Mbona huku mtaani hatuwaoni hao wanawake walioachika na kuachiwa mali?Mwanamke akiona tu mshapata au mna hela anataka muachane! Mgawane mali
akatafte ka marioo mtaani
na wewe ukiendelea kutuma hela kila mwez kwa ajili ya watoto
Ndoani imekua kitega uchumi kwao!
Ni trendy tu. Huko mbele zitakuja propaganda nyingine.....
Unakuta wadada wataanza 'hakuna kuachika' 😂
Ni trendy tu. Huko mbele zitakuja propaganda nyingine.....
Unakuta wadada wataanza 'hakuna kuachika' 😂
Kwasasa sipo mjini... Nipo ziwani
🤣🤣🤣KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
KATAA NDOA
NDOA NI WIZI
AFYA YAKO YA AKILI NI BORA KULIKO NDOA
Mind set yako inakudanganya sana kijana,....hebu amka haraka sana kwenye huo usingizi wa pono kabla haujajikojolea.KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
KATAA NDOA
NDOA NI WIZI
AFYA YAKO YA AKILI NI BORA KULIKO NDOA
Hakuna mahali hata kwenye vitabu vitakatifu pamesema ndoa ni lazima. Au nimekosea hapo?Mind set yako inakudanganya sana kijana,....hebu amka haraka sana kwenye huo usingizi wa pono kabla haujajikojolea.
Tunakiptaje hicho kitabuTatizo hamtaki kusoma vitabu kama ww ni msomaji na mfuatiliaji wa vitabu soma kitabu kinaitwa NEW WORLD ORDER hakuna walicho acha wale jamaa mule ndani wameelezea kila kitu kuanzia vita vya dunia ndoa homosexuality freemasons and satanism religion matters naweza sema ile ni katiba ya dunia kwasababu mambo mengi waliyoyaelezea mule yameshaanza kutokea.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Shauri yako,kama hutaki kuolewa utakuja kuolewa wewe😬😬Hakuna mahali hata kwenye vitabu vitakatifu pamesema ndoa ni lazima. Au nimekosea hapo?
Wanaume tumekua dhaifu, wazee wetu wameshatutengenezea maisha rahisi, hakuna vita hakuna jando...Ninaposoma comments za watu humu mtandaoni especially wanaume na nkiona na hali ilivyo mtaani, sipati picha kwa mfano Mungu akiiacha hii dunia iendelee miaka 500 mbele, taasisi ya ndoa itakuwa na hali gani..
Inaanza taratibu kama utani, wanaume wengi wanaanza kampeni ya kupinga ndoa, hata nikienda forum ya nairaland Kule Nigeria, reddit, Quora, vilio vya wanaume Kuhusu kuumizwa na wanawake, na kampeni za kupinga ndoa ni hivyo hivyo kama ilivyo hapa jf, kwenye redpill na mgtow internet communities huko marekani hali ni mbaya wanaume wengi wamewachoka wanawake, umarioo na ushoga unazidi, sahivi wanaume wanaanza kuona kutoa mahari, kuhudumia mwanamke/mke kipesa ni utopolo na ni kutapeliwa na kutumika, wanaume wengi sahivi wanaanza kujitenga na wanawake kihisia, wapo kwenye mahusiano ilimradi, wanaume wengine wanaishia kununua malaya wanaojiuza barabarani, Na kupiga punyeto, badala ya kutongoza, sasa hizi jinsia mbili zikitengana, familia hakuna, sipati picha hilo bomu linalokuja kutengenezwa huko mbeleni.
Kwani wanawake mnaakili ninyi!? kama mliweza kumsaliti Adam kwa appleMbona huku mtaani hatuwaoni hao wanawake walioachika na kuachiwa mali?
Na wanawake ambao wanataka kuachika wengi wao wanakuwa ni wale wenye kipato cha kujitosheleza. Tunawaona wakiondoka wenyewe kwenye ndoa.
Halafu mnavyosema mali...ni mali gani hizo mnazungumzia? Kila mtu mali mali mali...mali zenyewe sasa ni kajumba na gari moja IST
Hakuna ambacho bado yote yameshafanikiwa kwa asilimia kubwa mnoooo.
Google mkuu andika hilo halafu u download hicho kitabuTunakiptaje hicho kitabu