Kimaumbile mwanaume ndo alitakiwa kuvaa sketi/ gauni na Mwanamke suruali

Mdogo mdogo utasema tu haszu
downloadfile-8.jpg
 
Nadhan waliobuni haya mavazi kwa jinsia wali focus zaidi kwenye urahisi wa kujisaidia/ kukojoa lakini kimaumbile na mpangilio wa mambo ulivyokaa, wanaume walipaswa kuvaa kama sketi/ msuli na wanawake suruali.

Mi nawakubali sana wamasai( shuka), watu wa mashariki ya kati(kanzu) na mashariki ya mbali ( msuli) na wegine huenda mbali zaidi na kufunika mti pekee.

View attachment 3453048
Vaa wewe hiyo sketi.
 
Sio mzima wewe
 
Back
Top Bottom