LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
Nafuga hawa kienyeji kabisa mkuu ila sasa nao siku hiz ni kama ni cross breed za large white maana ndio madume yaliotapakaa na ndio tunawatumia kupandishia. So ni kienyeji ila si pure kienyejiHongera sana Mkuu..
Unafuga bleed aina gani.?
Safi sanaHongera sana sana mkuu, kaza buti umefikia pazuri, uko mkoa gani, mimi nina mashine za kusaga unga na kukoboa mpunga hivyo nina pumba za mahindi na za mpunga za kutosha, kama hautakuwa mbali na Morogoro tufanye biashara ntakuuzia kwa bei ya kijamiiforum.
Hongera sanaYes wakuu na wadau wa harakati hiZ ndogo ndogo za wajasiriamali, natumaini mko poa.
ANGALIZO
Lengo la uzi huu mbali na kushare uzoefu , ni kuwatia moyo wale ambao huenda wana ndoto ya kufanya hii kitu ila wanasita kwa sababu mbali mbali. Inawezekana kabisa.
HAYA twende sasa.
Mwaka jana ,2025 baada ya kuamua kujipa likizo ya mapumziko marefu yasiyojulikana yangeisha lini kutokana na kash kash za life ambazo nilishawahi ku share hapa jukwaani, nikaamua nirudi mkoani, nyanda za juu kusini.
Hata nyumbani sikuona pananifaa sana maana wazee wangu wanaishi city centre, nikaamua kuingia mashambani huko ndani ndani ambako wazee huwa na mashamba wana lima lima. Kule wameweka ma shamba boys kwaajil ya uangalizi tu wa mazingira pale kijijin na mali za shambani pamoja na kusaidia kazi hasa za kilimo kipindi cha msimu wa kulima.
Nikaamua kwenda kuishi huko kwakua nilikua nahitaji utulivu sana na sikua nataka interaction kabisa na watu. Kazi yangu kubwa ilikua ni kula, kulala, kula, kuoga na kurud tena kulala. Nimeishi hivi kwa muda mrefu mnoo, almost 2 years sasa na nilipotea kabisa hata hapa jukwaani. Sikua nikifanya kaz yoyote ile.
Lakini katikati ya maisha ya namna hii, mwezi wa pili mwakajana 2025, nikapata wazo, kwamba katika kula na kulala huku, kwanini nisijaribu kufanya kitu cha kuni keep busy kidogo huku shambani.
Nikaona acha nijaribu wazo la kufunga nguruwe wa kienyeji, niwafuge kienyeji tu.
Nikatafuta nguruwe wanne (4) wadogo kabisa umri miezi mitatu Dume mmoja na vijike vitatu.
Basi wakawa wananipa kampani ya hapa na pale. Hawa wakanisaidia kidogo kupunguza mawazo maana nikawa na ratiba ya kuamka, kusafisha mabanda, kuwalisha, n.k n.k.
Hawa nguruwe wadogo wanne(4) walinigharimu laki 3 tu (300,000/=). Hakukua na gharama significant za mabanda nilipoanza kwakua mzee alikua na huu mradi ukamsumbua akaachana nao so nikatumia mabanda aliokua akitumi
Nilianza kuwafuga mwezi February 2025 wakiwa na miezi 3 hivi. Chakula kikubwa nilichokua nikiwapa ni Pumba ya mahindi mixer pumba ya mpunga, mixer mashudu mixer Pig boost na pig mix
Ilipofika mweZi September wakaingia joto wote kwa pamoja, kwa tofauti ya week 1 apart kila mmoja, nikawapandisha wakabeba mimba. Mwezi wa pili, February mwaka huu 2026, wakazaa kwa tofauti ya wiki moja moja.
Mmoja akazaa 9, mwingine 9 na mwingine 5.
Nikawa na piglets 23 plus wale wakubwa 4 jumla nikawa na nguruwe 27 ndani ya miezi kama 9 tu.
Baada ya hapo nikawatunzaaa then baada kama ya miezi mitatu hivi nikawapandisha tena nguruwe wawili.
Jike mmoja sikumpandisha kwakua niliona uzao wake sio mzuri, yule aliyezaa 5 piglets. Huyu tukamchinja, sikuuza nyama hata kilo moja, nikala pamoja na jamaa zangu kujipongeza tu. Baada ya kuwapandisha wale majike wawili, yule dume nikamuuza 600,000 nikabaki na jumla nguruwe 25. Wale piglets 23, 10 walikua madume, nikawahasi wote 10.
Nikanunua vidume vidogo viwili ili waje kuwapanda hapa majike wadogo 13 pindi watakapokuwa tayari kuepuka cross breesing. So idadi ya nguruwe ikarudi ile ile 27.
Sasa last wewk nguruwe wangu wale majike wawili wamezaa tena.
wote wamezaa watoto 14 uzao huu wa pili. Jumla vinguruwe 28.
Kwahiyo na wale wa kwanza 27, hapa sasa nazungumzia nguruwe 55 toka nianze kufuga rasmi mwezi wa pili mwaka jana, kwahiyo mpaka sasa ni muda wa miezi 18 tu toka nianze na nguruwe wa 4 sasa wapo 55.
NB
Headache zipo za kutosha, sio kwamba hakuna. Especially kwenye ulishaji, maana ukishakua na nguruwe wengi, mzoZo ni chakula tu hasa kama unawalisha pumba maana hii ni kununua π
But it is possible.
Nime attach clip ya uzao wa kwanza wa mmoja ya nguruwe hapo shamban
MWISHO
JD Sisi ni Ndugu, itabidi tuongee nije kufugia hapo karibu na wewe.Hongera sana sana mkuu, kaza buti umefikia pazuri, uko mkoa gani, mimi nina mashine za kusaga unga na kukoboa mpunga hivyo nina pumba za mahindi na za mpunga za kutosha, kama hautakuwa mbali na Morogoro tufanye biashara ntakuuzia kwa bei ya kijamiiforum.
The fact kwamba wanazaa zaidi ya 5 kwa mpigo hili ni deal.Hongera sana mkuu nguruwe 50+ sio mradi mdogo soon utaanza kula matunda, uzuri wake nguruwe hawasumbuliwi na magonjwa
Natangaza rasmi kubadilisha diniYes wakuu na wadau wa harakati hiZ ndogo ndogo za wajasiriamali, natumaini mko poa.
ANGALIZO
Lengo la uzi huu mbali na kushare uzoefu , ni kuwatia moyo wale ambao huenda wana ndoto ya kufanya hii kitu ila wanasita kwa sababu mbali mbali. Inawezekana kabisa.
HAYA twende sasa.
Mwaka jana ,2025 baada ya kuamua kujipa likizo ya mapumziko marefu yasiyojulikana yangeisha lini kutokana na kash kash za life ambazo nilishawahi ku share hapa jukwaani, nikaamua nirudi mkoani, nyanda za juu kusini.
Hata nyumbani sikuona pananifaa sana maana wazee wangu wanaishi city centre, nikaamua kuingia mashambani huko ndani ndani ambako wazee huwa na mashamba wana lima lima. Kule wameweka ma shamba boys kwaajil ya uangalizi tu wa mazingira pale kijijin na mali za shambani pamoja na kusaidia kazi hasa za kilimo kipindi cha msimu wa kulima.
Nikaamua kwenda kuishi huko kwakua nilikua nahitaji utulivu sana na sikua nataka interaction kabisa na watu. Kazi yangu kubwa ilikua ni kula, kulala, kula, kuoga na kurud tena kulala. Nimeishi hivi kwa muda mrefu mnoo, almost 2 years sasa na nilipotea kabisa hata hapa jukwaani. Sikua nikifanya kaz yoyote ile.
Lakini katikati ya maisha ya namna hii, mwezi wa pili mwakajana 2025, nikapata wazo, kwamba katika kula na kulala huku, kwanini nisijaribu kufanya kitu cha kuni keep busy kidogo huku shambani.
Nikaona acha nijaribu wazo la kufunga nguruwe wa kienyeji, niwafuge kienyeji tu.
Nikatafuta nguruwe wanne (4) wadogo kabisa umri miezi mitatu Dume mmoja na vijike vitatu.
Basi wakawa wananipa kampani ya hapa na pale. Hawa wakanisaidia kidogo kupunguza mawazo maana nikawa na ratiba ya kuamka, kusafisha mabanda, kuwalisha, n.k n.k.
Hawa nguruwe wadogo wanne(4) walinigharimu laki 3 tu (300,000/=). Hakukua na gharama significant za mabanda nilipoanza kwakua mzee alikua na huu mradi ukamsumbua akaachana nao so nikatumia mabanda aliokua akitumi
Nilianza kuwafuga mwezi February 2025 wakiwa na miezi 3 hivi. Chakula kikubwa nilichokua nikiwapa ni Pumba ya mahindi mixer pumba ya mpunga, mixer mashudu mixer Pig boost na pig mix
Ilipofika mweZi September wakaingia joto wote kwa pamoja, kwa tofauti ya week 1 apart kila mmoja, nikawapandisha wakabeba mimba. Mwezi wa pili, February mwaka huu 2026, wakazaa kwa tofauti ya wiki moja moja.
Mmoja akazaa 9, mwingine 9 na mwingine 5.
Nikawa na piglets 23 plus wale wakubwa 4 jumla nikawa na nguruwe 27 ndani ya miezi kama 9 tu.
Baada ya hapo nikawatunzaaa then baada kama ya miezi mitatu hivi nikawapandisha tena nguruwe wawili.
Jike mmoja sikumpandisha kwakua niliona uzao wake sio mzuri, yule aliyezaa 5 piglets. Huyu tukamchinja, sikuuza nyama hata kilo moja, nikala pamoja na jamaa zangu kujipongeza tu. Baada ya kuwapandisha wale majike wawili, yule dume nikamuuza 600,000 nikabaki na jumla nguruwe 25. Wale piglets 23, 10 walikua madume, nikawahasi wote 10.
Nikanunua vidume vidogo viwili ili waje kuwapanda hapa majike wadogo 13 pindi watakapokuwa tayari kuepuka cross breesing. So idadi ya nguruwe ikarudi ile ile 27.
Sasa last wewk nguruwe wangu wale majike wawili wamezaa tena.
wote wamezaa watoto 14 uzao huu wa pili. Jumla vinguruwe 28.
Kwahiyo na wale wa kwanza 27, hapa sasa nazungumzia nguruwe 55 toka nianze kufuga rasmi mwezi wa pili mwaka jana, kwahiyo mpaka sasa ni muda wa miezi 18 tu toka nianze na nguruwe wa 4 sasa wapo 55.
NB
Headache zipo za kutosha, sio kwamba hakuna. Especially kwenye ulishaji, maana ukishakua na nguruwe wengi, mzoZo ni chakula tu hasa kama unawalisha pumba maana hii ni kununua π
But it is possible.
Nime attach clip ya uzao wa kwanza wa mmoja ya nguruwe hapo shamban
MWISHO
Yes wakuu na wadau wa harakati hiZ ndogo ndogo za wajasiriamali, natumaini mko poa.

Mkuu Ungefuga Mbuzi mpaka sasahivi ingekuwa na mbuzi 6 mwaka mzimaYes wakuu na wadau wa harakati hiZ ndogo ndogo za wajasiriamali, natumaini mko poa.

Umenimotivate ngoja nijipange nijaribu.Yes wakuu na wadau wa harakati hiZ ndogo ndogo za wajasiriamali, natumaini mko poa.

Kuanzia leo utaitwa Paulo na sio Ramadhani tena ππππ.Natangaza rasmi kubadilisha dini
Kuna african swine fevee hiyo ni balaa, ikipita inalamba hata nguriwe 200 at onceHongera sana mkuu nguruwe 50+ sio mradi mdogo soon utaanza kula matunda, uzuri wake nguruwe hawasumbuliwi na magonjwa