Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,246
- 6,499
Ambayo ndo sh ngapi?Hongera sana sana mkuu, kaza buti umefikia pazuri, uko mkoa gani, mimi nina mashine za kusaga unga na kukoboa mpunga hivyo nina pumba za mahindi na za mpunga za kutosha, kama hautakuwa mbali na Morogoro tufanye biashara ntakuuzia kwa bei ya kijamiiforum.
Kwa uzaaji huo na yeye Yuko vijijini kwenye mashamba ya mahindi na mpunga basi hashindwi kitu hapoSheikh unafurahia sio? Umeandaa bajeti ya chakula chao?
Namkataa mwamedi na kazi zake zoteKuanzia leo utaitwa Paulo na sio Ramadhani tena 😊😊😊😊.
Haya sasa nenda kafanye biashara
Thanks, wish me luck kwakweliSafari njema Kaka
Nimepitia hali kama hiyo, I know...Thanks, wish me luck kwakweli
Nimewahi kufaga hao tena maporini kabisa..Kwa uzaaji huo na yeye Yuko vijijini kwenye mashamba ya mahindi na mpunga basi hashindwi kitu hapo
Hii imekaa vizuri sana chief, nitakuchek pmHongera sana sana mkuu, kaza buti umefikia pazuri, uko mkoa gani, mimi nina mashine za kusaga unga na kukoboa mpunga hivyo nina pumba za mahindi na za mpunga za kutosha, kama hautakuwa mbali na Morogoro tufanye biashara ntakuuzia kwa bei ya kijamiiforum.
Iringa hapa chiefHongera sana Mkuu.
Uko mkoa gan?.
Iringa tu hapa mkuuUpo mkoa gan
Ahahahah...sio kwamba jimedurahi japo nimefurah walivyoongezeka ila headache zake najizua ndio maana hapo juu nimesema sijataka kuongelea sana hizo mambo.Sheikh unafurahia sio? Umeandaa bajeti ya chakula chao?
Na ndio lengo, japo ups and downs hutakwepana nazoUmenimotivate ngoja nijipange nijaribu.
Nini hasa kikisababisha hali hii ya kuamka kula na kulala?Kazi yangu kubwa ilikua ni kula, kulala, kula, kuoga na kurud tena kulala. Nimeishi hivi kwa muda mrefu mnoo, almost 2 years sasa na nilipotea kabisa hata hapa jukwaani. Sikua nikifanya kaz yoyote ile.
Yeahh sure.. ASF ikiingia huwa inalamba kila kitu. Na ile kitu haina chanjo wala tibaKuna jamaa alikua na mradi wa nguruwe,kuna wakati walipatwa na ugonjwa wakafa mradi ukafa.
Jitahidi sana kuwapa chanjo na kinga dhidi ya magonjwa.
Kila jema tunaendelea kujifunza.
Kwwnye uvumilivu hapo nakubali. Hapo ni kipengele, japo nafikiri kilichonisaidoa mimi ni labda kwakua sikua desperate businesswise maana mi nilikua nafanya tu for fun in the beginningIla hongera mkuu Kwa kuwa na consistency maana wengi hawana ujasiri wa kuvumilia
Nguruwe siwapendi tu in nature ila wanabiashara nzuri sana
Pamoja sana kamandaNimepitia hali kama hiyo, I know...
Shukrani sanaHongera mkuu