Kimara: Polisi wanakagua simu kabla ya kupanda mwendokasi. Wanalazimisha utoe password

Kimara: Polisi wanakagua simu kabla ya kupanda mwendokasi. Wanalazimisha utoe password

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Kutokana na maandamano yaliyofanyika Jijini Dar Es Salaam kupinga Samia kuteka na kuua watu, Polisi bado hawajapoa. Ukienda kituo cha Basi au Daladala, wanakuambia utoa password waangalie kama hauna picha za maandamano. Kama unazo wanakulazimisha uzifute. Wanalazishi hata zile picha za Watu waliouawa kwenye maandamano ufute. Kama umetumiwa kwenye group ufute.

Ukikataa wanakupiga Tanganyika jeki na kukupeleka mzobemzobe huku ukikunyaga kwa kutumia vifole vya miguu hadi kwenye gari lao kisha wanakusindikiza na rungu kuingia kwenye gari.

Yaani waue wao kosa liwe langu?? Tutapambana nao. Sawa watatuua ila nami sijakosa wa kumtia hasara. Hata akisema alikuwa likizo, sitamsikiliza. Dawa ya moto ni moto



MY TAKE;

Picha zishasambaa, hawezi kufuta tena. Mimi sasa hivi natembea na simu ya Kitochi.

Dawa ni kupambana nao mtaani.. Ukimbeba kwenye bodaboda unamuangusha, japo utaumia lakini hakikisha anaumia zaidi.. Ukikutana familia yake ifanye chochote utakachojisikia.

Wanajifanya kukagua ila wakikutana picha ya pilau wanaacha kuscroll.🤣🤣🤣
 
Wakinikuta na picha kama hii ya Halima wangu watanifanya nini? Ngoja nifute kila kitu aisee.

Hii nchi hii mh! Au kwa vile wana divisheni 4 za pointi 33? Hawajui kuwa picha zipo kwenye cloud/servers za Meta na Google huko? Kwamba hata ukizifuta kwenye simu ni kazi bure? 😳😳😳
 
Back
Top Bottom