Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
๐๐๐๐๐Utashangaa badala kije bongo, kitatindika mombasa, garisa na kibera. Just wait
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐๐Utashangaa badala kije bongo, kitatindika mombasa, garisa na kibera. Just wait
Wakenya bhana yani wanatamanii kingekuwa kinakuja kwao ili waombe mikopo imf daah[emoji848]
Utashangaa badala kije bongo, kitatindika mombasa, garisa na kibera. Just wait
Kimbunga cha MuunganoTrust me pamoja na hili dua baya toka kwa jirani mwema hakitabamiza ng'o!
Sent using Jamii Forums mobile app
Msikilize mtaalamu wenu huyu anaeleza mengi kuhusu Kimbunga Jobo.Trust me pamoja na hili dua baya toka kwa jirani mwema hakitabamiza ng'o!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe huwaga ni jinga kweli, nani kakwambia msiba ulisababishwa na Corona, madaktari wanasema kafa na tatizo lake sugu la moyo, ww kila kukicha unataka isifia Corona ndio ilomuua, mbona viongozi wengine wapo na hawajafa na msimamo ni ule ule wa mwendazake.Hivi hivi ndivyo mlipuuza corona na kusema ipo kwenye mapaipai, hatimaye mkaishia kuwa na msiba wa kitaifa.
Sio chetuHalafu nani alianzisha hii tabia ya kupatia vimbunga majina? Sasa hiki kimbunga chenu kinaitwa Jobo.
Wewe huwaga ni jinga kweli, nani kakwambia msiba ulisababishwa na Corona, madaktari wanasema kafa na tatizo lake sugu la moyo, ww kila kukicha unataka isifia Corona ndio ilomuua, mbona viongozi wengine wapo na hawajafa na msimamo ni ule ule wa mwendazake.
Ni unapata orgasm kuhusisha kifo chake na covid au shida yako ni nn haswa
We fara hakuna kitu unajua, siishi buza wala dsm, watu tu namingle with different nationals, na tunadunda, mandezi mabarakoa yenu yamewasaidia nini, mbona mko na hali mbaya kutushinda, mnachezeshwa ngoma isowahusu, mnaicheza kama makondoo mlivyo, sasa mnajaribu sana kutufanya wengine tuwe makondoo, ilhali linchi lenu linaungua inside out, sema sababu nyinyi ni wakabila, hayo utayafumbia macho na masikio, utayahamishia bongo. Welcome and learn from the mighty CCMCorona ni tatizo la kisayansi, unakabiliana nalo kisayansi, wajanja wanaolifahamu hili wapo wanapeta...Usiwaone wajinga kwa kuvaa mask hadi karibia izibe macho....
Kiongozi wa kitaifa kwa siku hukutana na watu wengi sana wanaotokea kwenye mataifa ya nje, hivyo huwa yupo kwenye risk kubwa sana zaidi ya mtu kama wewe ambaye unazungukia Buza na kuishia Buza siku inaisha ukikutana na watu wale wale wa kila siku....
![]()
We fara hakuna kitu unajua, siishi buza wala dsm, watu tu namingle with different nationals, na tunadunda, mandezi mabarakoa yenu yamewasaidia nini, mbona mko na hali mbaya kutushinda, mnachezeshwa ngoma isowahusu, mnaicheza kama makondoo mlivyo, sasa mnajaribu sana kutufanya wengine tuwe makondoo, ilhali linchi lenu linaungua inside out, sema sababu nyinyi ni wakabila, hayo utayafumbia macho na masikio, utayahamishia bongo. Welcome and learn from the mighty CCM
Tunaendelea Kumuomba MUNGU kisifike huku kiishie hukoWaombe kiishsie huko huko mbali maana hawa majirani huwa hawajajiandaa kwa lolote zaidi ya kulaumu mabeberu kwenye kila janga linalowakumba.
Nakumbuka walivyotelekeza wahanga wa tetemeko la ardhi, hatari sana.
Nakwambiaga ww ni mbumbumbu, nkurunzinza alishastaafu urais, ndio kifo kikamkuta, na hakuna aliesema ni Corona ndio ilimuua zaidi ya wachawi wa EAHali yetu ni kwa sababu tunaitangaza hatujajichokea kama nyie na kuachwa wa kujifia ajifie kama makondoo, bado tunaye rais na baraza lote la mawaziri hatujampoteza hata mmoja kwa corona.
Dunia hii tangu janga la corona lianze imepoteza marais wawili tu, wa Burundi na Tanzania, na hao wawili tu ndio walikaidi kwamba wameishinda corona kwa maombi, yaani kinaya/irony ya ajabu.
Viongozi wa nchi kila siku wanakutana na watu wa kimataifa, nimekuambia kajamba kama wewe uvae usivae barakoa sio rahisi corona ikukute hapo Buza kwa ukivimbiwa ubwabwa.
Tunaendelea Kumuomba MUNGU kisifike huku kiishie huko
Jirani mbona kama una vi-element vya uchawi?Waombe kiishsie huko huko mbali maana hawa majirani huwa hawajajiandaa kwa lolote zaidi ya kulaumu mabeberu kwenye kila janga linalowakumba.
Nakumbuka walivyotelekeza wahanga wa tetemeko la ardhi, hatari sana.