Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Usikate tamaa nduguPamoja sana kamanda
Usikate tamaa nduguPamoja sana kamanda
Ahahahah kuna nyuzi zangu huko nyuma nilishawekaga humu nakumbukaNini hasa kikisababisha hali hii ya kuamka kula na kulala?
Nimeweka bookmark naona ni kesi za ndoa and stuff, hakika mapenzi ni mabaya sanaAhahahah kuna nyuzi zangu huko nyuma nilishawekaga humu nakumbuka
Na hii ndo mentality nzuriKwwnye uvumilivu hapo nakubali. Hapo ni kipengele, japo nafikiri kilichonisaidoa mimi ni labda kwakua sikua desperate businesswise maana mi nilikua nafanya tu for fun in the beginning
ASF ni balaa kubwa. Ile mzee haifai. Anyways, ilankwa scale hiyo aisee risk mi kubwa sana.Nani kukudanganya? Nguruwe wanasumbuliwa na magonjwa Tena sana tu .....kuna gonjwa ndio limeishia hivi karibu ni hatari linaitwa ASF Kuna jamaa angu alikua na nguruwe karibu Elfu5 walikufa wote.
Ahahahahahahahahah....mzee mwenyewe niaje? Niko gud. Nimerud jukwaan kuwasabah mara moja vijanaFanton mahal...how are you brother?
Pamoja sana doktaHongera kwa kazi nzuri mr fanton
Hiiiiii weeeNatangaza rasmi kubadilisha dini
Karibu Kihesa chief ,,hapa K stars.. SEMA logistics zikikaa sawa nitaanza kufuga hawa viumbe nijiandae kustaafIringa tu hapa mkuu
Ahsante sana mkuu. Ni moja ya idea nzuri. So far mimi sijaona stress zake kama una manage kulisha tu.Karibu Kihesa chief ,,hapa K stars.. SEMA logistics zikikaa sawa nitaanza kufuga hawa viumbe nijiandae kustaaf
Mbuzi katoliki
Mazingira.Dah safi sana mkuu, hongera sana na asate kwa kushea. Nimekutana na uzi wako wakati sahihi kabisa, maana najiandaa oktoba nianze.
Vipi kuhusu hiyo hiyo ASF, inaepukika kwa njia gani?
Ahahahahah....hapana mkuu, kwasasa nimekua mbali kidogo na attachments. Ni ile gusa achia tu. So unakua na marafiki wa kike ambao ni friends with benefits ila sio ma girlfriemds officialHongera sana,
Niambie, zaidi na ya nguruwe kwa, sasa umepata girlfriend huko?
Yeahh...natarajia kuanza kujenga my new house si muda huenda mwanzoni mwakaniItabidi ujenge huko huko, naamini wazazi wanafurahia sana maendeleo uliyofikia.
Hakika huku nami nimeona hilo, kuna namna nature huku imenifungulia mlango mpana sana. Kumenikubaki sana huku sana yaniHuko ardhivimekupenda, naamini kuna mengi bado utaweza kufanya kuingiza pesa kwa kupunguza wengi wanaona ni tatizo kwao.
Nitashukuru sana mkuu. Napenda kujifunza all the time. AhsanteNakuletea link ya kwa Iddi I think nimesoma juzi isnta, story ya maisha ya mtu mmoja uisome, naamini itakupa mwanga pia kama utapenda.
Hahaha kstar hapo dah kila wkend nipo hapo kupata 'KILAJI'Karibu Kihesa chief ,,hapa K stars.. SEMA logistics zikikaa sawa nitaanza kufuga hawa viumbe nijiandae kustaaf