DOKEZO Kimara mwisho njia ya kuelekea Matosa imekuwa kero baada ya kutomaliza maboresho ya daraja lililopo nyuma ya chuo

DOKEZO Kimara mwisho njia ya kuelekea Matosa imekuwa kero baada ya kutomaliza maboresho ya daraja lililopo nyuma ya chuo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Na kusababish kero kubwa kwa wananchi ni bora hata wangeliacha lilelile daraja la mwanzo kwani ni kero tu hakuna matengenezo yyte yanayoendelea na njia imefungwa.

Rais na mbunge wa Ubungo liangalie hili kwa jicho la tatu TUNATESEKA

4979F856-C973-4F5D-A489-2591BBD1B9C6.jpeg
 
Hii Barabara nimepita juzi, kwakweli ni mbovu mnooooooo.
 
Kila mahali kero, nchi inajiendea tu!
 
Wenye bodaboda nao wameupatia wanazidisha tu bei

Utasikia njia mbovu, ruti ndefu mafuta yanaenda mengi
 
Na kusababish kero kubwa kwa wananchi ni bora hata wangeliacha lilelile daraja la mwanzo kwani ni kero tu hakuna matengenezo yyte yanayoendelea na njia imefungwa.

Rais na mbunge wa Ubungo liangalie hili kwa jicho la tatu TUNATESEKA

View attachment 2864920
Mbona hapo palipobakia ni padogo sana,wajaze kifusi njia ipitike...
 
Back
Top Bottom