Kimara: Polisi wanakagua simu kabla ya kupanda mwendokasi. Wanalazimisha utoe password

Pole sana ,jipe muda utalejea katika Hali yako ya kawaida,jaribu kujichanganya na marafiki na kuepuka kuongelea tukio hili kwa Muda ,baada ya hapo utakuwa salama.


All in all,Samia lazima atalipia gharama ya roho za ndugu zetu,ni swala la muda tu
Asante sana Digba.
Wangetupa hata ndugu zetu tuwazike🥲🥲🥲
 
Kama wanafanya hivyo basi ina maana hizi picha zina madhara kweli. Basi tuzitume kwa wingi ICC.
 
Sisi tunamtafuta RPC ameshituka kwa sasa ataingia kwenye mfumo tu.
 
Sisi tunamtafuta RPC ameshituka kwa sasa ataingia kwenye mfumo tu.
Kipindi cha maandamano ndo nilijua Muliro anajua kukimbia. Sijui nani alimtonya kwamba unasubiriwa kwake.🤣🤣🤣. Ila atadakwa tu. Kwa mikono au kwa radi
 
Maelezo mengi bila ushahidi.
 
Leo kulikuwa na mwendokasi?

Anyway, ngoja nijaze video zangu nikiwa napiga nyeto niwaonyeshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…