Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Mbona huku mtaani hatuwaoni hao wanawake walioachika na kuachiwa mali?Mwanamke akiona tu mshapata au mna hela anataka muachane! Mgawane mali
akatafte ka marioo mtaani
na wewe ukiendelea kutuma hela kila mwez kwa ajili ya watoto
Ndoani imekua kitega uchumi kwao!
Na wanawake ambao wanataka kuachika wengi wao wanakuwa ni wale wenye kipato cha kujitosheleza. Tunawaona wakiondoka wenyewe kwenye ndoa.
Halafu mnavyosema mali...ni mali gani hizo mnazungumzia? Kila mtu mali mali mali...mali zenyewe sasa ni kajumba na gari moja IST