Kimasihara sana!. Hatimae ninafikisha nguruwe 50 ndani ya miezi 18

Naomba kazi nikusaidie ufugaji.....
 
Utarudi kwenye taaluma yako au ndo basi tena?
Taaluma yangu siwezi kuacha. As a software engineer nafanya kazi popote pale na huku shambani nimetulia zaidi.
Napolazimika kuonana na clients, wasaa wa kusafiri sio ishu natika muda wowote na kurudi. Soo taaluma ikonpale pale. Utofauti ni kwamba ofisi Dar nilifunga, am working from home
 
Faida ya kulisha pumba na majani dhidi ya makombo ni ipi?
Sio kuhusu faida tu. Vitu vingi vinavyoingia hapo kati.
1. Upatikanaji.
Makombo si kitu cha uhakika. Hasa kama una nguruwe wengi ni ngumu kupata makombo ya kutosha kila siku

2. Majani
Upatikanaji wake ni wa msimu lakini ili kushiba nguruwe wanahitaji kula kwa wingi. Japo si gharama

3. Pumba
Ni gharama lakini ni uhakaka upatikanaji wake throughout a year. Bei tu ndio zita vary.

4. Content ya virutubisho
 
Vipi kuhusu wizi
 
Nguruwe anau soko popoteee paleeee. Hata ufugie kijijini
 
Hongera kafiri
 
Amesema nyanda za juu kusini! Obvious utakuwa Mbeya vijijini huko maana pia amesema wazazi wake wako city centre!
 
Ahsante sana mkuu. Ni moja ya idea nzuri. So far mimi sijaona stress zake kama una manage kulisha tu.
Next year january nitajaribu kuweka hiz breed za kisasa nazo nione zinajibu namna gani
Je hao wa kienyeji hua wanashambuliwa na homa ya shwain?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…