Kimasihara sana!. Hatimae ninafikisha nguruwe 50 ndani ya miezi 18

AHahahah..hivi unaibaje nguruwe mdogo angu πŸ˜‚. Yan mpaka unambeba hivi unajua kelele zake?
Anyways huku nilipo mambo hizo hakuna na sijawahi kusikia watu wameibiwa nguruwe
Nguruwe anawekewa mikate iliyolowekwa kwenye Konyagi au gongo baada ya 15mins yuko hoii anakoroma tu wezi wanabeba fast na kusepa.
 
Nguruwe anawekewa mikate iliyolowekwa kwenye Konyagi au gongo baada ya 15mins yuko hoii anakoroma tu wezi wanabeba fast na kusepa.
Ahahahahahahah.
Daaahh mkuu ahsante kwa kunipa hii clue. Sikuwahi kuijua bwana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Soko la kitimoto sio la kuuliza bwashee mjini ss hv tuna uziwa 1kg kwa 18,000-20,000
 
Jitahidi Sasa usipate kale ka ugonjwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…