkewe na nafasi anayompa.

Tufuate mfumo alioweka Mungu Ili tuwe salama.

NB: Mamlaka ya wazazi ni nje ya chumba Chumba Cha wanandoa, ni ya kiushauri na kiheshima tu kama miungu wetu duniani baada ya Mungu.

Karibuni 🙏
Rais Samia Hassan anaingia kwenye nafasi ipi ?

Maana kuna wengine wamemfanya kama mungu wao.
 
Mkuu Wangu Unazungumziaje hili andiko..

2 Wakorintho 12:14
............ maana haiwapasi watoto kuweka akiba kwa wazazi, bali wazazi kwa watoto.......
Wazazi ni Kweli ndio wanawaachia URITHI watoto hata Walio ndani ya NDOA.

Sasa uongozi na ushauri ndio akina zenyewe.
 
Kila kifungu katika neno la Mungu, kina tafsiri 7,

Saba ni utimilifu na ukamilifu wa Mungu, WANADAMU tumepewa kujua tafsiri ya 1 Hadi 3 pekee, hizo zingine ni za Mungu.

Tafsiri ya kwanza .

Kuna Malaika amepewa upanga ukatao kuwili kuwazuia watu wa mwili na WA kiruho kuingia bustani hiyo.

2. Tafsiri ya pili.

Bustani hiyo ilihamishiwa Mbinguni hivyo hakuna awezaye kuisogelea. Kitabu Cha ufunuo kinaonyesha mtu wa Uzima uko Mbinguni.

3. Tafsiri ya Tatu.

Nje ya maagizo ya Mungu, mtu hawezi kuishi milele.

4. Tafsiri ya nne.

Ujio wa Yesu umeondoa kizuizi Cha Malaika huyo kuwazuia WATAKATIFU kunywea mtu wa Uzima maana Yesu ametupa umilele tangu tu mtu anapomkiri umilele unaanza.

Hizo tafsiri zingine ni Siri.

Karibu 🙏
Uongo mti wa uzima wa milele upo duniani na huo upanga pia upo duniani ..ni lugha ya fumbo tu ...
1)UPANGA NI HAKI YA MUNGU ...
2)MTI WA UZIMA WA MILELE NI UTAKATIFU
3)MAKALI KUWILI NI NINI ?....nimekusaidia kukujibia hayo mawili nione kama akili yako ni timamu kuweza kufumbua fumbo utajua kwanini upanga una makali.kuwili
 
Wacha porojo. Ilitisharibu mada ya watu hapa, nimekuhamishia kwenye uzi wangu ambao nimeuweka kwa malumbano tu. Nikimbie malumbano wakati nayatafuta usiku na mchana hapa JF? Unanchekesha.

Njoo huku:
Huo uzi watu walikupuuza kwa sababu wanakujua wewe ni kilaza na shabiki wa dini
 
Uongo mti wa uzima wa milele upo duniani na huo upanga pia upo duniani ..ni lugha ya fumbo tu ...
1)UPANGA NI HAKI YA MUNGU ...
2)MTI WA UZIMA WA MILELE NI UTAKATIFU
3)MAKALI KUWILI NI NINI ?....nimekusaidia kukujibia hayo mawili nione kama akili yako ni timamu kuweza kufumbua fumbo utajua kwanini upanga una makali.kuwili
1. UPANGA ni neno la Mungu,

UPANGA kukata kuwili ni Kweli ya Mungu iliyo ndani ya dhamira ya mwanadamu afanyapo uamuzi.

Ni Roho MTAKATIFU ndani ya mtu ampaye kusimama katika Kweli na HAKI.

Ndipo ujue kuwa,

Waliookoka, na Kuzaliwa mara ya pili, wanaruksa kunywa maji ya mti wa Uzima kupitia Roho mtakatifu.

Umilele tayari upo Kwa aliyeokkoka.
 
Unakimbia. Halafu unadanganya watu humu eti umekimbiwa.
Ngoja nitakuja kwenye huo uzi japo mimi siyo shabiki wa mfumo jike ...kuja kwenye huo uzi ni kujiweka chini ya mfumo jike
 
Back
Top Bottom