digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,508
- 23,368
Ahsante madam,but moyo wangu unavuja damu kwa uovu waliofanyiwa watanganyika Toka kwa muuaji Samuya.Nimefurahi kuona upo salama
Sijalala Leo baada ya kuona picha za mauaji
Ahsante madam,but moyo wangu unavuja damu kwa uovu waliofanyiwa watanganyika Toka kwa muuaji Samuya.Nimefurahi kuona upo salama
Ningekupa mbinu mbadala wa kufuta hiyo VPN, ila shida ni kwamba humu jukwaani imekusanya kila aina ya watu hadi hao policcmHATARI sana, futeni VPN zenu!
Mimi pia sijalala. Nilijuta hata kwanini mtandao ulirudi nikafurahi.Ahsante madam,but moyo wangu unavuja damu kwa uovu waliofanyiwa watanganyika Toka kwa muuaji Samuya.
Sijalala Leo baada ya kuona picha za mauaji
Hebu fafanua kwa manufaa ya wengi tafadhaliWatakao kuelewa wachache sana ila shukran kwa huu ushauri 👏👏👏
Pole sana ,jipe muda utalejea katika Hali yako ya kawaida,jaribu kujichanganya na marafiki na kuepuka kuongelea tukio hili kwa Muda ,baada ya hapo utakuwa salama.Mimi pia sijalala. Nilijuta hata kwanini mtandao ulirudi nikafurahi.
Naumia sana, nalia sana.
Moyo wangu umejaa uchungu.
Nimekata tamaa, nimepoteza matumaini.
Nipo nipo tu hata sielewi, sijui ni namna gani nitarudi kawaida.
Hicho kinyeo chako ndiyo VPNVPN ndo nini?
Hicho kinyeo chako ndiyo VPNVPN ndo nini?
OkayHuko mwanza karibia Kila familia ina mtungi wa hiyo company ndio maana aliwekeza sana hapo! Ukisema list kwenye 100 utapata mtu mmoja au utakoswa kabisa
Inadaiwa miili mingine wameenda kuiteketeza Twiga cementWana hofu na ICC.
Wanavyojisika wakitoka hapo wanaenda kulala na wake zao kwenye nyumba zao zile kama mabanda ya kuku.Mkuu ulikaa angle nzuri sana.
Hapa ungekua sniper mapema sana ushawalaza.
Washenzi sana hawa jamaa.Wanavyojisika wakitoka hapo wanaenda kulala na wake zao kwenye nyumba zao zile kama mabanda ya kuku.
Watakao kuelewa wachache sana ila shukran kwa huu ushauri
Kwa namna mioyo ya wananchi ilivyojeruhiwa, awamu ijayo ya maandamano haitakuwa mfupa na nyama bali silaha kwa silaha, kama madawq ya kulevya mali za magendo nk zipo nchini hata silaha inawezekana, ni rahisi makundi ya kigaidi kupenyeza silaha kirahisi sana kwa namna tulivyowachoka hao kenge,Nilikuwa nawazooom tu mbwa hawa.
View attachment 3497123
No need kufuta, kwanza kisheria hawana mamlaka hayo , pili watahitaji wakili. Tatu wameshachelewa picha na video zimesha enda mbali sanaHATARI sana, futeni VPN zenu!