Kimahusiano, naona kama miaka ijayo tutakuja kutengeneza kizazi cha ajabu sana

shetani anacheza amapiano huko aliko
 
Kuna jamaa mmoja huko nairaland, kasema:"MARRIAGEs THESE DAYS ARE TRANSACTIONAL".
Mwngne akasema
IF YOU MARRY A GIRL YOU MARRY HER FAMILY TOO, MARRY AT YOUR OWN RISK..
 
mgtow=MEN GOING THEIR OWN WAY..
kama tumefika hapa hali ya dharula inabidi itangazwe....
 
Hali ni mbaya sana
Viongoz wapo kimya kila mtu apambane na hali yake
Mpaka kieleweke
Hao viongozi wenyewe ndoa zao zimewashinda, unataka waje kushugulika na ndoa yako?
 
Shauri yako,kama hutaki kuolewa utakuja kuolewa wewe[emoji51][emoji51]

By the way kukataa ndoa kwa mwanaume ni kukwepa majukumu......be careful Devon is at work na moja ya target yake ni kuhakikisha anaharibu current na coming generation
Wewe ambaye hujakwepa majukumu umepata faida gan mpaka sasa??
 
UmewaZa sahii mkuu,
Tunakoelekea Ni kubaya zaidi[emoji26]
 
Unashawishiwa vipi kula apple na mwanamke asiye na akili?
Utakuwa huna akili kuliko huyo mwanamke.
Sikiliza wewe mdada...Quote me or Leave it but Honestly..NI RAHISI CHIZI KUMFANYA MTU TIMAMU AONEKANE CHIZI..KULIKO MTU TIMAMU KUMFANYA CHIZI AONEKANE NI MWENYE AKILI TIMAMU..πŸ“ŒπŸ”¨ Im out
 
Uko mbele ya safari mambo yatakuwa magumu sana kwasababu ya watu kuwa wajanjawajanja,wenye akili nyingi kuliko maarifa.
 
Wewe una mdomo sana
 
Chief miaka ijayo ipi?kwani kizazi cha ajabu hukioni kipindi hiki..yaani mimi naamini miaka isiyozidi 50 mungu ataiteketeza hii Generation....Tuko Kwenye kipindi kibaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…