Kimaandiko, baada ya Mungu, wazazi wanafuata, Kisha mume/mke

Kimaandiko, baada ya Mungu, wazazi wanafuata, Kisha mume/mke

Hakuna haja ya kuzunguka, nieleze huo ushauri wa kimamlaka upoje na unahusiana nini na heshima.

Niko tayari kujifunza.
Hiyo ni mada ingine, inahitaji maandalizi na muda wa kipekee,

Nikipata nafasi kuleta, nitakutag
 
  • Thanks
Reactions: I M
Ndio,

Nitake radhi,

Si sahihi kumtukana mtumishi wa Mungu aliye hai.
🙄🙄🤣🤣🤣🤣🤣wewe kilaza ni mtumishi wa mungu mwenye kumiliki nafsi 3 🤣🤣🤣🤣 nimecheka sana ..sikuzote huwa tunauliza humu hao matapeli wa makanisani wanao jihita mitume na manabii mbona atuwaoni hapa JF kumbe wewe ni mmoja wao ndiyo maana mafundisho yako ni potovu ...kama mlivyo taniliwa kuwa nyinyi ndiyo chukizo la uhalibifu lililo simama patakatifu 😁😁😁sijakutukana wewe mwenyewe umesema mwanamke mmama ni munguwako wa pili hivyo nimekukuza kwa kukuita mungu
 
🙄🙄🤣🤣🤣🤣🤣wewe kilaza ni mtumishi wa mungu mwenye kumiliki nafsi 3 🤣🤣🤣🤣 nimecheka sana ..sikuzote huwa tunauliza humu hao matapeli wa makanisani wanso jihita mitume na manabio mbona atuwaoni hapa KF kumbe wewe ni mmoja wao ndiyo maana mafundisho yako ni potovu ...kama mlivyo taniliwa kuwa nyinyi ndiyo chukizo la uhalibifu lililo simama patakatifu 😁😁😁sijakutukana wewe mwenyewe umesema mwanamke mmama ni munguwako wa pili hivyo nimekukuza kwa kukuita mungu
Mungu ni NAFSI Moja Si tatu.

Mtu pia ni NAFSI hai Moja.

Mtu aliye Roho kuvaa kuvaa mwili na kuwa NAFSI hai, hakumgawi kuwa NAFSI tatu.
 
(Ezekiel 16:48)

Naapa Kwa NAFSI Yangu, Asema BWANA Mungu....

Mungu ni MMOJA, NAFSI Moja.

Na Jina la Mungu huyo mmoja ni Yesu Kristo/YESHUA HAMASHIACH.

Kwa maana Jina la BABA,

JINA LA MWANA

NA JINA LA ROHO MTAKATIFU NDILO HILO HILO JINA "YESU "

Ms R
 
Mungu ni NAFSI Moja Si tatu.

Mtu pia ni NAFSI hai Moja.

Mtu aliye Roho kuvaa kuvaa mwili na kuwa NAFSI hai, hakumgawi kuwa NAFSI tatu.
Naona umeanza janja za kina FaizaFoxy na Bwana Utam ...leo mnajidai kukanusha kuwa mungu ni nafsi 3 😁😁😁😁 mbona makanisani mwenu mnafundishana hivyo 🤫🤫
 
Naona umeanza janja za kina FaizaFoxy na Bwana Utam ...leo mnajidai kukanusha kuwa mungu ni nafsi 3 😁😁😁😁 mbona makanisani mwenu mnafundishana hivyo 🤫🤫
Kanisa ni nini?

Ninaandika neno la Mungu Si janja janja,

Ktk BIBLIA Mungu hajajitambulisha popote Kwa NAFSI tatu, Bali Moja.

Mtu pia ni NAFSI Moja hai, maandiko yasema.

Mafundisho ya NAFSI tatu asili ni upagani.
 
Yesu ni Mungu kivipi?
Hana baba wala mama, Wala Hana mwanzo Wala mwisho.

Na Ufalme wake ni WA milele.

Ndiye Mungu huyo mmoja. JINA lake lilifichwa enzi na enzi Hadi pale Malaika Gabriel alipokuja kulifunua.

Kama huamini nenda Kwa Sangoma yeyote, Sema " Kwa Jina la YESU". Uone nn kitatokea.
 
Naam, umeniita?

Tatizo nini? Au nafs inakusuta?
Nikisema nyinyi na wakristo wote ni wapotovu tu mashabiki wa dini sijakosea ...mwone mwenzenu anavyo rukaruka..kama nyinyi mlivyo kimbia maswaoi yangu kijanja
 
Nikisema nyinyi na wakristo wote ni wapotovu tu mashabiki wa dini sijakosea ...mwone mwenzenu anavyo rukaruka..kama nyinyi mlivyo kimbia maswaoi yangu kijanja
hata sikuelewi unatasema nini. Andika utakaxho, wacha kubwabwaja na kuhororoja bila mpango, Anza na swali lako moja moja tuone nani ataekimbia.
 
Kanisa ni nini?

Ninaandika neno la Mungu Si janja janja,

Ktk BIBLIA Mungu hajajitambulisha popote Kwa NAFSI tatu, Bali Moja.

Mtu pia ni NAFSI Moja hai, maandiko yasema.

Mafundisho ya NAFSI tatu asili ni upagani.
Hapo usijione mjanja nikikupiga maswali utajikamata mwenyewe na kukimbia uzi kuna jamaa mmoja alifungua uzi aka anza na chombeza ya maana ya 666 kwenye biblia kabla ajaleta fafanuzi kamili nilishusha rungu moja hakuendelea tena kutoa fafanuzi alizo xikusudia baada ya kuona ukweli nilio utoa tofauti na uongo wa makanisani mwenu.
 
hata sikuelewi unatasema nini. Andika utakaxho, wacha kubwabwaja na kuhororoja bila mpango, Anza na swali lako moja moja tuone nani ataekimbia.
Umesahau mliniambia amjui chochote kuhusu issa kuwa alikufa au yupo hai ...wakati kila siku mnasifu kuwa uislamu hauja acha kitu chochote ndani yake ...mlinikimbia kijanja maana kama ujui si unasema mtume muhammad amesema nini ....ila kwa ujanja ujanja mkakimbia...maswali
 
Hapo usijione mjanja nikikupiga maswali utajikamata mwenyewe na kukimbia uzi kuna jamaa mmoja alifungua uzi aka anza na chombeza ya maana ya 666 kwenye biblia kabla ajaleta fafanuzi kamili nilishusha rungu moja hakuendelea tena kutoa fafanuzi alizo xikusudia baada ya kuona ukweli nilio utoa tofauti na uongo wa makanisani mwenu.
Nje ya neno la Mungu, huna Maarifa ya ziada.

Leta hizo HOJA, zitajibiwa zote.
 
Kwahiyo ukaona kuliko kuwaheshimu wazazi wa kimwili na kiroho kimamlaka ni Bora mamlaka hayo umpe mkeo🤔
Mbona walokole mnapendaga sana ujinga
Hakuna mzazi wala kiongozi wa dini mwenye mamlaka kwenye ndoa ya mtu.
Ndoa ni ya watu wawili
 
Back
Top Bottom