Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Ninaposoma comments za watu humu mtandaoni especially wanaume na nkiona na hali ilivyo mtaani, sipati picha kwa mfano Mungu akiiacha hii dunia iendelee miaka 500 mbele, taasisi ya ndoa itakuwa na hali gani..
Inaanza taratibu kama utani, wanaume wengi wanaanza kampeni ya kupinga ndoa, hata nikienda forum ya nairaland Kule Nigeria, reddit, Quora, vilio vya wanaume Kuhusu kuumizwa na wanawake, na kampeni za kupinga ndoa ni hivyo hivyo kama ilivyo hapa jf, kwenye redpill na mgtow internet communities huko marekani hali ni mbaya wanaume wengi wamewachoka wanawake,
Umarioo na ushoga unazidi, sahivi wanaume wanaanza kuona kutoa mahari, kuhudumia mwanamke/mke kipesa ni utopolo na ni kutapeliwa na kutumika, wanaume wengi sahivi wanaanza kujitenga na wanawake kihisia, wapo kwenye mahusiano ilimradi, wanaume wengine wanaishia kununua malaya wanaojiuza barabarani, Na kupiga punyeto, badala ya kutongoza, sasa hizi jinsia mbili zikitengana, familia hakuna, sipati picha hilo bomu linalokuja kutengenezwa huko mbeleni.