Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,692
- 41,138
Hizo gas maana utazificha wapi na ukikutwa nayo wakikuuliza risiti?Msala upi?
Hizo gas maana utazificha wapi na ukikutwa nayo wakikuuliza risiti?Msala upi?
VPN ninayo, lakini sasa nitaishi nayo ON-OFF!Umecomment vipi hapa bila VPN?
Vijana hawataki mchezo, inaonekana Taifa gas ilikuwa mbali naoMwanza japo wamekufa wengi lakini hawakukosa cha kujilipa.
View attachment 3497115
Huko mwanza karibia Kila familia ina mtungi wa hiyo company ndio maana aliwekeza sana hapo! Ukisema list kwenye 100 utapata mtu mmoja au utakoswa kabisaHizo gas maana utazificha wapi na ukikutwa nayo wakikuuliza risiti?
Halafu namna hii usigongwe chuma!!Mwanza japo wamekufa wengi lakini hawakukosa cha kujilipa.
View attachment 3497115
Ukiambiwa kuwa hapo walichukua jtwz wakiwa maeneo hayohayo utakubali?Halafu namna hii usigongwe chuma!!
Itakua kura zilikua bado zinapigwa, maana ilibidi uchaguzi usiharibike, baada ya kura kupigwa mkong'oto jazz band wakaanza kutumbuizaUkiambiwa kuwa hapo walichukua jtwz wakiwa maeneo hayohayo utakubali?
Ukikutwa na huo mtungi huna receipt uliponunulia imekula kwako.Sema huu ni msala Mkuu
We waache tu,na hivi wasukuma akili ziko mbaliUkikutwa na huo mtungi huna receipt uliponunulia imekula kwako.
Huo ni uongo.. Watu wachache wenye Risiti ya vitu vya ndani. Mitungi yenyewe inabidilishwa kila. Wewe mtungi ulonnunua ni namba ngapo tulinganishe na Risiti yako?Ukikutwa na huo mtungi huna receipt uliponunulia imekula kwako.
Nikimaanisha wanaweza kukagua kwa mtindo huo.Huo ni uongo.. Watu wachache wenye Risiti ya vitu vya ndani. Mitungi yenyewe inabidilishwa kila. Wewe mtungi ulonnunua ni namba ngapo tulinganishe na Risiti yako?
Mkuu ulikaa angle nzuri sana.Nilikuwa nawazooon tu mbwa hawa.
View attachment 3497123
Nimefurahi kuona upo salamaWewe huenda ni mgeni hapa jf,figganigga hajawahi leta habari za uzushi
Halafu akavuta na bangiTaarifa hii ni ya uongo ipuuzeni haina chanzo chochote credible huyu ni mtu ambaye kashiba ugali nda Dagaa mchele anaamua kuandika anavyojisikia.
Maandamano ya amani yakiendelea, mkiambiwa mlikuwa mnafanya uhalifu mnainua midomo juu. Wakuu wa Vyombo waliamua kuwa waungwana mno, Wezi wanaiba mali za watu wanatembea kama wanatoka harusini huku wamebena pilau la shughuli?🙆🏽♂️Mwanza japo wamekufa wengi lakini hawakukosa cha kujilipa.
View attachment 3497115