Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Upanga ni neno la mungu maana neno la mungu ndiyo hiyo hiyo haki ya mungu labda wewe umeshindwa kujua ...NENO LA MUNGU =HAKI YA MUNGU ila makali kuwili bado ujajibu sawa sawa kunajibu kamili lisilo na mjadala wowote tumia akili utajua maana ya makali kuwili ...kicha nitakuja na swali la pili la chombeza kabla ya kuja na nondo zenyewe1. UPANGA ni neno la Mungu,
UPANGA kukata kuwili ni Kweli ya Mungu iliyo ndani ya dhamira ya mwanadamu afanyapo uamuzi.
Ni Roho MTAKATIFU ndani ya mtu ampaye kusimama katika Kweli na HAKI.
Ndipo ujue kuwa,
Waliookoka, na Kuzaliwa mara ya pili, wanaruksa kunywa maji ya mtu wa Uzima kupitia Roho mtakatifu.
Umilele tayari upo Kwa aliyeokkoka.