Kimaumbile mwanaume ndo alitakiwa kuvaa sketi/ gauni na Mwanamke suruali

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
Nadhan waliobuni haya mavazi kwa jinsia wali focus zaidi kwenye urahisi wa kujisaidia/ kukojoa lakini kimaumbile na mpangilio wa mambo ulivyokaa, wanaume walipaswa kuvaa kama sketi/ msuli na wanawake suruali.

Mi nawakubali sana wamasai( shuka), watu wa mashariki ya kati(kanzu) na mashariki ya mbali ( msuli) na wegine huenda mbali zaidi na kufunika mti pekee.

1756144882342.jpeg
 
View attachment 3453048
Mkuu wewe ni mwanamke au mwanaume?

Tunaomba uthibitisho mkuu maana unatupa wasiwasi
 
Mtoa mada ni moja ya watu mapunguani kuwahi kutokew katika jukwaa hili
 
Back
Top Bottom